kuendesha gari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mowwo

    Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

    Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia. Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza...
  2. S

    Tanzania limejitokeza tabaka la "wenye nchi" ambao wanaona hawastahili kuendesha gari kwenye foleni na wana haki ya kutofuata sheria za barabarani

    Tumefikia sasa kwamba hapa nchini tuna watumiaji wa barabara wa aina mbili - Watanzania wa kawaida, na Watanzania "wenye nchi" ambao sheria za barabarani haziwahusu. Hili kundi la "wenye nchi" ni wale ambao hawataki kabisa wabugudhiwe katika kuendesha juu ya spidi inayoruhusiwa, au wakae kwenye...
  3. Chachu Ombara

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Huu Muungano ni chenga kabisa una kero nyingi mno, naona kwa Zanzibar wao ni raha kwenda mbele. Sisi wote ni Watanzania lakini ajabu Mtanganyika akienda Zanzibar endapo atahitaji kuendesha gari basi atatakiwa kuomba kibali maalum kinachotolewa na mamlaka za huko, vinginevyo utakuwa unavunja...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Allen Swift, mtu anayeshikilia rekodi ya kuendesha gari moja tu kwa miaka 82

    Mr. Allen Swift. Alizaliwa: 1908. Akafariki: 2010. Huyu mwamba aliendesha gari moja tu, gari hilohilo peke yake kwa miaka 82. Hebu fikiria umiliki na kuendesha gari moja tu kwa muda wote huo! Mr. Allen Swift ( Springfield, MA ) alipewa zawadi ya gari hili mwaka 1928 Rolls-Royce Piccadilly-P 1...
  5. The Sunk Cost Fallacy

    Baridi ya Njombe yahatarisha maisha, Dereva ashindwa kuendesha gari kutokana na Barafu

    Hii baridi ya mwaka huu ni noma Sana, 👇 ---- Ikiwa bado hali ya hewa ya baridi kuwa kali katika baadhi ya maeneo nchini ikiwemo Mkoa wa Njombe kupelekea shughuli za kiuchumu kuwa na ugumu katika utekelezwaji kutokana na wakazi wa maneno hayo kupunguza muda wa kufanya kazi kwa kutafuta vyanzo...
  6. mirindimo

    Zanzibar kuendesha gari ukitoka bara unalipa $10

    Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case. Hapa issue si hiyo $10 but how tuna tritiwa wote kama foreigner ? Hii imeshajitenga kama nchi peke yake na Tanganyika peke yake au ni kitu...
  7. N'yadikwa

    Ukitaka kupima umakini wa mtu kwenye mambo mengine angalia anavyoegesha gari

    Salamu Wanabodi, Ukitaka kupima umakini wa mtu kwenye mambo mengine angalia anavyoegesha gari na pia anavyoendesha utagundua huyu ni mtu wa namna gani. Mara nyingi mtu aliyemakini barabarani au akiegesha gari, anakuwa pia makini katika mambo mengine kama kufanya maamuzi.
Back
Top Bottom