Kizazi cha sasa na ndoa nyingi zenye ukame wa tendo la ndoa

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
204
451

Kizazi cha sasa na ndoa nyingi zenye ukame wa tendo la ndoa​

Millania

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
23 Oktoba 2022
Vijana wa kizazi cha sasa wanapaswa kuwa katika ubora wao wakati wa kujamiiana.
Kwa nini wanandoa wengi wanaripoti kuwa na vipindi virefu vya ukame wa kushiriki tendo hilo?
"Miaka [kadhaa] ya kwanza ya ndoa yetu tulikuwa na maisha ya ajabu ya kushiriki tendo la ndoa ... na alipokua (ana umri wa miaka 30 sasa), haonekani kuwa na hamu ya tendo la ndoa tena."
Haya ni mojawapo ya maoni mengi yanayozunguka kwenye jukwaa la mitandao ya kijamii la Reddit (the r/DeadBedrooms subreddit )- linalojieleza lenyewe kama "kundi la majadiliano la Redditors ambao wanakabiliana na uhusiano ambao hauna uhusiano wa kimapenzi".
Simulizi mbalimbali kama hizi hutolewa na watu ambao wako katika uhusiano ambao tendo la ndoa ni nadra ama hakuna kabisa. "Kwa nini anapendelea kupiga punyeto (kujiridhisha mwenyewe kingono kwa kutumia mikono yake) kuliko kushiriki tendo la ndoa na mie?"
Ingawa inaweza kuonekana ni jambo la kawaida kwa simulizi hizi zikitoka kwa wanandoa wenye umri mkubwa wanaotatizika kudumisha hamasa na hisia walizokuwa nazo miongo kadhaa iliyopita, lakini sasa nyingi husemwa na watu wanaojitambulisha kuwa wamekaribia miaka ya 20 au 30 (vijana).
Wengine wanasema watoto au heka heka za ndoa zinaathiri maisha yao ya kufanya tendo la ndoa; wengine wanasema waume zao wanaweza kutazama video za ngono kusiko na mwisho, lakini zisiwasaidia kuwasisimua. Orodha ya malalamiko inaendelea kutoka kwa umati wa watu wa kizazi cha sasa wanaoandika kuhusu 'maisha yao ya unyumba yaliyokufa'.
Millania

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Watoto wanachangia pia kupunguza wazazi kushiriki tendo la ndoa
Ingawa kizazi cha sasa kiko kwenye nyakati au wakati wao wa kufurahia tendo la ndoa, baadhi ya vijana kote ulimwenguni wameripotiwa "kuachana kushiriki tendo la ndoa".
Baadhi ya takwimu za hivi majuzi zinaleta simulizi hizi: Uchunguzi wa 2021 wa watu wazima wenye umri wa miaka 18 hadi 45 kote Marekani, uliofanywa na Taasisi ya Kinsey katika Chuo Kikuu cha Indiana na msichana anayejiuza Lovehoney, ulionyesha kuwa miongoni mwa watu wazima walio katika ndoa, kizazi cha sasa ndio walikuwa na uwezekano mkubwa wa "kuripoti matatizo ya kutokuwa na hamu ya kushiriki tendo la ndoa katika mwaka uliopita”.
Utafiti ulionyesha 25.8% ya watu wa kizazi cha sasa walio katika ndoa waliripoti tatizo hili. Ingawa "kukosa hamu ya kushiriki tendo hilo sio lazima ihusiane na kuwa katika ndoa isiyoshiriki tendo hilo", anasema Justin Lehmiller, mtafiti mwenzake katika Taasisi ya Kinsey, "wakati mmoja wenu au wote wawili katika ndoa wanapopata hisia za kutoshiriki tendo la ndoa, ushiriki wa mara kwa mara wa tendo hilo hupungua - na kupoteza hamu ni moja ya sababu kubwa kwa nini ndoa zinakosa tendo hilo kama ilivyyokuwa hapo mwanzo."
Ni nini hasa kinachoendelea? Madaktari wa masuala haya na watafiti wanapendekeza mambo mbalimbali ambayo yanaweza kuelezea ndoa zisizo na tendo la ndoa katika kizazi cha sasa. Bila kujali sababu zingine maalum katika chumba cha wanandoa, kwa kiasi kikubwa, kizazi hiki kinakabiliwa na vikwazo vya kipekee - hata visivyo na kifani - kwa maisha ya afya ya tendo lenyewe.

Uhuru wa ndoa isiyo na tendo la ndoa​

Kuna tafsiri nyingi ya ndoa isiyo na tendo la ndoa. Moja ni: wanandoa kutoshiriki tendo kwa muda mrefu. Kipimo kingine kinachotumiwa sana kwa ndoa isiyo na tendo la ndoa ni kushiriki tendo hilo chini ya mara 10 kwa mwaka.
Wengine wanasema ikiwa wanandoa hawafurahishwi kushiriki tendo mara kwa mara, kuna tatizo linalostahili kushughulikiwa. Inaweza kuwa ni pamoja na masuala ya matibabu au afya ya akili yanaweza pia kuchangia, kwa kuwa haya yanaweza kufanya tendo lisiwezekane. Maisha yenye shughuli nyingi, pamoja na kazi na/au watoto, yanaweza kuondoa hamasa ya tendo, vile vile mawasiliano duni.

Msongo wa mawazo​

Hili linaweza kuathiri maisha ya tendo la ndoa kwa kizazi cha sasa. "Msongo wa mawazo ni mojawapo ya kitu kinachoua kwa kiasi kikubwa tendo," anasema Lehmiller, " .
Vijana wengi wako katika umri ambao wanakuwa wazazi wapya au wana watoto wadogo, ni wakati mgumu sana katika maisha ya watu. Katika utafiti wa mwaka 2018 kutoka kwa mtandao wa ushauri nasaha wa Relate, 61% ya watu walio na umri wa miaka 30 waliripoti kushiriki tendo la ndoa kidogo kuliko vile wangependa kwa sababu "uwepo wa watoto wadogo unawazuia kwa namna moja ama nyingine kushiriki", huku 31% wakisema "wamepoteza hisia za kushirki tangu walipopata watoto”.
Millania

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Watafiti wanasema kutazama ngono kuna punguza hisia za tendo la ndoa

Mitandao ya kijamii, video za ngono na kupungua kwa maisha ya tendo la ndoa​

Ushawishi wa mtandao pia hauwezi kuachwa nyuma. Snyder anaelezea mitandao ya kijamii kama "vitu vinavyosumbua" , lakini Hirschman anaamini linachangia pa kubwa kuwa na ndoa zisizo na tendo la ndoa.
Kujitambua kunaweza kufuata watu kwenye vyumba vyao vya kulala na ndoa zao, na kuwafanya wasiwe na ujasiri kimwili. Takwimu za Per Relate za mwaka 2018, 37% ya watu walio na umri wa chini ya miaka 30 ambao walikuwa hawashiriki tendo kwa kiwango kikubwa, waliripoti kujitambua kuhusu miili yao, wakati 14% tu ya wale wenye umri wa miaka 60 na kuendelea walisema hivyo.
"Katika Karne ya 20, baadhi ya wavulana wlijielekea zaidi kuwa na wanawake wengi," Snyder anasema. "Siku hizi, vijana wao hutazama tu video nyingi za ngono."

Kutozungumza daima kuhusu hili​

Ni wazi kwamba ukosefu wa tendo ni mada ambayo baadhi ya watu hupata shida hata kuzungumzia na mtu ambaye wanaishi naye chumba kimoja cha kulala, achilia mbali kwa upana zaidi - kufanya kuelewa masuala na kutafuta ufumbuzi kuwa vigumu zaidi.
Kama mtu mmoja aliandika kwenye mtandao (r/DeadBedrooms) siku chache zilizopita, kwamba maisha yana shughuli nyingi na shinikizo nyingi, hata kuibua mjadala kwamba inaweza kuonekana kuwa muda wakuzungumza haiuwezekan. "Sijui hata niombe nini tena," aliandika mwanamke mmoja anayesumbuka na hili. "Nataka kurekebisha hili, lakini sijui nifanye nini."
 
Eeeh mwandiko mdg sana me sion vzuri
 
Mimi Bado kdgo tu nipige chini suala la ndoa niendelee na ishu zingine.
Ndoa za ckuiz zimejaa maghilibu watu wanazuga kupendana kumbe ndani kunawaka Moto.

Watu wengi wanalala mzungu wa nne vitandani mwao.
NDOA ZA SIKU HIZI NI USANII TU

VIJANA KATAENI NDOA KWA NGUVU ZOTE AFYA YA AKILI INA THAMANI KULIKO NDOA
 
Back
Top Bottom