Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

Hakuna formula kikubwa ZINGATIENI nyege zenu tu na wanandoa wasinyimane baaasiiiii....
Mambo ya tafiti kwenye nyege Kama hayana uhalisia vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiasi fulan hizi tafiti zinasaidia manake wale wakuu wa kupiga kamoja mwez mzima wanaona kias gani inabid wakomae kupiga show?
 
Ukishakuwa katika ndoa ndio utagundua japo linaitwa tendo la ndoa lakini ni nadra sana kufanyika humo ndoani.
Unaweza kuta watu wanalala kitanda kimoja wakamaliza hata miezi 6 bila hata ya kugusana.
Hiyo ndoa yako itakuwa haiko sawa hebu haraka sana tafuta ufumbuzi kwa kufanya mawasiliano Kati yenu wanandoa ili mrejee katika upendo wa awali.
Nawatakia ndoa njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Legends watupe uzoefu kidogo maana vijana walio single tunamihemko sana tunawaza (attitude) kumwaga moto tu, all the time. Waliooa atleast 5yrs watuambie. Maana unaweza taka show ukakumbushwa ada ya dogo anadaiwa 500k mood ikakata ghafla ohooo!
 
Huwa hatutumii uzazi wa mpango, tunafuata Kalenda.
So sisi tunachakachuliana sana wakati wa danger...bila kuuaza mechi...yaani kila siku hadi joto likishuka (danger zone ikiisha) tunabaki tu hamna hata kitu....
Wakati wa danger ni hatari nyie....ukigusa twa na bibie mnara ushasoma...
 
Legends watupe uzoefu kidogo maana vijana walio single tunamihemko sana tunawaza (attitude) kumwaga moto tu, all the time. Waliooa atleast 5yrs watuambie. Maana unaweza taka show ukakumbushwa ada ya dogo amerudishwa anadaiwa 500k mudi ikakata ghafla ohooo!
Nina almost 10yrs, mama watoto yuko active akiwa danger zone.....baada ya hapo mara chache....so wakati wa danger zone ni show show....(bila kuuza mechi) there after hamasa inashuka
 
Back
Top Bottom