Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

Akili mtu wangu, wamesema kwa wana ndoa ni 54 hapo hujaweka mchepuko, barmaid, pisi kali mjini, maofisini zile za one night stand nk nk nk nk jiongeze
😀😀😀kwa pande zote au mwanaume pekeake? Wanawake sii sanaa nadhani
 
Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia.

Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza kuishi pamoja kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kila siku. Wanandoa wapya pia ni hivyo pia.

Lakini pia wake zetu hawa huchoka na majukumu ya kazi au malezi ya watoto nyumbani na huathiri hamu nzima ya tendo la ndoa. Je, ili tendo la ndoa wote wafurahie linapaswa kufanywa kila siku? Mara ngapi kwa wiki?

Wewe una uzoefu gani kwenye hili jambo?

Nawasilisha.
Nikifikiria sura yako ilivo na kichwani unavyowaza muda wote !!Nashindwa kujua shida ni nn
 
Nikifikiria sura yako ilivo na kichwani unavyowaza muda wote !!Nashindwa kujua shida ni nn
Hamna shida mkuu
Sura yangu haina uhusiano na mitazamo yangu. Mbona hamna shida kabisa mkuu. Au wewe huwazi?
 
Back
Top Bottom