Tendo la ndoa kwa Mwanaume na ondoleo la nuksi

Undava King

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,205
5,333
Tokea katika kipindi cha kale zaidi cha zama alizopitia mwanadamu. Binadamu ameonekana kuibariki ngono kupitia michoro, alama na sanamu ambazo zimekuwa zikipatikana katika nchi nyingi duniani zenye historia ya muda mrefu katika historia ya binadamu.

Leo hii katika zama mpya tawala za kidunia na imani zetu za kidini bado zinabariki na kuenzi tendo la ndoa kama nguvu kuu ya uumbaji. Kuna wale waufuatao msalaba na alama ya jua hawa ujibainisha kuunga jinsia ya Kiume na wale wafuatao dome shape na alama ya mwezi hawa uabudu na kuhusudu katika uke.

Kwanini iwe hivyo pasina shaka sote twatambua umuhimu wa nguvu kuu mbili zinazosababisha ulimwengu huu uwepo na upate balance (Ying&Yang)

Lengo hapa si kuongelea mambo ya Imani za kidini au kitawala bali kukupatia mwanga kidogo juu ya kile ninachokwenda kukiongelea.

Ni kwa jinsi gani 'UKE' wa mwanamke unaweza kutumika kumbariki mwanamume na kumwondolea nuksi maishani mwake? Hili ndilo swali ambalo ningependa nikujibu ndugu msomaji wa makala hii.

Tafadhali ongozana nami katika hili na upate kuhabarika;

Cha kwanza unachopaswa kujua kwa wewe uaminie katika imani ni kuwa Uke wa mwanamke umebarikiwa na Mungu. Na si ruhusa hata kidogo kwa mwanamke kuzini na mwanamume asiye mume wake ila katazo hili halijatiliwa mkazo kwa mwanaume. Unafikiri ni kwanini?

Ni kwa sababu mwanamke tokea kuumbwa kwake aliumbwa kwa ajili ya kumbariki mume (hivyo hatima ya mwanamume hii mikononi mwa mwanamke wake)

Ila kwa upande mwingine mwanamke yeye amekwisha kubarikiwa (moja kwa moja) uzao wake na Mungu.

Hata katika maandiko tunaona kisa cha Joka na Hawa(mwanamke) kilivyopelekea anguko la Adamu (mwanaume) ni kwa kuwa Hawa hakuisikiliza sauti ya Adamu (mumewe) na kuibariki.

Kisa kingine kama hiki tunakikuta katika maandiko ya biblia ambapo tunamwona Ibrahim kwa sababu ya kuofia kuuawa katika nchi ya kigeni juu ya uzuri wa mkewe anaamua kudanganya kwa kumkana mbele ya mfalme ili kujinusuru uhai wake, lakini anaye kuja kuingilia kati pindi mwanamke anapousishwa ni Mungu mwenyewe.

Kuna kisa kingine pia cha Ibrahimu kubarikiwa na mkewe hili aweze kulala na mjakazi wake. Ibrahimu anapomuuliza Mungu kipi afanye Mungu anamwambia isikilize sauti ya mkeo.

Nafikiri mpaka hapo sasa umepata majibu juu ya kwanini unapochagua mwanamke wa kuoa unasisitizwa kuwa makini mno na chaguzi zako, ni kwa sababu usipokuwa makini unaweza kujitwalia mikosi badala ya baraka.

Kwa wale tunaokuwa tunateswa na laana za maisha yaliyopita ambayo uendelea kutuwinda katika wakati uliopo suluhisho pia ni hili leo niwaibieni siri.

Mfano ulishahitimu shule miaka mingi mno ila haupitishi wiki nikuota shule tu ndugu yangu inakupasa kufikiri mara mbili mbili ikiwa katika nyakati zile ulikuwa na matamanio ya dhati kwa mdada mmoja darasani lakini hukufanikisha tendo la ndoa naye hatimaye ukamaliza shule na ukachukulia yameisha na umeyasahau, ndugu umejidanganya hiyo ni laana kwako na ni lazima kitendo hicho kitimie ndipo kiumbe huyo (nuksi) atakapotoweka na kuiachia huru nafsi yako.

Hii pia ina-apply kwa wale tunaofukuzia wanawake wa aina fulani kwa muda pasipo mafanikio kisha tunakata tamaa au tunaumizwa nao makusudi, kisha tunajilipua kwa wanawake wengine ilimradi kupooza mutima.

Nikwambie tu ukihitaji kuondoa laana ya kuota-ota mahali fulani ambako uliishipo, kusomeapo au uliwahi kumfukuzia mwanamke pasipo mafanikio.

Rudi katika mahali husika jitwalie mwanamke yeyote yule aliyekuvutia ulale nae ukiamini moyoni nafanya ondoleo la nuksi na baada ya hapo utokaa usumbuliwe na ndoto za namna hiyo tena same applies kwa wewe wa ndoto za shule haijalishi ni za mitihani au matendo ya shuleni tafuta classmate yeyote yule ambaye yuko jirani nawe katika maisha ya sasa mwombe akubariki baada ya hapo hizo ndoto itakuwa ni historia.

Unapokuwa katika mahusiano na mwanamke na ukagundua afya ya akili (kuongezeka kwa utulivu na ridhiko) na mwili wako kiujumla imeanza kubadilika kwa ku-gain uzito au kunawiri na kuwa na ngozi nyororo au siha njema.

Jua tiyari mwanamke uliyenaye ni mwenye baraka unazozihitaji hata kama ulijisemea nafsini kwako hapa nagonga kisha napita hivi, my friend vuta kiti ukae kwa maana wanawake matching item ni adimu na ni nadra kukutana nao maishani mara zote utaangukia katika kundi la waleta stress.

Kwa wale magwiji wa kulala na malaya au wanawake wengi tafadhali acha tabia hizi kwani tendo la ndoa linakupa mambo mawili tu baraka au mikosi. Ikitokea ukajichafua sana basi tegemea mikosi mingi.

Hii ndiyo sababu ukianza ku-date na wanawake wa aina fulani isiyovutia iwe kisura, kitabia, kimaumbile au hali ya vipato au elimu basi daima utakuwa na mikosi ya kuwapata wa kariba hiyo hiyo kwa kuwa hao ndiyo waliokwisha kukubariki sana kuliko wale unaowataka kwa dhati.

Hii nini maana yake? Ukiwa unataka mwanamke mzuri wa sura au shepu ndugu yangu usijichanganye hata siku moja uka-date mong'o au demu asiyekuvutia kwa kigezo cha hapa nachapa mara moja napita hivi.

Tendo la ndoa ni usumaku wa asili na ni kioo chako kama mwanaume cha rohoni unapolala na mwanamke yeyote yule kwa muda ule ni kama roho zenu "uposesiana" hivyo usipokuwa makini unaweza surrender GPA yako yenye point za u-lecturer kwa mwanamke dhaifu na mwishowe mwenyewe ukaambulia SUP ya maisha.

Mwanaume date na mwanamke ukijaribu kuzingatia dalili za baraka iwapo zipo kwa mwanamke husika, endapo tokea umekuwa kwenye mahusiano yako mambo yamezidi kuwa magumu, ustawi kimaisha hakuna, bado una mfadhaiko fulani,wasiwasi au unahisi bado unahitaji kuongeza juhudi kuimarisha penzi lenu, mawazo ni mengi, cha kukushauri chimba.

Endelea kusaka mali safi mpaka pale utapojikuta kwenye mahusiano ambayo muda wa mazungumzo peke yenu hauamuliwi na masaa, kumwangalia haukinai, ukisikia sauti yake tu unasahau yote, ukiwa job unawaza hata kutoroka uwahi nyumbani n.k ukiona dalili hizo mwanawane jua we ni kati ya wale wanaume wachache sana duniani waliopata kibali cha kubarikiwa na wanawake zao.

"Upendo wa mwanamke kwa mumewe ni baraka bali upendo wa mwanaume kwa mkewe ni wajibu."
 
Kwakweli kuna kitu kimenigusa kabisa, mm nimehitim chuo miaka kadhaa ilopita. Kumekuwa na hali ya mimi kuota mambo ya shule kila mara, yaan huota nipo shule ya msingi, secondary, advance na chuo. Na hizo shule zote nizile nilipopitia hata wanafunzi ni wale nilowahi kusoma nao. Huwa najiuliza maana ya ndoto hizi lakini sijawahi pata jawabu, mpaka leo nilipopitia uzi wako.
 
Na kuna wale walioamrisha ndoa za ushoga
 
Kwakweli kuna kitu kimenigusa kabisa, mm nimehitim chuo miaka kadhaa ilopita. Kumekuwa na hali ya mimi kuota mambo ya shule kila mara, yaan huota nipo shule ya msingi, secondary, advance na chuo. Na hizo shule zote nizile nilipopitia hata wanafunzi ni wale nilowahi kusoma nao. Huwa najiuliza maana ya ndoto hizi lakini sijawahi pata jawabu, mpaka leo nilipopitia uzi wako.
Kama wewe ni Mkristo basi haufuatilii mafundisho ya watumishi maana kila mara wanafundisha mambo hayo, pole sana.
 
Tendo la ndoa ni agano...

Ni kwaajili ya waliofunga ndoa tu...

Sasa watu wengi wanalifanya tendo la ndoa na watu mbalimbali, wasijue wanaweka agano na watu wengi kiroho...

Sasa sio watu wote wanaimani na Mungu, wengine ni majini na wachawi...

Hapo ndio wanakuwa wamebeba maroho mabaya ya wanawake na wanaume wanaolala nao...
 
Basi kuna mwanamke nilikua napiga kitambo sana kwa lengo la kupita tu, lakini mpaka leo nikizidiwa napiga simu moja tu ashafika, nikishamaliza nasema simcheki tena.. Nipe mwezi mmoja
ukiona hivyo jua huyo ndiye akufahae ila una-assume kuna mwingine aliye bora zaidi yake mpaka pale ukishachelewa vyakutosha ndiyo unaanza kujiuliza hivi ilikuwaje sikulitambua hili mapemajua hauko peke yako wanaume wengi sana wanapitia hiki kitu kwenye mahusiano yao.
 
Kwakweli kuna kitu kimenigusa kabisa, mm nimehitim chuo miaka kadhaa ilopita. Kumekuwa na hali ya mimi kuota mambo ya shule kila mara, yaan huota nipo shule ya msingi, secondary, advance na chuo. Na hizo shule zote nizile nilipopitia hata wanafunzi ni wale nilowahi kusoma nao. Huwa najiuliza maana ya ndoto hizi lakini sijawahi pata jawabu, mpaka leo nilipopitia uzi wako.

Kuna kitu wengi wetu huwa hatukijui ila ukweli ni kwamba hicho kitu kipo; katika shule na vyuo tunavyosoma, nyingi zimetambikiwa au kuzindikwa na zina roho nyingi chafu ambazo uingia wanafunzi kupitia matamanio yao ya kimasomo, fedha au mapenzi.

Kwa kuwa wanafunzi wengi nyakati hizi huwa ni bikra au hawajafanya ngono kiivyo, hivyo kiroho hawajachafuka sana na ulimwengu huu halisi wa mahusiano mengi na tamaa nyingi, Zile roho chafu zenye tamaa na mwili usio na dosari uwavaa wanafunzi pasipo kujua kupitia tamaa zao za nyakati hizo na kuwafunga nazo maishani.

Sasa ili kujinasua na roho hizi lazima utimize kwa vitendo lile kusudio lako la tokea mwanzo ambalo lilizipatia njia tamaa hizo kujitwalia mahali katika nafsi yako na kuendelea kukusumbua.

Na njia pekee ya rahisi ya kuondoa tamaa hizo ni kupitia tendo la ndoa na mwanamke uliyekuwa naye katika nyakati hizo (siyo lazima awe ni yule yule uliyempenda nyakati hizo)

Kwanini "tendo la ndoa" na siyo kutatua changamoto kwa kuomba, kutumia pesa,kutenda wema au kutoa sadaka?(japo na hizi pia ni njia ambazo zikifuatwa kwa usahihi utatua tatizo)

Ni kwa kuwa hakuna tendo mwilini mwetu lenye ushawishi wa kulitenda kama ilivyo ngono (kuwaka tamaa kali) na pale punde tu tunapomaliza kutenda hivyo tunajihisi kuridhika na kutua mzigo wote wa matamanio, kiroho hapo tiyari umeshajitibu.
 
Tendo la ndoa ni agano...

Ni kwaajili ya waliofunga ndoa tu...

Sasa watu wengi wanalifanya tendo la ndoa na watu mbalimbali, wasijue wanaweka agano na watu wengi kiroho...

Sasa sio watu wote wanaimani na Mungu, wengine ni majini na wachawi...

Hapo ndio wanakuwa wamebeba maroho mabaya ya wanawake na wanaume wanaolala nao...
Ni kweli kabisa tunapaswa kuwa makini katika suala la mahusiano si kila mwanaume au mwanamke ni wakulala naye. Tujitahidi mara kwa mara kudhibiti tamaa zetu za kimwili.
 
Tokea katika kipindi cha kale zaidi cha zama alizopitia mwanadamu. Binadamu ameonekana kuibariki ngono kupitia michoro, alama na sanamu ambazo zimekuwa zikipatikana katika nchi nyingi duniani zenye historia ya muda mrefu katika historia ya binadamu.

Leo hii katika zama mpya tawala za kidunia na imani zetu za kidini bado zinabariki na kuenzi tendo la ndoa kama nguvu kuu ya uumbaji. Kuna wale waufuatao msalaba na alama ya jua hawa ujibainisha kuunga jinsia ya Kiume na wale wafuatao dome shape na alama ya mwezi hawa uabudu na kuhusudu katika uke.

Kwanini iwe hivyo pasina shaka sote twatambua umuhimu wa nguvu kuu mbili zinazosababisha ulimwengu huu uwepo na upate balance (Ying&Yang)

Lengo hapa si kuongelea mambo ya Imani za kidini au kitawala bali kukupatia mwanga kidogo juu ya kile ninachokwenda kukiongelea.

Ni kwa jinsi gani 'UKE' wa mwanamke unaweza kutumika kumbariki mwanamume na kumwondolea nuksi maishani mwake? Hili ndilo swali ambalo ningependa nikujibu ndugu msomaji wa makala hii.

Tafadhali ongozana nami katika hili na upate kuhabarika;

Cha kwanza unachopaswa kujua kwa wewe uaminie katika imani ni kuwa Uke wa mwanamke umebarikiwa na Mungu. Na si ruhusa hata kidogo kwa mwanamke kuzini na mwanamume asiye mume wake ila katazo hili halijatiliwa mkazo kwa mwanaume. Unafikiri ni kwanini?

Ni kwa sababu mwanamke tokea kuumbwa kwake aliumbwa kwa ajili ya kumbariki mume (hivyo hatima ya mwanamume hii mikononi mwa mwanamke wake)

Ila kwa upande mwingine mwanamke yeye amekwisha kubarikiwa (moja kwa moja) uzao wake na Mungu.

Hata katika maandiko tunaona kisa cha Joka na Hawa(mwanamke) kilivyopelekea anguko la Adamu (mwanaume) ni kwa kuwa Hawa hakuisikiliza sauti ya Adamu (mumewe) na kuibariki.

Kisa kingine kama hiki tunakikuta katika maandiko ya biblia ambapo tunamwona Ibrahim kwa sababu ya kuofia kuuawa katika nchi ya kigeni juu ya uzuri wa mkewe anaamua kudanganya kwa kumkana mbele ya mfalme ili kujinusuru uhai wake, lakini anaye kuja kuingilia kati pindi mwanamke anapousishwa ni Mungu mwenyewe.

Kuna kisa kingine pia cha Ibrahimu kubarikiwa na mkewe hili aweze kulala na mjakazi wake. Ibrahimu anapomuuliza Mungu kipi afanye Mungu anamwambia isikilize sauti ya mkeo.

Nafikiri mpaka hapo sasa umepata majibu juu ya kwanini unapochagua mwanamke wa kuoa unasisitizwa kuwa makini mno na chaguzi zako, ni kwa sababu usipokuwa makini unaweza kujitwalia mikosi badala ya baraka.

Kwa wale tunaokuwa tunateswa na laana za maisha yaliyopita ambayo uendelea kutuwinda katika wakati uliopo suluhisho pia ni hili leo niwaibieni siri.

Mfano ulishahitimu shule miaka mingi mno ila haupitishi wiki nikuota shule tu ndugu yangu inakupasa kufikiri mara mbili mbili ikiwa katika nyakati zile ulikuwa na matamanio ya dhati kwa mdada mmoja darasani lakini hukufanikisha tendo la ndoa naye hatimaye ukamaliza shule na ukachukulia yameisha na umeyasahau, ndugu umejidanganya hiyo ni laana kwako na ni lazima kitendo hicho kitimie ndipo kiumbe huyo (nuksi) atakapotoweka na kuiachia huru nafsi yako.

Hii pia ina-apply kwa wale tunaofukuzia wanawake wa aina fulani kwa muda pasipo mafanikio kisha tunakata tamaa au tunaumizwa nao makusudi, kisha tunajilipua kwa wanawake wengine ilimradi kupooza mutima.

Nikwambie tu ukihitaji kuondoa laana ya kuota-ota mahali fulani ambako uliishipo, kusomeapo au uliwahi kumfukuzia mwanamke pasipo mafanikio.

Rudi katika mahali husika jitwalie mwanamke yeyote yule aliyekuvutia ulale nae ukiamini moyoni nafanya ondoleo la nuksi na baada ya hapo utokaa usumbuliwe na ndoto za namna hiyo tena same applies kwa wewe wa ndoto za shule haijalishi ni za mitihani au matendo ya shuleni tafuta classmate yeyote yule ambaye yuko jirani nawe katika maisha ya sasa mwombe akubariki baada ya hapo hizo ndoto itakuwa ni historia.

Unapokuwa katika mahusiano na mwanamke na ukagundua afya ya akili (kuongezeka kwa utulivu na ridhiko) na mwili wako kiujumla imeanza kubadilika kwa ku-gain uzito au kunawiri na kuwa na ngozi nyororo au siha njema.

Jua tiyari mwanamke uliyenaye ni mwenye baraka unazozihitaji hata kama ulijisemea nafsini kwako hapa nagonga kisha napita hivi, my friend vuta kiti ukae kwa maana wanawake matching item ni adimu na ni nadra kukutana nao maishani mara zote utaangukia katika kundi la waleta stress.

Kwa wale magwiji wa kulala na malaya au wanawake wengi tafadhali acha tabia hizi kwani tendo la ndoa linakupa mambo mawili tu baraka au mikosi. Ikitokea ukajichafua sana basi tegemea mikosi mingi.

Hii ndiyo sababu ukianza ku-date na wanawake wa aina fulani isiyovutia iwe kisura, kitabia, kimaumbile au hali ya vipato au elimu basi daima utakuwa na mikosi ya kuwapata wa kariba hiyo hiyo kwa kuwa hao ndiyo waliokwisha kukubariki sana kuliko wale unaowataka kwa dhati.

Hii nini maana yake? Ukiwa unataka mwanamke mzuri wa sura au shepu ndugu yangu usijichanganye hata siku moja uka-date mong'o au demu asiyekuvutia kwa kigezo cha hapa nachapa mara moja napita hivi.

Tendo la ndoa ni usumaku wa asili na ni kioo chako kama mwanaume cha rohoni unapolala na mwanamke yeyote yule kwa muda ule ni kama roho zenu "uposesiana" hivyo usipokuwa makini unaweza surrender GPA yako yenye point za u-lecturer kwa mwanamke dhaifu na mwishowe mwenyewe ukaambulia SUP ya maisha.

Mwanaume date na mwanamke ukijaribu kuzingatia dalili za baraka iwapo zipo kwa mwanamke husika, endapo tokea umekuwa kwenye mahusiano yako mambo yamezidi kuwa magumu, ustawi kimaisha hakuna, bado una mfadhaiko fulani,wasiwasi au unahisi bado unahitaji kuongeza juhudi kuimarisha penzi lenu, mawazo ni mengi, cha kukushauri chimba.

Endelea kusaka mali safi mpaka pale utapojikuta kwenye mahusiano ambayo muda wa mazungumzo peke yenu hauamuliwi na masaa, kumwangalia haukinai, ukisikia sauti yake tu unasahau yote, ukiwa job unawaza hata kutoroka uwahi nyumbani n.k ukiona dalili hizo mwanawane jua we ni kati ya wale wanaume wachache sana duniani waliopata kibali cha kubarikiwa na wanawake zao.

"Upendo wa mwanamke kwa mumewe ni baraka bali upendo wa mwanaume kwa mkewe ni wajibu."
Usipuuzwe una kitu...

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Vipi kwa wanaojichua??
Kamwe nafasi ya Mwanamke haiwezi kutwaliwa na mkono wako. Punyeto haina baraka ya aina yeyote ile na wala haikupi mikosi pia.

Kama mwanaume rijali ni "wajibu" wako kumshawishi mwanamke uliyempenda mpaka aridhie kukupatia nunu yake ili upate baraka hizo ambazo hutozipata kupitia kujichua.
 
Back
Top Bottom