Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Wazee wa kukaaa kwenye soketi ya umeme wakija hapa hawatakuelewa mi ni bora simu inisumbue mengine lakini siyo kwenye chaji asee
Kwa watu wa whatsapp na insta simu charge nyingi zinawafaa ila kwa wale wanaozigeuza simu kuwa kama PC tunahitaji zaidi ya charge na tuko tayar kubeba betri nne nne /charger au powerbank
 
Ina maana nyie watu wa Tecno mmeshindwa hata kujenga hoja za ushawishi na kuishia kutiatia huruma Mara tecno Mara tecno!lakini hamsemi hizo simu zina uwezo gani mfano Ram za simu,Android ya simu,quality ya simu, ubora wa camera,security ya simu,speed ya internet etc!.Njoeni na hoja acheni kelele
 
Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.

Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Tatizo la mtandao sio simu, hata ingekuwa iPhone ingezingua hivyo hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom