City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,780
- 8,318
Haha...Aisee...150,000/-. Sijui simu nzuri ya hiyo bei mkuu.[emoji121]
BAJETI YANGU NI 150,000/= MKUU.
NICHUKUE IPI?
Si ujipange pange hata 400,000k misimu ya sikukuu kuna offer kibao unaweza pata ka-midrange ka Nokia au Samsung.
Au hata 300,000k hivi Tecno X zile nadhani ziko vizuri kutokana na specs zake