Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.

Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.

Ngoja nimsaidie Ushimen kuweka mdomo wazi kabisa

Eti kama kopo...

Hiki kijembe ni hatarious kabisa.

Mimi naendelea kukomaa na katecno kangu hapa Dada yangu tangu nikatoe dukani April 26, 2016. Bado kako imara kanapiga kazi kwenye sekta muhimu kama mkuu Nchi
 
Hahahaaa. Nimecheka jamaani lol.

Hongera mdogo wangu ulibahatika basi ndugu yangu. Mzima lakini?
 
Ngoja nimsaidie Ushimen kuweka mdomo wazi kabisa

Eti kama kopo...

Hiki kijembe ni hatarious kabisa.

Mimi naendelea kukomaa na katecno kangu hapa Dada yangu tangu nikatoe dukani April 26, 2016. Bado kako imara kanapiga kazi kwenye sekta muhimu kama mkuu Nchi
Ongera sana mkuu Tecno forever achana na hao wanaonunua simu kwa ukubwa wa majina ya kampuni kwa bei kubwaa na wakati za bei ndogo zipo nyomiii
 
Mi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme.

Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto kwangu ni no japo hazidumu sana sometime na mapicha picha yake lakini Tecno is the best kwangu.

---inakaa na chaji 24+ hours kama sina mambo ya kufanya online.

__Camera yake iko vizuri .

__Kioo kikubwa

__Rahisi kuitumia haina mambo mengi.

__Space ya kutosha tu 16GB siyo haba kwa matumizi yangu binafsi.

__bei yake ni kawaida tu kwa mimi mjasiriamali au ata mkulima kuweza kuimudu.

__Upande wa data ni 4G+ na hazina ugumu kwenye upande wa Network setting.

Mnaotuponda watumia Tecno mkuje hapa mtupe Utofauti wa simu zenu.

Mi niko hapa natumiaTecno na hii post mnayoina nimeandika kwa kutumia tecno bila shaka mmeiona haina tofauti na atakaekuja kuandika kwa kutumia Samsung au I phone.
usipende ku compare simu ya i phone na vitu vya kipuuzi..
 
usipende ku compare simu ya i phone na vitu vya kipuuzi..
Wazungu wanawafilisi kwa kuvipa vitu vyao Dhamani ila hakuna cha ziada mkuu.

Katecno kangu kanaingia facebook,whatsapp,instagram,twitter ,jf na site kama zote alafu nimekanunua laki 3 tu vipi we i phone yako ya milioni 3 ina kitu gani cha tofauti zaidi ya i cloud na Security ya uhakika.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom