Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Hawa walitumia y3 alafu wanakuja hapa kuponda Tecno zote.
Ndo hapo sasa, halafu simu kustack si Tecno tu hata Samsung na nyinginezo. Kama hawaamini waambie wajaze Apps, ram na storage zizidiwe uwezo watakuja kusimulia. Computer yenyewe inastack ikizidiwa uwezo ndo sembuse simu.

Kama ni mtumiaji wa apps nyingi, nunua tecno kuanzia laki 3 ndiyo utafurahia
 
Ndo hapo sasa, halafu simu kustack si Tecno tu hata Samsung na nyinginezo. Kama hawaamini waambie wajaze Apps ram na storage zizidiwe uwezo watakuja kusimulia. Computer yenyewe inastack ikizidiwa uwezo ndo sembuse simu.

Kama ni mtumiaji wa apps nyingi, nunua tecno kuanzia laki 3 ndiyo utafurahia
Mkuu hawatakuelewa ata ukiwaambia hivyo
 
Sasa hivi unatumia nini?

Mi Tecno ilinishinda kwa visa vyake. Bombardier ikipita juu yenyewe inajichaji automatikale. Ukienda hospitalini nesi akishika sindano yenyewe ina vibrate. Ukienda nayo msalani inapoteza network afu inaanza kuimba taarab...
Kwa sasa natumia Samsung na ndipo mkono wangu ulipofikia kujikuna babu. Hahahaaa

Tecno ni changamoto aisee Babu hazina maana hata kidogo na usiombe screen ipate ufa basi kama ni sehemu ya herufi ujue haifanyi kazi tena.
 
Ulitumia tecno y3 wewe kuna watu wanaoongoza kutumia simu zenye kreki kama watu wa tecno na ziko poa .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom