Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.

Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Tecno ilee siyo tecno ya leo
 
Hazinaga maana hizo Mangi. Yaani ni simu nzuri kimuonekano + ukubwa ila nje ya hapo si lolote.
Paragraph yangu ya pili nimeelezea kuhusu hilo kwamba japo hazidumu lakini kwangu ndio the best ikianza kuzingua nampa dogo atumie mi navuta nyingine mupya ukizingatia kila siku zinakuwa Up dated
 
Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.

Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Mi nilikuwa natumia Galaxy s2 mwaka 2013 hiyo, akaja dada mmoja akataka nimbadulishie anipe tecno m5 na laki mbili juu. Nikampa.

Ile tecno nilitumia mwezi tayari kioo kishachakaa na kustack.

Akaja jamaa enzi hizo chuon wenye smartphones chuon wanahesabika nikamkamata bei.

Toka siku hiyo tecno sitaki hata kuishikaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom