Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,451
- 4,654
๐๐๐๐๐๐
unatuma hutumi?
๐๐๐๐๐๐
Mmmh.Mkuu napiga sana mishe za bushi chaji na urahisi wa kupatikana network ndio kila kitu kwangu .
Nooo! Labda fake, au hujui namna ya kucheza ns simuTecno baada ya miez 6 inastack
Tecno LA7 PouvoirUsiseme tu unatumia Tecno.
Tupe model yake tufukunyue spรฉcifications.
Simu siyo jina, ni yaliyomo.
Spark 2![]()
NI TAFUTE MODELI IPI MKUU?
Tecno camon xUsiseme tu unatumia Tecno.
Tupe model yake tufukunyue spรฉcifications.
Simu siyo jina, ni yaliyomo.
Hahaaaaa. Nini lakini Zero.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Umeona iko na 50% soon utaagiza power bank
Baadae ntatuma Arifu.unatuma hutumi?
Sasa ukae na simu mwaka mmoja unataka izae?Mzk wa tekno utauona ikimaliza mwaka mmoja toka uinunue....yaan hii yangu Mara ijizime,Mara nikiwasha data istucj hadi nireboot,Mara inasearch mambo ambayo sijataka yaan taabu tupu.
Umeona sasaa.Ist no C au alteza namba B mbili mkuu?
Ongereni.
Asa M5 uliingia kichakaMi nilikuwa natumia Galaxy s2 mwaka 2013 hiyo, akaja dada mmoja akataka nimbadulishie anipe tecno m5 na laki mbili juu. Nikampa.
Ile tecno nilitumia mwezi tayari kioo kishachakaa na kustack.
Akaja jamaa enzi hizo chuon wenye smartphones chuon wanahesabika nikamkamata bei.
Toka siku hiyo tecno sitaki hata kuishikaa.
Samsung nimetumia nayo ilikuwa inazingua sana net, Iphone ndo nilisema sintoitumia tena, maana kipindi kile wasap tunalipia $0.99 kwa mwaka ilikuwa Iphone huwezi kudownload kwenye appstore hadi uilipie kwanza na hivyo hivyo kwa apps zingine za trail wao wanataka ulipie kwanza.Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.
Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Sasa hivi unatumia nini?Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.
Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.