Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Bado bado bado sana kunishawishi Zero Iq sababu nilishakuwepo hukoo.

Ningekuwa sijawahi tumia hapo sawa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nijibu basi
 
Samsung mpango mzima, screen angavu na ya kusense fasta si km tecno screen inang'ang'ania vidole, mi pia natumia zote (nina tecno w3 na Samsung j5 2016) na nina mpango wa kununua Samsung J8 ya mwaka huu.
Tatizo la Samsung ni bei tu ndo ghali ila ukweli huwezi kuzikompea na tecno.
Afu hiyo P5 yako ya zamani sana asee nunua mpya tecno camon x ndo angalau unaweza kompea na samsung.
 
Umeamkaje mama Samsung user
Hahahaaaa. Jamaaani lol.

Sijambo Baba Tecno [emoji12][emoji12][emoji12]. Niaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Niseme tu ukweli, mimi Samsung nimezichukia hasa zinapopasuka screen/kioo kiurahisi.

Tecno yangu nimeidondosha mara nyingi sana kwenye sakafu lakini imepasuka kidogo sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom