Tecno smart phone ni shidaaaaaa

Tecno smart phone ni shidaaaaaa

SIM ZA TECNO ZINA MATATIZO BALAA
Kama ulishawahi tumia smart za tecno lazima ulishawahi kutana na moja au yote matatizo yafuatayo .na utakuja kugundua utofauti kama nawe kwa sasa unatumia smart ya kampuni jingina
1 kujizima ukiingiza app nyingi kama hakuna memory card ulioweka
2.kupokea sms nyingi wakati ilitumwa moja tu
3.GPS kujiwasha yenyewe.hata uzime vipiii
4.message ku mark kama haijasomwa wakati umesoma
5.lawama kwa watu unaowatumia sms kuwa unatuma sms 1 mara nyingi kumbi 1 moja tuu
6.kuisha sms za kutuma sabab sms zinajituma zenyewe na zina tumia vocha
7.kumaliza betri haraka sabab ya kujiwasha GPS
8.ram speed ndogo sanaaa hadi kupiga inaleta shida ukiwa na app nyingi
9.ukiandika sms ndefu inajibadili kuwa mms
10.kuwa na mwanga hafifu hata uweke full
11.huwezi ku reset factory mpaka ujue kichina reset factory yake imeandikwa kichins
12.baadhi ya app hudai kujaza aina ya sim tecno halitambuliki hizo app utszikosa
13.inachagua bluetooth za kukamata
14.ina support multiple touch 2 tuu
15.kujizima yenyewe ikijaa vitu
16.kutengeneza folder nyingi kwenye memory
17. kufail kwa app muhim kila mara kama launcher
18.kugundua touch mpaka kidole.kibonyer
19.ukiandika sms huku unatumia power bank au charge utajuta ukibonya s mara ilete w fulu kuotea
20.button ya kumpigia mtu mda mwingine ukiminya upige yenyewe.inaanza kusearch contact
21.baadhi ya ussd code ukiziandika zinajifuta zenyewe
22.button za sauti na power kuregea mapema
23.ikianza tatizo moja ukipeleka kwa fundi ujue ikipona lazima urudi na tatizo jingine
23.gravity kuchelewa ku sence hadi mpaka sec2 hadi 5

kama wewe unatatizo mojawapo hapo juu nnaweza kukuelekeza jinsi ya kupunguza maana tecno nmetumia sanaaa
Mimi natumia tecno y3, mbona haina hayoo matatizooooo
 
Kuna mama mmoja kaniletea tecno yake ina tatizo la apps kujidownload hadi kichwa kinaniuma, ukiwasha data tu mara viapps vya porn vinajidownload, magame ndo usiseme, nimejaribi kuirestrict play store lakini wapi, factory reset wapi
Kweli tecno wameniweza🤗🤗🤗😇😇
 
mimi tatizo nililokutana nalo kwenye Phantom z mini yangu ni kujiwasha kwa GPS kila nikitumia data ya Airtel

Kujiwasha GPS ukiweka line ya Airtel sidhani km kuna ataepinga. Ht mimi niliexperience hiko kitu mpk nikaamua kuhamisha line ya Airtel kuweka kwenye simu nyingine.
 
SIM ZA TECNO ZINA MATATIZO BALAA
Kama ulishawahi tumia smart za tecno lazima ulishawahi kutana na moja au yote matatizo yafuatayo .na utakuja kugundua utofauti kama nawe kwa sasa unatumia smart ya kampuni jingina
1 kujizima ukiingiza app nyingi kama hakuna memory card ulioweka
2.kupokea sms nyingi wakati ilitumwa moja tu
3.GPS kujiwasha yenyewe.hata uzime vipiii
4.message ku mark kama haijasomwa wakati umesoma
5.lawama kwa watu unaowatumia sms kuwa unatuma sms 1 mara nyingi kumbi 1 moja tuu
6.kuisha sms za kutuma sabab sms zinajituma zenyewe na zina tumia vocha
7.kumaliza betri haraka sabab ya kujiwasha GPS
8.ram speed ndogo sanaaa hadi kupiga inaleta shida ukiwa na app nyingi
9.ukiandika sms ndefu inajibadili kuwa mms
10.kuwa na mwanga hafifu hata uweke full
11.huwezi ku reset factory mpaka ujue kichina reset factory yake imeandikwa kichins
12.baadhi ya app hudai kujaza aina ya sim tecno halitambuliki hizo app utszikosa
13.inachagua bluetooth za kukamata
14.ina support multiple touch 2 tuu
15.kujizima yenyewe ikijaa vitu
16.kutengeneza folder nyingi kwenye memory
17. kufail kwa app muhim kila mara kama launcher
18.kugundua touch mpaka kidole.kibonyer
19.ukiandika sms huku unatumia power bank au charge utajuta ukibonya s mara ilete w fulu kuotea
20.button ya kumpigia mtu mda mwingine ukiminya upige yenyewe.inaanza kusearch contact
21.baadhi ya ussd code ukiziandika zinajifuta zenyewe
22.button za sauti na power kuregea mapema
23.ikianza tatizo moja ukipeleka kwa fundi ujue ikipona lazima urudi na tatizo jingine
23.gravity kuchelewa ku sence hadi mpaka sec2 hadi 5

kama wewe unatatizo mojawapo hapo juu nnaweza kukuelekeza jinsi ya kupunguza maana tecno nmetumia sanaaa

Mmmmmh, utakuwa umetumwa na Nokia wewe!!
 
Umetisha kaka. Tecno ni janga la kitaifa

Dah wabongo tuna shida kubwa kwenye reasoning, hivi kama siyo Tecno kwa huu uchumi wetu wa kuungaunga tungekuwa tunajaza server ya JF kweli? Majuzi vijana wa chuo walifurika humu kupigania haki ya kupata mikopo na pia kufuatilia waliopata. Wengi wao ni hizi Tacno za bei poa zinawaokoa. Leo mnazikandia wakati uwezo wa kununua Samsung kwa wengi ni mdogo. Kuweka na shukrani kwa mchina. Angalia Sasa jinsi bodaboda zinavyowasaidia mijini na vijijini.
 
Hapana tupo brainwashed kuwa tecno wanauza simu za bei rahisi lakini kiukweli simu zao ni expensive kwa unachopata.

Angalia simu za xiaomi, meizu, motorola, huawei nk then niambie kama tecno ni mkombozi.

Kwa dola 80 unapata xiaomi redmi 2A yenye kioo cha HD, ram 1gb, internal 8gb, ina 4g, 2200mah battery etc.

Simu yenye specs kama hizo ya tecno maybe utaipata 300,000
 
hizi xiaomi zinapatikana bongo kama ndivyo wapi
 
Officially hazipatikani ila soon zitaanza kupatikana sababu xiaomi ameshatangaza kua ataanza kuuza simu kenya, nigeria na south kama sjakosea.

Kama zitafika kenya kwetu pia zitafika.

Ukizitaka utazipata kwa wauzaji wadogo wanaozifata china humu ndani pia wapo ila bei si rahisi sana kama wakija kuziuza wenyewe
 
Kujiwasha GPS ukiweka line ya Airtel sidhani km kuna ataepinga. Ht mimi niliexperience hiko kitu mpk nikaamua kuhamisha line ya Airtel kuweka kwenye simu nyingine.

Ni kwa Simu za Huawei na Tecno Cheap.. Laini ya Airtel ukiweka simu zingine hakuna hilo tatizo
 
Mtajijua wenyewe wenye tecno za bei rahisi mimi naitumia J7 yang wala sija experience hayo matatizo
 
Nimetumia Tecno kwa muda mrefu, nasikitika sijawahi kukutana na hayo uliyoandika hapo. Bahati mbaya ni kwamba kwa Afrika Tecno ndio sio inayouza zaidi ingawa hili hali determine ubora. Ni vema ukaenenda na brand unayoihusudu. Kipendacho roho ni dawa. Huwezi kuwashawishi watu wote watumie simu uipendayo wewe. Good day
 
Simu hazina tatizo ila uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja ndio haziwezi, ukitaka ufurahie hizi simu ipunguzie mzigo mfano app ambazo tangu ununue simu hujawahi kuzitumia na hauna mpango wa Kuja kuzitumia na Ile milio ya simu ambayo inakuja na simu ni bora kuifuta ukabaki na milio mwili au mitatu tu, au weka stock rom za Sony Ericsson au Samsung ktk tecno yako (sio official )
 
nna tecno hapa cjawah kupta hata tatzo moja ktk hayoo yote......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom