Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Baada ya kuwa muoga kwa siku kama Tatu hivi hatimaye nilikuweza ku-root simu yangu ya Samsung Grand quattro Hii ni Baada ya kuona sikipati ninachokitaka kwenye haya MASIMU YA "KIMASKINI" ikanibidi ku-upgrade kutoka level moja kuja nyingine.
Ndugu zanguni nilichokuja kukiona simu za Android bila ROOT ACESS ni sawa na Mwaka mzima kutonyesha ktk jamii ya wakulima huo mwaka utakuwa hauna maana tena...,Kuwa na simu ya android bila Root ni sawa na mwanamke wa kiafrika asiye zaa...jamii nyingi umuon hana maana....
Nisizunguke sana ninataka ku-share na nyie wana Tech wenzangu umuhimu ninao ufurahia nikiwa na simu ikiwa Rooted ni furaha ni raha haswa
Hayo ndo yangu kwa leo wengine wataalamu wa Android karibuni mtushirikishe tufunguane macho na hizi Android sytem Kumbuka kuwa....
SHARING IS CARING:clap2:
Ndugu zanguni nilichokuja kukiona simu za Android bila ROOT ACESS ni sawa na Mwaka mzima kutonyesha ktk jamii ya wakulima huo mwaka utakuwa hauna maana tena...,Kuwa na simu ya android bila Root ni sawa na mwanamke wa kiafrika asiye zaa...jamii nyingi umuon hana maana....
Nisizunguke sana ninataka ku-share na nyie wana Tech wenzangu umuhimu ninao ufurahia nikiwa na simu ikiwa Rooted ni furaha ni raha haswa
- Kufanya Tweaks ktk Sytem files. Kitu cha kwanza kinachoniboa ktk simu nyingi za Android ni ile shoutdown Sound,Camera sound,Low battery sound sana sana zile zinazopiga continuos sounds mpaka iwe pluged kwenye charge hii inaweza kukuuumbua kama upo kwenye mikutano ya watu na kuna ukimya
Kitu cha kwanza baada ya ku-root simu mm nilidisable shotdown sounds na camera sounds sijajua kwa nn camera za simu nyingi zimewekewa sauti au wanataka tusipige watu picha bila notice yao?
Ili ku-disable hizi niliingia system>media>audio>ui or notification etc hii lazima uwe ume-install ROOT EXPLORER
mfano mm nime-rename PowerOn.ogg(music file) kuja PowerOn.ogg.bak ambayo imepoteza format yake tayari kama picha itakvyoonesha hapo chini
Pia kwa upande wa mwingine nina TAB ya kichina ambayo ina BOOT ANIMATION yenye maneno ya kichina na huwa yani-bore nilichofanya niliingia Online nikatafuta Boot Animations nika-replace na hile iliyo ndani ya stem files lkn hii ya bootanimation inahitaji ufahamu juu ya resolution ya GAdget yako amabayo unaweza icheki kwenye GSMARENA
- Ku-block Google ads
Kwa wale watumiaji wa Free apps lazima hii kitu imewakumba sana ma-adverts mengi sana,hii sio kwa watumiaji wa free aps zenye pro version tu bali hata some completely free apps kama Blackmart alpha ambayo imejaa ads...mm hizi huwa zinaniboa na baada ya ku-root simu niliweza kuinstall AdAway na nikazisambaratisha
kama haujawai kuziona hizi ads emu angalia hii Picha hapa chini
- Remove Pre-installed apps
Kwa wale watu wa Tecno p3,n3 ambazo memory na ram zake ni ndogo hii itawafaha sana root simu zenu afu delete zile pre-installed apps mfano kuna Facebook afu labda huwa hauitumii,kuna AF market,callcare,flashare etc zinakula tu space wakati ukitaka kuweka app mpya unaambiwa Low memory tiba ya hili janga ni ku-root simu afu ukaingia system>apps afu futilia mbali hizo apps ambazo hautaki na hauwezi uninstall - Kutumia apps zinazoitaji root access
kuna apps nyingi huwezi tumia kama hauja-root simu yako mfano ni Screenshot captures,VPN na Tunneling apps kwa zile simu zilizo Android chini ya version 4, na nyinginezo nyingi
Mm natumia hii TroidVPN hauwezi itumia kufanya ICMP tunneling kula yale mambo ya yetu ya unlimited bila ku-root simu...baada ya ku-root nakula vitu vitamu kwa ICMP tunneling
- Ant-theft
Watu wengi wanaibiwa Android phones zao na wengi hawazipati wakati mtu aliyeiba ajui hata kuweka custom rom huu ni uzembe wa hali ya juu kuibiwa simu smartphone afu usiikamate
99% ya wezi wa simu waliokamatwa hakuna hata anayejua kufanya factory reset wala kuweka custom rom sasa iweje ushindwe kukamata simu yako
Ukiweka Lock kwa anti-theft hujue huyo mtu hataweza hata kufanya Factory rest kwa shutdown+volume up+home wala hata kuizima hawezi na hapa naongelea avast anti-theft
Avast anti-theft ni kati ya app nilizozikubali yaani hata ukifanya factory rest vipi hauwezi kuichomoa inaweza kuwa bypassed tu kwa custom ROM lkn mtu kama ni mshamba ushamdaka tayari
- Custom roms
Nasubiri subiri simu nichoke hii STOCK ROM ya samsung niliyokuta ili niweke ROM mpya
Hii sijawai ifanya na hope itakuwa first time kwangu kwa hili dili na ntafurahi nikipata ROM ya new android version Kitkat 4.4
Hayo ndo yangu kwa leo wengine wataalamu wa Android karibuni mtushirikishe tufunguane macho na hizi Android sytem Kumbuka kuwa....
SHARING IS CARING:clap2: