Tecno smart phone ni shidaaaaaa

Tecno smart phone ni shidaaaaaa

sasa mkuu simu nimenunua leo kesho ina kirusi ni njama ya kwenda kununua simu nyengine?
Simu unaweza kununua Leo ila siyo ya kiwango cha juu unakuta app za kisasa azikubali app imetengenezwa ina run na simu yanye ram2 gb kulazimicha hivyo kila siku simu zinapitwa na wakati lengo ni biashara
 
Simu unaweza kununua Leo ila siyo ya kiwango cha juu unakuta app za kisasa azikubali app imetengenezwa ina run na simu yanye ram2 gb kulazimicha hivyo kila siku simu zinapitwa na wakati lengo ni biashara
mkuu sikuelewi kabisa hakuna mtu anaebisha kuhusu ram, na simu kuwa outdated na huwezi ukaweka ram kubwa wakati soc/technology husika hairuhusu.

ila hapo juu tunaongelea mambo ya virusi/mediatek/pre installed malware etc

mfano processor ya kizamani huwezi ukaieka 6gb ddr4 kama simu ya kisasa technology haipo hivyo, simu za kizamani za android zina less than 1gb na ram zake zilikuwa ni ddr2, texhnology ikakua tukapata ram za ddr3 na ram zikaongezeka simu zikawa na 1gb na 2gb ram muda unazidi kwenda na technology inazidi kuongezeka now tuna 6gb ram na ddr4 etc

biashara ni lengo ndio lakini pia technology si kitu rahisi kama unavyofikiria, kuna desktop zina 64gb ram lakini simu haziwezi kuwa na ram hio sababu bado hatujafikia huko kutengeneza viram vidogo vinavyokula umeme mdogo vikae kwenye simu.

pia cost itakuwa kubwa, ukiambiwa leo hii utoe milioni 20 utengenezee simu yenye 16gb utatoa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom