Tecno smart phone ni shidaaaaaa

Simu hazina tatizo ila uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja ndio haziwezi, ukitaka ufurahie hizi simu ipunguzie mzigo mfano app ambazo tangu ununue simu hujawahi kuzitumia na hauna mpango wa Kuja kuzitumia na Ile milio ya simu ambayo inakuja na simu ni bora kuifuta ukabaki na milio mwili au mitatu tu, au weka stock rom za Sony Ericsson au Samsung ktk tecno yako (sio official )

ni custom rom mkuu

majanga mengine tecno hazina custom rom nyingi na stable
stock rom zake zenyewe kuzipata kazi itaku custom rom kwel.
 
Tecno, Kwa kweli ni sheeda. Mimi natumia kwa shida tu, sababu najipanga kununua iphone....sasa hivi natumia Tecno F7 yaani inajizima hiyo hatari na imekuwa slow mno..
 
Tecno, Kwa kweli ni sheeda. Mimi natumia kwa shida tu, sababu najipanga kununua iphone....sasa hivi natumia Tecno F7 yaani inajizima hiyo hatari na imekuwa slow mno..

wenzio wanajipanga kununua techno,wapi ushauri
 
Mtu anaeenda dukani ananunua Tecno huwa namuona ni km hajaelimika juu ya bidhaa nzuri ya kutumia, Tecno ni cm zilisotengenezwa kwa technology ya chini sana
 
Nimetumia smartphone kwa mara ya kwanza

Huawei y200 then
Huawei y300 alafu
Tecno P 5 zikafuata..
Tecno m3
Samsung s4 copy
Sumsung note copy
Itel tablet
Tecno H6
Na sasa natumia
Tecno C8

Nakubali kiwa kuna slightly problems katika tecno ila si kwa kiwango muanzisha mada alichosema.

Kwa mfano mie p5 ndio mara chache ikilemewa ilikuwa ikizima kioo kuwaka mpk itoe baterry, inaweza kuwa inaita ila kioo kiko off unashindwa kupokea simu. Pia m3 ku delay tatizo la kupokea mara chache.

H6 sikupata tatizo sana labda kidogo iyo ya mwanga kuwa mkali sana nilikiwa kama nahs kuwa ilihtaji mwanga sana hasa nikiwa nje.

Hii C8 nilionayo kwa bettry kukaa na chaji chawai ona ipo poa sana, tatizo ninaloliona kidogo ni delay ya action ni kama memory inakuwa nzito kiasi wakati nakiwa nafanya task ndogo kabisa. Kwa mfano naangalia contacts ina delay sana ku view

Tecno wana matatizo yao kiasi chake lakini si wakubeza, kwa tanzania ni sawa na kumbeza machinga.

So wamekuwa wakombozi, juzi nikiwa natafta simu sokoni nikasema basi nijichukulie C8 nikaona s3 jamaa angu mmpja k.koo akasema nipe iyo lak 3 nikuachie s3 samsung used kidogo. Nikaicheki weeee, nilipogundua kuna line moja tu nikaachana nayo.

Tecno ana strength zake
 
Simu hazina tatizo ila uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja ndio haziwezi, ukitaka ufurahie hizi simu ipunguzie mzigo mfano app ambazo tangu ununue simu hujawahi kuzitumia na hauna mpango wa Kuja kuzitumia na Ile milio ya simu ambayo inakuja na simu ni bora kuifuta ukabaki na milio mwili au mitatu tu, au weka stock rom za Sony Ericsson au Samsung ktk tecno yako (sio official )

Hebu tupe hizo rom za sony au samsung ambazo zinaingia kwenye tecno. Mediatek hawajarelease source code kwa madeveloper, huwezi chukua custom rom ya exynos au snapdragon ukaeka kwenye simu ya mediatek, simu itakufa.

Labda umechanganya launcher na rom
 
ni custom rom mkuu

majanga mengine tecno hazina custom rom nyingi na stable
stock rom zake zenyewe kuzipata kazi itaku custom rom kwel.
asante mkuuu ni custom rom nimechanganya sukari na chumvi :redface:
 
Hebu tupe hizo rom za sony au samsung ambazo zinaingia kwenye tecno. Mediatek hawajarelease source code kwa madeveloper, huwezi chukua custom rom ya exynos au snapdragon ukaeka kwenye simu ya mediatek, simu itakufa.

Labda umechanganya launcher na rom
mkuu sikuwa makini katika ku type, ni custom rom:shock::shock::shock:
 
ukipita krb na sheli inatoa notification .cherger connected
ndege ikipita ? missed call
 
Kwa mfano mie p5 ndio mara chache ikilemewa ilikuwa ikizima kioo kuwaka mpk itoe baterry, inaweza kuwa inaita ila kioo kiko off unashindwa kupokea simu. Pia m3 ku delay tatizo la kupokea mara chache.

H6 sikupata tatizo sana labda kidogo iyo ya mwanga kuwa mkali sana nilikiwa kama nahs kuwa ilihtaji mwanga sana hasa nikiwa nje.

Hii C8 nilionayo kwa bettry kukaa na chaji chawai ona ipo poa sana, tatizo ninaloliona kidogo ni delay ya action ni kama memory inakuwa nzito kiasi wakati nakiwa nafanya task ndogo kabisa. Kwa mfano naangalia contacts ina delay sana ku view

Tecno wana matatizo yao kiasi chake lakini si wakubeza, kwa tanzania ni sawa na kumbeza machinga.

So wamekuwa wakombozi, juzi nikiwa natafta simu sokoni nikasema basi nijichukulie C8 nikaona s3 jamaa angu mmpja k.koo akasema nipe iyo lak 3 nikuachie s3 samsung used kidogo. Nikaicheki weeee, nilipogundua kuna line moja tu nikaachana nayo.

Tecno ana strength zake[/QUOTE]

Mkuu umemuelewa mtoa mada?
Bado umeongezea matatizo mengine lakin cha ajabu unawakubali.
Unafanya kazi kwa mchina nin? Kwe kwe kwe kweeee
 
Mtu anaeenda dukani ananunua Tecno huwa namuona ni km hajaelimika juu ya bidhaa nzuri ya kutumia, Tecno ni cm zilisotengenezwa kwa technology ya chini sana

wewe umetengeneza ipi yatech ya juu na mtu ananunua simu kwa uwezo wa mfuko wake sasa kuelimika kunakujaje
 
mi yangu H5 tatizo kuganda. ukifanya kitu inaganda wewww mpk usubiri.

Punguza App umei overload hiyo simu, achani kulalamika kwa matatizo mnayo yasababisha ninyi wenyewe, siku moja nimeshika simu ya mtu humo kwenye simu kaweka 360 security, cm security, clean master, du betr buster, du betr, betr doctor, avast RAM yenyewe 512MB sasa nikajiuliza hivi huyu anajua hata kazi ya hz app au ndio hivyo tena, ilibidi nimpe darasa tukapunguza app sim ikawa nyepesi. Na wengine mpo humu mnajua tu kulalamika.
Mm nilianza kutumia P3, N3,M3, P5, H7 na sasa C8 nasijajutia hata siku moja matatizo ya hizi simu huwa nayasoma humu Jf tu. Najiuliza mbona mm sijawahi kumbana na mojawapo kati ya hayo yote.
 
SIM ZA TECNO ZINA MATATIZO BALAA
Kama ulishawahi tumia smart za tecno lazima ulishawahi kutana na moja au yote matatizo yafuatayo .na utakuja kugundua utofauti kama nawe kwa sasa unatumia smart ya kampuni jingina
1 kujizima ukiingiza app nyingi kama hakuna memory card ulioweka
2.kupokea sms nyingi wakati ilitumwa moja tu
3.GPS kujiwasha yenyewe.hata uzime vipiii
4.message ku mark kama haijasomwa wakati umesoma
5.lawama kwa watu unaowatumia sms kuwa unatuma sms 1 mara nyingi kumbi 1 moja tuu
6.kuisha sms za kutuma sabab sms zinajituma zenyewe na zina tumia vocha
7.kumaliza betri haraka sabab ya kujiwasha GPS
8.ram speed ndogo sanaaa hadi kupiga inaleta shida ukiwa na app nyingi
9.ukiandika sms ndefu inajibadili kuwa mms
10.kuwa na mwanga hafifu hata uweke full
11.huwezi ku reset factory mpaka ujue kichina reset factory yake imeandikwa kichins
12.baadhi ya app hudai kujaza aina ya sim tecno halitambuliki hizo app utszikosa
13.inachagua bluetooth za kukamata
14.ina support multiple touch 2 tuu
15.kujizima yenyewe ikijaa vitu
16.kutengeneza folder nyingi kwenye memory
17. kufail kwa app muhim kila mara kama launcher
18.kugundua touch mpaka kidole.kibonyer
19.ukiandika sms huku unatumia power bank au charge utajuta ukibonya s mara ilete w fulu kuotea
20.button ya kumpigia mtu mda mwingine ukiminya upige yenyewe.inaanza kusearch contact
21.baadhi ya ussd code ukiziandika zinajifuta zenyewe
22.button za sauti na power kuregea mapema
23.ikianza tatizo moja ukipeleka kwa fundi ujue ikipona lazima urudi na tatizo jingine
23.gravity kuchelewa ku sence hadi mpaka sec2 hadi 5

kama wewe unatatizo mojawapo hapo juu nnaweza kukuelekeza jinsi ya kupunguza maana tecno nmetumia sanaaa

9 na 16 nime vi experience na pia ikiwa kwenye charge ni ngumu kuitumia inakuwa ina fungua vitu usivyo taka kufungu au kama ipo kwenye patten ndio unaweza usiifungue kabisaa mpaka uitoe kwenye charge, TATIZO lingine la tecno inauwa memory card haraka kama ni mtu wa ku download app na games mara kwa mara upande wa charge tecno ina vumilia kiasi ila ipo slow kama sec 2 mpaka 3 ukiipa order ya kufungua kitu yani tecno bado ni nzito kiutendaji PIA TECNO INA mdudu SUGU anaitwa MONKEY TEST _ TROJAN inakupa option ya ku download maliciou app detection na HAZIFUI DAFU bora nirudie NOKIA au SONY
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom