Tecno smart phone ni shidaaaaaa

Mimi natumia tecno y3, mbona haina hayoo matatizooooo

tena hiyo Y3 ndio kanyanga labda kama matumizi yako niya kupiga na kupoke simu na txt na hata kwa kazi hizo tu sometymz inakuwa slow sana unataka kupiga au kukata simu lazima i delay kidogo inatabia ya kukata mtandao mida mingine haswa data na upande wa simu au txt utakuta mda mwingine kila simu unayo piga unaambiwa haipatikani au txt hazitoki hapo mpaka uizime na uiwashe ndio uendelee na huduma
 
Dah wabongo tuna shida kubwa kwenye reasoning, hivi kama siyo Tecno kwa huu uchumi wetu wa kuungaunga tungekuwa tunajaza server ya JF kweli? Majuzi vijana wa chuo walifurika humu kupigania haki ya kupata mikopo na pia kufuatilia waliopata. Wengi wao ni hizi Tacno za bei poa zinawaokoa. Leo mnazikandia wakati uwezo wa kununua Samsung kwa wengi ni mdogo. Kuweka na shukrani kwa mchina. Angalia Sasa jinsi bodaboda zinavyowasaidia mijini na vijijini.

samsung sijawahi ipenda tangu nimeanza kutumia simu huwa na dream nokia, sony na huawei, hizi kidogo kila toleo lina kuwa na utofauti hata wa app na toleo lingine sometymz hata interface ila samsung, iphone na blackberry huwa ni shapes na diamension tu ila kila kitu ndani kinakuwa kile kile
 
Umenifurahisha sana.
Iphone huijui vizuri ila sitoongelea sana kuhusu huko.
Kwenye samaung wanatumia android iliyowekea touchwiz.
Kuna difference ya hardware baina ya simu moja na nyingine so zinatofautiana performance so usiseme box tu
 
samsung sijawahi ipenda tangu nimeanza kutumia simu huwa na dream nokia, sony na huawei, hizi kidogo kila toleo lina kuwa na utofauti hata wa app na toleo lingine sometymz hata interface ila samsung, iphone na blackberry huwa ni shapes na diamension tu ila kila kitu ndani kinakuwa kile kile

Akuna mashine km iPhone bhana
 
Tunalalamika bure mambo mengi GPS kujiwasha wakati mwingine ni mambo ya virus na udukuzi simu ni kifaa cha udukuzi duniani kinacho tumiwa na serikali mbalimbali na watu binafsi kudukua mambo yetu simuni
 
Hata issue ya mabado kuisha kiajabu ajabu ni mambo ya udukuzi bando unatia wewe linatumika kudownload na kuupload mambo ya siri kwenye simu yako unashangaa bando limeishaje Facebook na magemu mengi pamoja na whatsapp ni baadhi ya app za kijasusi zinazo kula mabando bila mtumiaji kujua
 
Asilimia 70 ya aliyoyasema mleta mada ni UONGO. hayo matatizo yapo kwenye simu zote za Android sema tu Tecno ndio zinamilikiwa na walio wengi.

Kuhusu simu kujizima kwasababu ya RAM hiyo hata computer inafanya hivyo baada ya kuFreeze.

Kuhusu GPS kujiwasha hiyo ni kama unatumia Line ya Airtel au kuna App umeweka inayoTrack Location.

Kuhusu App has Stopped working hiyo ni kawaida kwa ka error za simu zingine.

Kuhusu battery kuisha kwasababu ya GPS hiyo ni sawa kwa maana GPS ni mzigo wa ziada.

Nunua simu nyingine kama hutopata tatizo kabisa.
 
Tunalalamika bure mambo mengi GPS kujiwasha wakati mwingine ni mambo ya virus na udukuzi simu ni kifaa cha udukuzi duniani kinacho tumiwa na serikali mbalimbali na watu binafsi kudukua mambo yetu simuni
soc gani inayokaribisha kirusi? mediatek, unarudi pale pale, wanaotumia simu za snapdragon au exynos wanavisikia redioni tu hivyo virusi na hata vikiingia vinatoka dakika sifuri tu sababu havijieki kama system app.
 
Asilimia 70 ya aliyoyasema mleta mada ni UONGO. hayo matatizo yapo kwenye simu zote za Android sema tu Tecno ndio zinamilikiwa na walio wengi.

Kuhusu simu kujizima kwasababu ya RAM hiyo hata computer inafanya hivyo baada ya kuFreeze.

Kuhusu GPS kujiwasha hiyo ni kama unatumia Line ya Airtel au kuna App umeweka inayoTrack Location.

Kuhusu App has Stopped working hiyo ni kawaida kwa ka error za simu zingine.

Kuhusu battery kuisha kwasababu ya GPS hiyo ni sawa kwa maana GPS ni mzigo wa ziada.

Nunua simu nyingine kama hutopata tatizo kabisa.
kwanini sasa simu za wengine za snapdragon, exynos kirin etc hazijiwashi hizo gps?
 
Hata simu za halotel UNLOCKED hazijiwashi Gps ukiweka line ya airtel.

Hii inategemea na aina ya MTK CHIP iliyotumika. Sijasema kwamba ni tecno zote zinafanya hivyo wala sijasema ni mediatek zote. Nenda Airtel shop ukaulize kuhusu hilo tatizo la simu kujiwasha gps kwao limekuwa kawaida
 
hio gps kujiwasha sio ukieka airtel tu, ikishaingia tu malware simu yoyote ya mediatek inajiwasha, hapa nilipo yupo jamaa mwenye simu ya halotel kila siku haishi matatizo, app za malware zinahitaji kujua eneo ulipo ili wakuletee Tangazo/wakuibie data kutokana na mahali ulipo

na Kuwa airtel ni Tatizo la kawaida hakuhalalishi kuwa sio Tatizo, ni weakness ya simu hivyo mtoa mada anakuwa sahihi hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom