Jifunze kuhusu smart phone

Omaryjr1

Member
Jun 8, 2017
17
25
Trick mbali mbali za simu
Wengi hukumbwa namatatizo katika simu zao ambayo kama yakiachwa basi huaribu mfumo mzima wa simu na kusababisha kukosa mawasiliano ambayo kw adunia ya leo tunayahitaji sana ili tuendelee,Mfano simu kuwa nzito,Kusahau msimbo wa usalama wako,(password,Patern).ili kuyamaliza matatizo haya hapa nakuletea trick mbalimbali za kupambana na matatizo haya
KUWASHA SIMU ILIYOZIMA
Kwa tatizo lolote ambalo simu yako ya androids haiwaki, kuna hatua nyingi za kufuata ili kutatua tatizo hili hapa nitakueleza kwa undani zaidi kukabiliana na tatizo hili.
__yawezekana simu yako imezima kutokana na betri yako kuisha chaji kabisa,Hapo chaji simu yako kisha iwashe baada ya dakika thelathini kisha ijalibu
__Kama bado haiwaki toa betri yako na jaribu betri nyingine inayofanana na betri yako,jaribu kuiwasha simu yako,ikiwa bado hili tatizo lipo
__Kama bado haiwaki na hiyo simu ilizima yenyewe bila matatizo mengine kama kuingia maji kuangushwa au kujipiga shoti,chukua waya wa usb na jaribu kuichomeka simu yako kwenye computer ijazame kama computer inaitambua hiyo simu .kamainaitambua hiyo simu itakuwa na tatizo la software inayoiongoza hiyo simu, na suluhihso lake ni kuiflashi ntakuelekeza hapo chini usijali,kama haiitambui maana yake nishati ya nguvu(power ) haifanyi kazi kwenye hiyo simu muhimu ni kumtafuta mtaalamu wa hiyo simu maana hapa utahitaji vipimo sahihi kufumbua hili tatizo waweza nicheki kwa no za simu juu hapo

SIMU INAYOJIWASHA NA KUJIZIMA YENYEWE.
Kama simuyako inajiwasha na kujizima yenyewe:
_Angalia ncha za betri yako na zile za terminal ya simu yako kama ziko loose rekebisha hili
_kama bado kuna tatizo angalia kama software uliyoiingiza haiendani na simu yako
_KSimu kuganda,Kuwaka mwanga mweupe,kuwaka kwa chenga chenga,mara nyingi husababishwa na sofware iliyoingizwa kuacha kufanya kazi ipasavyo au kutoendana na simu yako.Suluhisho ni kuitoa ama kubadili mfumo mzima wa simu yayo pengine hata kuianzisha upya simu yako kwa mpangilio iliyotokanayo kiwandani (factory reset).Jisi ya kureset simu yako nita kueleza hapa chini
SIMU INAYOPATA MOTO KUPITA KIASI.
Kurekebisha tatizo hili unatakiwa kufanya yafuatayo:
__Punguza mpangilio wa Gemu zako
__Zima app ambazo hutumii kwa muda huo
__Safisha simu yako mara kwa mara nje na kwa app zinazofanya kazi hiyo
__Pia zima simu yako pale unapolala,ukiwa mkutanoni na zile sehemu ambazo hairuhusiwi kuwa on
Kama yote hayo imekuwa vigumu kumaliza tatizo hili usihofu tatizo hili litakuwa ndani zaidi na mara nyingi husababishwa na ic ya network muhimu hapo unatakiwa kuonana na fundi au uliza swali hili kwenye peji yetu ya How wedo katika web hii,Hapo utaelimisha kwa nyia zote audio na Video.
WAWEZA KUONGEZA UWEZO WA BETRI KUKAA NA CHAJI.
__Njia bora yenye mafanikio ni kuweka gagdet za simu yako plane mode kama unampango wa kutozitumia kwa muda mrefu pia chaji simu yako kabla haijazima kabisa.Betri za lithium zinahitaji kuchajiwa kabla na baada ya matumizi, kuna mengine mengi waweza fanya kuongeza uwezo wa betri.Epuka matumizi yasio ya lazima ya Bluetooth,WiFi na GPS pia epuka kuiacha simu yako kwenye gari yenye joto(ya moto) kali,au kuiacha juanii,yote hayo husababisha betri kupoteza uwezo wa kukaa na chaji na kuifanya simu yako kuwa kero yaani ya kuichaji mara kwara.waweza fanya hivi kuongeza uwezo wa kukaa na chaji.
KWANINI SIMU HUZIMA SCREEN WAKATI UNAONGEA NA MTU?
Mara nyingi tatizo hili husababishwa ka screen protector kwenye Androids nyingi,Nyingine husababishwa na motion sensor ilipo juu karibu na camera ya mbele au receiver iwapo ilitolewa rubber yake inaiyoihifadhi
 
Umejitahidi kwa kiasi fulani fundi mwenzangu,na hongera kwa kuchangamkia fulsa,maana naliona tangazo lako kwa mbaaali.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom