Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Huu ni wito kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC.
Nyie ni chombo nyeti sana na mna aminika dunia nzima.
Huyu kibibi anawabeep sana. Anawashambulia, anawateka, na kuwafanyia mashambulizi ya kutaka kuwaua. Sasa akishirikiana na wapumbavu wake wa tiss na bakwata anaandaa vikundi vya wahuni eti kujifanya wanaandamana kuleta picha mna migogoro ya ndani.
Kwa kuwa anaonesha wazi ana vita na nyie tunaomba mfanye jambo moja tu. Andikeni barua kwenda Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC muieleze nyie kama Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania mnaomba Mahakama hiyo ianzishe uchunguzi rasmi dhidi yake na Wasaidizi wake kutokana na Mauaji waliyofanya kipindi cha Uchaguzi mwaka jana.
Tunaomba pia mueleze kuwa mpo tayari kuwa Mashahidi kutokana na ushahidi mliokusanya kwenye Jumuiya zenu na Hospitali zenu.
Tunaelewa ICC inaendelea na suala la huyu Mama ila tunaomba mumjibu kwa kupigilia msumari wa mwisho kwenye Jeneza.