oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kweka arudishwa rumande, kesi kutajwa Oktoba 29

    Mfanyabiashara na mkazi wa Bunju A, Laurence Kweka (48), amerejeshwa rumande baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, akikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe, Jane Urassa. Kweka amefikishwa mahakamani hapo leo Alhamisi, Oktoba 15, 2026, na kusomewa shtaka moja la mauaji katika...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kufuatia mauaji ya Oktoba 29, 2025, unamkumbukaje Nyerere?

    Kichwa cha habari kitoshe kuwasilisha ujumbe. Leo, ni kumbukizi la 27 la Mwalimu Julius Nyerere. Tukiwakumbuka mashujaa wetu waliouawa na tawala zandiki mwaka jana mwezi kama huu, tukiwa tunamkumbuka Nyerere nao tusiwasahau. Je, wewe umewakumbukaje katika kumbukizi hili la Mwalimu? Hanikiza...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Oktoba 29 imetuonyesha namna Uraia pacha unavyohitaji mjadala zaidi

    Kuna watanzania wenzetu wakifanikiwa kwenda kuishi ulaya na marekani wanajifanya kuusahau utanzania wao. Wanawaona watanzania walioko Tanzania kama washamba, wajinga, wasiojua kutukana na kubeza viongozi kama wazungu wanavyofanya. Ghafla wanatamani Tanzania iwe na utamaduni, siasa na uhuru kama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chondechonde: Watanzania ninajua mnahasira kali juu yaliyotokea Oktoba 29. Punguzeni makali ya vibuyu dhidi ya polisi

    Elekezeni mashambulizi na kwingineko👇
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Kwa kiasi kikubwa CCM ndio iliratibu Vurugu za Oktoba 29

    Mwanasiasa mkongwe nchini, James Mbatia, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinabeba laana na uwajibikaji mkubwa kutokana na kuratibu matukio ya vurugu na maafa yaliyotokea tarehe 29 Oktoba. Akizungumza katika mahojiano cha Chief Odemba, Mbatia ametumia mfano wa maandiko ya kidini kueleza...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Alphonce Muyinga: Lazima tujue nani alihusika, nani alipinga mpango, nani alifadhiliwa na nani alifadhili matukio ya Oktoba 29, 2026

    Mzalendo Alphonce Patrick Muyinga amewataka Watanzania kuwa makini na kile alichokiita pishi jipya la propaganda za hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi na matukio yaliyotokea Oktoba 29. Muyinga amesema kuwa, kwa kuwa vurugu zilizotokea tayari zimetokea, kinachohitajika sasa ni kujikita katika...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Sina shaka Samia ameonja waliyopitia wale wa Oktoba 29

    Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa. Kila auawe ima atauawa au atakufa tu. Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka Namuonea huruma Samia Anatia huruma Sina shaka, kama kiongozi ameonja kile ambacho ndugu za wahanga wa Oktoba 29...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raisi wa TLS Mwabukusi: Kwa kilichofanyika Oktoba 29, ukisema ulikuwa uchaguzi lazima uwe mwenda wazimu

    Raisi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema katika Uchaguzi uliopita tusisahau kuangalia ndani ya vyama. Vyama vya siasa vimefanya nini? Ukweli ni kwamba mambo yanaanzia kwenye vile mchakato ambapo unapokuwa vikiumba vipaji na kupata fursa badala ya kuanzia kule...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Oktoba 29, 2025 Vurugu zilianza mida ya mchana saa 7, wakati huo kura zimeshapigwa, Vurugu hazikuanza saa 4 popote Tanzania

    Odemba: ...chama chenyu cha Chama Cha Mapinduzi kimepata ushindi wa kishindo kwa asilimia zaidi ya 97, mliwezaje kupata asilimia zote zile katika hali kama hii ambayo watu na umma unajua ya kwamba watu hawakujitokeza kwa wingi katika kupiga kura? Kihongosi: Jambo ambalo naweza kukuhakikishia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Damu ya Watanzania haipo mikononi mwetu CCM, chama hakikuchukua silaha kumdhuru yeyote, Oktoba 29, 2025

    Odemba: Tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 Tanzania ilifanya uchaguzi, uchaguzi ambao uligubikwa na fujo, uharibifu wa mali na mauaji ya raia ambayo haijawahi kutokea katika historia ya taifa hili tangu tuanze mifumo ya vyama vingi lakini tangu tuanze uchaguzi. Inaaminika ya kwamba yale yote...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Meya wa Dar Awaita Wananchi Kutoa Ushahidi Wa Ghasia Za Oktoba 29

    Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi wa Jinai kufuatia ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Soma pia: Tume ya Jaji Lila...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama ishu ni vurungu za Oktoba 29, tume ya Jaji Chande ilisha msafisha Lissu. Wahusika wakuu ni CCM waliokatwa na waliopinga Samia kugombea.

    Kwamba kauli ya no reform no election ndio ilisababisha vurugu sio kweli. Au kauli ya Lissu kuwa tutakinukisha? Wananchi waliingia barabarani wakipinga ufisadi, utekaji na kukataa uovu waa CCM mtandao. Hakuna mahala walitamka kuwa Lissu ndio amaewachochea kwa kauli zake.
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Lila Awaita Wananchi Wa Ilala Kutoa Ushahidi Kwa Tume Ya Uchunguzi Wa Ghasia Za Uchaguzi Mkuu Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Shaban Lila amewataka Wananchi wa Wilaya ya Ilala kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wa matukio ya ghasia hizo, kuanzia Jumatatu August 31 hadi Septemba 4, 2026 katika viwanja vya Karimjee Posta. Soma pia: Tume...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yale ya Oktoba 29, ya bunge la chama kimoja na hili la Balozi Nchimbi ni matokeo ya kukosekana kwa wazalendo katika vitengo nyeti

    Tumefikia mahali ambapo viongozi hawana furaha japo wana kila kitu na wananchi hawana raha na hawawapendi viongozi wao. Kiongozi kila siku anaombewa apatwe na mabalaa watu wafurahi, kiongozi akifa watu wanamshukuru Mungu na kupongezana Asipoonekana kiongozi kwa siku mbili tatu watu wanatamani...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Hatuwezi kuliponya Taifa bila kuwawajibisha waliotekeleza mauaji Oktoba 29, 2025

    Gwiji la sheria, Profesa Issa Shivji amesema Taifa haliwezi kuponywa wala kujenga demokrasia ya kweli ikiwa hakuna uwajibikaji wa kisheria dhidi ya mauaji ya raia yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ameyasemanhayo leo Agosti 28, 2026 katika kongamano la Tanzania Democracy...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Profesa Shivji: Taifa halijaponywa, miezi 10 hakuna aliyewajibishwa kwa kosa la kijinai au kusimamia kisiasa Mauaji ya Oktoba 29

    Profesa Issa Shivji, amesema kuwa Taifa linaendelea kupitia katika maombolezo na maumivu makali ya kisaikolojia kutokana na matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuliponya taifa hilo ni kuwepo kwa uwajibikaji wa kisheria na kisiasa. Akizungumza leo Agosti 28...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Zi wapi BUSARA zao? tunakaribia 29/10. Tena hakuona aliyeomba radhi hivi bado hamwonei huruma waliopoteza watoto, waume na wake zao?

    Hivi tarehe 29/10 itafika na kupita mkiwa kimnya kimnya? Zi wapi BUSARA ZENU?kweli mnataka hiyo tarehe na siku ifike iishe hivyo hivyo ? Hakuna hata yoyote aliyeua akaomba radhi?achana na kuomba radhi mauaji ya omba omba pale ubungo mlio wafagia kama senenene, hata wakina Master tindwa WA clouds...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha CCM hamuwezi kuua watu Oktoba 29 alafu ikawa kawaida tu. Bunge La Marekani limeshikilia ile Orodha

    Wanachokitafuta CCM kwa kuendelea kumsumbua Lissu ni kuilazimisha dunia, kupitia taasisi zake kama ICC na UN, pamoja na nchi kama Marekani na za Ulaya, kuchukua hatua kali dhidi yao. Nimekuwa nikisema humu kwamba kusalimika kwa CCM kuko mikononi mwa Lissu. Kumsumbua Lissu kwa kesi za kutungwa...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

    Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia. Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
  20. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Peter Madeleka: Yaliyotokea Oktoba 29 ni jinai, maridhiano sio suluhisho, hatua zichukuliwe kijinai kwa waliohusika

    Mwanasheria maarufu nchini, Peter Madeleka amesema matukio yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yana masuala ya jinai yanayopaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, akisema maridhiano hayawezi kuwa suluhisho la makosa ya jinai. Kauli hiyo ya Madeleka imekuja wakati Serikali...
Back
Top Bottom