Kateka makampuni ya simu ili yatoe database ya wateja wao kisha watawanye pop up messages...ni kosa kwa mujibu wa sheria .Natamani Lissu apige mkwara haya makampuni.Ha ha ha ...Magufuli ni kama maji usipoyanywa utayaoga....
Ha ha ha ...Magufuli ni kama maji usipoyanywa utayaoga....
Hili jambo ameniambia wife leo yeye ametumiwa tena limesomeka jina ambalo si lake.
Kila mwaka wanafanya hivo...dawa ni kulalamika kwenye vyombo vya haki kama mahakama.TCRA hawatakuwa na msaada wowote...
Kwenye kuomba kura JPm kawa mpole hivi wakati alisema hapangiwi. HaahaaMm nimeitwa ndg JUMA, wakatii sioo jina langu, Wana nini awa watu aiseee.....??View attachment 1603666
Kila mwaka wanafanya hivo...dawa ni kulalamika kwenye vyombo vya haki kama mahakama.TCRA hawatakuwa na msaada wowote...
Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.
Huyu John Kwanza ni nani?Mm nimeitwa ndg JUMA, wakatii sioo jina langu, Wana nini awa watu aiseee.....??View attachment 1603666
Sasa hizi ni za Promotion Mkuu !?