Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,110
- 18,327
Mkome kutumia mitandao ya hovyo kama vodacom na airtel
Natamani mnaopinga wote muhame nchi muende mkaishi Congo au muende Rwanda mkaishi huko kwa muda fulani.
Ngoja wamtumie Lissu hiyo message... au namba yake wamehakikisha hakuna 😁 😁 😁 😁 😁Kwa nani sasa mkuu? Kesi ya nyani.....
hawadhubutu kufanya hivyo...unafikiri hawajui tsunami ni nnNgoja wamtumie Lissu hiyo message... au namba yake wamehakikisha hakuna
Hizo promotions zote unazosema mbona huwa hazitaji majina ya wahusika? Hapa kuna jambo mkuu nadhani hata wewe umejibu juu juu tu!Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.
NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Kesi za madai kuna kufungwa?Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.
NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Ni makosa makubwa sana kuchukua namba za watu na kuwasumbua na message zao
Kule kibamba kuna kuna mgombea udiwani wa ccm anaitwa laizer naskia kawapa mamlaka makada wa ccm kupita nyumba kwa nyumba kuandikisha number ya kitambulisho cha mpiga kura na number ya simu
Hebu shusha hapa vigezo na masharti ya mtandao unaotumia ambayo wewe ulisoma b4. Mi sijawahi kuviona zaidi ya vigezo na masharti kuzingatiwa...yapi?Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.
NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Ona ulivyo mpumbavu sasa?Hii ni kweli?
Seriously what the f*** is wrong with this country?
Huyu mzee anafanya mambo ya kis***** sana. Vilaza wanaona hili wanasifia, Tanzania itaingia kwenye shida sana huko mbeleni kama ujinga huu unaendelea waziwazi bila mtu kuwajibishwa. Shithole country
Atafanya nini sasa? Hilo si ni tangazo la kuomba kura kwa wanachi? Shida iko wapi?Ngoja wamtumie Lissu hiyo message... au namba yake wamehakikisha hakuna
Walivyo mbumbumbu eti wanasema Lisu awashtaki!Yaani mtu analalamika kutumiwa meseji na sisiemu utadhani kutumiwa meseji kura yake ndio imeenda huko. Ni kama mwanamke unaanza kulia kisa umepokea meseji ya mtongozo...ushamba ulioje! Si kama huitaki unaifuta tu kama unavyofuta meseji zingine za kupuuzi
Sasa kwa akili zako hizo sms zimetumwa na ccm au makampuni ya simu.?Hizo promotions zote unazosema mbona huwa hazitaji majina ya wahusika? Hapa kuna jambo mkuu nadhani hata wewe umejibu juu juu tu!
Swali ni kwanini ataje jina langu? Ina maana makampuni ya simu/TCRA wametoa namba zetu for their own interest.
Kumbe shida ni ccm kupata platform ya kupigia kampeni na si kingine?Kama mtengenezaji software natoa bure kuwatengenezea software CDM na wao watume message za hivi nchi nzima bure. Walipie bei ya message tu kwenye mitandao ya simu. Hatuwezi acha huu ujinga uendelee hivihivi
Atafanya nini sasa kwa akili yako?hawadhubutu kufanya hivyo...unafikiri hawajui tsunami ni nn
Sasa kwa akili zako hizo sms zimetumwa na ccm au makampuni ya simu.?
Kama zimetumwa na makampuni ya simu kwa akili yako unafikri hawana data zako?
Pumbavu wewe na bibi yako shenzi.Ona ulivyo mpumbavu sasa?
Hiki ni kipindi cha kampeni dogo na wagombea wanatumia mbinu zozote kuwafikia wananchi.
Ina chefua sana nyie washabiki wa Lisu kufikiri mnajua kila kitu.