TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

siku za tbc na wafanyakazi wake zinahesabika,waache waendeleze ujinga wao
 
kama ni yule msomi wa mlimani, atarajie ya prof baregu...

Mkuu shere la Baregu liliwapotezea mwelekeo sana, hawawezi kurudia tena. Hali ilikuwa tete kuliko walivyokuwa wanajidai kwenye vyombo vya habari. Uzuri suala la Baregu limeweka msingi kwa wanazuoni wa kuielewa CCM vizuri, yaani ukicheka na nyani...
 
Huu ujumbe wa Dr Lwaitama unatoa matumaini; na hasa yeye akiwa mwanachama wa CCM. Big up.

Mimi pia nilikuwa pale uwanjani. Nilishangaa sana TBC kuonyesha kichwa tu cha Slaa, kama vile alikuwa anahutubia upepo.
 
...ulipompokea Mheshimiwa Zito baada ya kupewa adhabu......

.....Lwaitama hana kumbukumbu ama anarukia mambo tu kama mjinga asiye na elimu, Zitto alifukuzwa Bungeni kwa kusema uongo. Zitto mwenyewe alikiri kuwa Wabunge walikuwa hawajapatiwa mkataba, sasa yeye aliutoa wapi?

... kijana mmoja aliye pokea msafara wa Dr. Slaa toka uwanja wandege alisema waliambiwa helikopta hile ilishinikizwa kushuka na kutoendelea kuruka ruka juu ya uwaja kutoa amasa watu wajiunge na umati uwe mkubwa Jangwani...

......Haya ni mawazo finyu sana kuwahi kutolewa na msomi wa UDSM, yani Lwaitama anataka kusema Watanzania ni mazuzu ya kufuata Helkopta hata kama imebeba uchafu wa kwenda kutupa dampo?

Midundo ya Sugu na wenzake ilikuna roho...

Kumbe Lwaitama alienda "outing" kupunguza mawazo kwa muziki wa Sugu!!!!!!! Ama Dr. Lwaitama alifuata helkopta pia? Uzuzu mkuu jinsi gani!!!!!!???????

..na sauti zile zenye hoja zenye hekima na unyenyekevu mkubwa za akina Zito, Marando, Baregu

......Ni aibiu kuona Dr. PhD akidai eti Zito ana hekima, hekima ya kuchoma moto bendera ya CCM Tarime?
.....Kwa kumsifu Baregu inaashiria wote wawili nati zao zimefunguka kichwani, Baregu si ndo alisukuma gari ya Mrema Manzese 1995 na baadaye kumkashifu huyohuyo "masihi" wake aliyemsukuma?
.......Nani asiyejua kuwa Marando ni mganga njaa? ama naye kafuata helkopta?

....Ni hapo tu itapata nafasi ya kupokea mawazo ya wendawazimu kama mimi .....

He! kumbe mtu mwenyewe mwendawazimu!!!!! Ndio maana alikimbilia helkopta na muziki wa Sugu, swali, hivi kama yeye ni mwendawazimu, anawezaje kufundisha UDSM?
 
kama ni yule msomi wa mlimani, atarajie ya prof baregu...

Baregu aliye kama kenge? Akiona mvua inanyesha anakimbilia bwawani kujificha?
Nani kamsahau alivyosukuma gari ya Mrema 1995 na baadaye akamkashifu? Nitajieni jina la Prof. duniani kigeugeu kama Baregu.
 
[/B][/I]

Mwaka huu tuna nyinyi tu, Hatuwaachi Haki ya Mungu
 
leo taarifa ya habari jamaa wamemwita dr kyaa, jamaa amerudia mara sita
akili za kuambiwa changanya na za kwako, i hate tbc1
 
CCM mwaka huu wameshikwa pabaya na hakika Dr wa ukweli hawaachii!! Dr feki , makamba na Hizza watahangaika sana lakini hapatatosha mwaka huu.!!!
 
He! kumbe mtu mwenyewe mwendawazimu!!!!! Ndio maana alikimbilia helkopta na muziki wa Sugu, swali, hivi kama yeye ni mwendawazimu, anawezaje kufundisha UDSM?

If this is how the so called "Patriot" thinks then it is just pathetic!
 
kama ni yule msomi wa mlimani, atarajie ya prof baregu...

Kwani Baregu hafanyi kazi hapo tena, si yuko St. Augustine Mwanza!!

Kukataliwa na CCM si mwisho wa maisha, angeweza hata kwenda kufundisha nje ya Tanzania, lakini ana mapenzi kwa raia wenzake na ndio maana aliamua kubaki TZ.

Acheni uwoga jamani, kwani Salmin yuko wapi?? Alifukuza wengi tu lakini naamini bado watu wanaishi ingawa inawezekana kwa style tofauti.

Bora uzima, UZIMA KWANZA ndipo vinafuata vingine.

SAA YA UKOMBOZI IMEFIKA, ACHA UWOGA NDUGU.....UTABAKI PEKE YAKO.
 
Pole mkuu

Kweli kabisa anahitaji kupewa pole maana kazidiwa na hasira baada ya kusoma hoja ya kimsingi hadi kashindwa kuandika chochote!

Mungu atatusikia mwaka huu na kutupa chaguo letu. Tumechoka na usanii na ufisadi.
 
Mrema alibebwa juu juu na gari lilisukumwa ....akiwa na hoja zenye nguvu na msukumo wa hali ya juu......kila msomi,mfanyabiashara na watoto alikuwa kipenzi chao........siku ya kura wale waliokuwa wakihudhuria mikutano yake,waliokuwa wakimbemba n.k hawakuonekana....... Nyerere akasema ...msishangae mtu kubebwa....hata maiti hubebwa......! matokeo kutangazwa ilikuwa aibu yao...........!

Nyie mnaochangia humu huku hamkujiandikisha kupiga kura mna hakika kwa maneno matupu mtampa ushindi mgombea wenu?
 
leo taarifa ya habari jamaa wamemwita dr kyaa, jamaa amerudia mara sita
akili za kuambiwa changanya na za kwako, i hate tbc1

I love the signature! May Tanzanians appreciate the need for change once and for all.
 
Wahalifu hawataki kuambiwa uhalifu wao. Kwa kuwa wamezoea kushangiliwa kinafiki pia wanapenda waendelee kunafikiwa hivyo hivyo. Kumbe wanavuna matunda ya kutothubutu fyongo ya kula na vipofu. Lwaitama amesema uzoefu wake, sasa patriot ananyesha mvua ya matusi kwa Lwaitama kwa sababu gani, kachomwa mkuki moyoni?

Hasira za mkizi ni furaha ya mvuvi. Haya, awaseme na TUKTA pia, mbona hawazodoi huyo patriot wakati wanasema wazi kabisa septemba wanakaa kikao kutotoa kura kwa mtu asiyezihitaji kura zao? Jamani jaribuni kuwa makini na ukosoaji isionekane unayasema uyasemayo kwa sababu ya kinyongo ulicho nacho na sio ukweli unaoujua.
 
Mrema alibebwa juu juu na gari lilisukumwa ....akiwa na hoja zenye nguvu na msukumo wa hali ya juu......kila msomi,mfanyabiashara na watoto alikuwa kipenzi chao........siku ya kura wale waliokuwa wakihudhuria mikutano yake,waliokuwa wakimbemba n.k hawakuonekana....... Nyerere akasema ...msishangae mtu kubebwa....hata maiti hubebwa......! matokeo kutangazwa ilikuwa aibu yao...........!

Nyie mnaochangia humu huku hamkujiandikisha kupiga kura mna hakika kwa maneno matupu mtampa ushindi mgombea wenu?

Sasa na wewe naanza kupima akili zako unavyolinganisha siasa taka za mrema na wengine

Note: AVATAR YAKO HAIENDANI NA MAMBO UNAYOSEMA
 
.....unajua watu wengi hawajajua,
huwezi kuzuia mvua, Dr. Slaa ni kama mvua,
Ikiamua kunyesha inanyesha......
Dr.Slaa moto chini, ni moto chini
aha aha ahaaaaaa

Patriot kasahau kwamba Dr. Slaa ni mvua iitawaloanisha wote akiwapo yeye!!

Verses from song sugu moto chini-edited
 
Kuanzia wiki hii TBC zote hazikamati kwangu sijui tatizo nini....
 
Hawa TBC wamepoteza mvuto kabisa, hawana maana kabisa hivi sasa!
 
.....Lwaitama hana kumbukumbu ama anarukia mambo tu kama mjinga asiye na elimu, Zitto alifukuzwa Bungeni kwa kusema uongo. Zitto mwenyewe alikiri kuwa Wabunge walikuwa hawajapatiwa mkataba, sasa yeye aliutoa wapi?

......Haya ni mawazo finyu sana kuwahi kutolewa na msomi wa UDSM, yani Lwaitama anataka kusema Watanzania ni mazuzu ya kufuata Helkopta hata kama imebeba uchafu wa kwenda kutupa dampo?

Kumbe Lwaitama alienda "outing" kupunguza mawazo kwa muziki wa Sugu!!!!!!! Ama Dr. Lwaitama alifuata helkopta pia? Uzuzu mkuu jinsi gani!!!!!!???????

......Ni aibiu kuona Dr. PhD akidai eti Zito ana hekima, hekima ya kuchoma moto bendera ya CCM Tarime?
.....Kwa kumsifu Baregu inaashiria wote wawili nati zao zimefunguka kichwani, Baregu si ndo alisukuma gari ya Mrema Manzese 1995 na baadaye kumkashifu huyohuyo "masihi" wake aliyemsukuma?
.......Nani asiyejua kuwa Marando ni mganga njaa? ama naye kafuata helkopta?

He! kumbe mtu mwenyewe mwendawazimu!!!!! Ndio maana alikimbilia helkopta na muziki wa Sugu, swali, hivi kama yeye ni mwendawazimu, anawezaje kufundisha UDSM?

Invisible umetuwekea sehemu ya kubofya kutoa shukrani (Thanks), nashauri utuwekee pia sehemu ya kubofya (the negative of thanks) kwa ajili ya watu wanaochangia pumba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom