TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

Mijitu mingine bana, eti Helcopiter inapita juu ya mji wa Dar kubeba takataka kwenda kutupa Dampo.

Ingawa kuna ukweli fulani kwani Faili la Slaa limejaa UCHAFU wa CCM ambao kampeni zikianza.......

Wananchi wote (Dampo) wataupokea UCHAFU wenu CCM na kufahamu MNAKULA NINI......

Na hapo ndipo kutakuja KULIA na KUSAGA MENO.

Yaani Wananchi wa Tanzania unawaita DAMPO?
Watoto wa kike mnawapanda nyie (Ruge et el) na kusema "mimba ni kiherehere chao."
Huku mkiwaambia "mkitaka kula kidogo chips, mkubali kuliwa....." (Mr Sugu kawafichua)
Wafanyakazi wala hamuhitaji kura zao.
Foleni za Dar ndiyo maendeleo hayo
Na baadaye hapahapo mnasema "hamfahamu kwa nini Watanzania ni masikini."
 
.....Lwaitama hana kumbukumbu ama anarukia mambo tu kama mjinga asiye na elimu, Zitto alifukuzwa Bungeni kwa kusema uongo. Zitto mwenyewe alikiri kuwa Wabunge walikuwa hawajapatiwa mkataba, sasa yeye aliutoa wapi?

......Haya ni mawazo finyu sana kuwahi kutolewa na msomi wa UDSM, yani Lwaitama anataka kusema Watanzania ni mazuzu ya kufuata Helkopta hata kama imebeba uchafu wa kwenda kutupa dampo?

Kumbe Lwaitama alienda "outing" kupunguza mawazo kwa muziki wa Sugu!!!!!!! Ama Dr. Lwaitama alifuata helkopta pia? Uzuzu mkuu jinsi gani!!!!!!???????

......Ni aibiu kuona Dr. PhD akidai eti Zito ana hekima, hekima ya kuchoma moto bendera ya CCM Tarime?
.....Kwa kumsifu Baregu inaashiria wote wawili nati zao zimefunguka kichwani, Baregu si ndo alisukuma gari ya Mrema Manzese 1995 na baadaye kumkashifu huyohuyo "masihi" wake aliyemsukuma?
.......Nani asiyejua kuwa Marando ni mganga njaa? ama naye kafuata helkopta?

He! kumbe mtu mwenyewe mwendawazimu!!!!! Ndio maana alikimbilia helkopta na muziki wa Sugu, swali, hivi kama yeye ni mwendawazimu, anawezaje kufundisha UDSM?

Aisee wa aina yako humu wamebaki wachache saaana... Ulizia wenzako walikotorokea...
 
[/B][/I]

Baregu aliye kama kenge? Akiona mvua inanyesha anakimbilia bwawani kujificha?
Nani kamsahau alivyosukuma gari ya Mrema 1995 na baadaye akamkashifu? Nitajieni jina la Prof. duniani kigeugeu kama Baregu.
we bwabwaja tu ila mwaka huu mtaona
 
Jama hata mkwere alishaona mambo magumu mwaka huu, siku aliyochukua fomu za urais alikuwa na kikao na wanachama wa CCM pale makao makuu na kauli hii " TUSIWADHARAU WAPINZANI MWAKA HUU WAMEJIPANGA, WANAWEZA KUTUONDOA MADARAKANI, TUTANGAZE SERA NA MAFANIKIO YALIYOLETWA NA SERIKALI YA CCM" kauli hii haikutolewa vizuri kwenye vyombo vya habari lakini inaonyesha kuwa sisiemi sasa mchecheto umewajaa.Aluta continual CHADEMA, Never Give Up Presidaa Slaa hata pweza(Paul) kakutabiria ushindi oktoba.
 
Nadhani hukusoma na kuelewa mtazamo na hoja za Dr Axavel Lwaitama mjamaa wa ukweli wa Tanzania. Hata hivyo yeye PhD holder hivyo hoja zake lazima huzitafakari na kuzimung'unyamung'unya kwenye ubongo wako ndipo utaweza kumwelewa.
Kwa mantiki hiyo upeo wako wa kuelewa mambo unatofautiana sanaaa.... to infinity na wakwake. Umedhihilisha hilo kwa jinsi ulivyodandia hoja zake. Mkuu usikurupuke kujibu hoja
zisome na uzitafakari kwa umakini kabla ya kuchangia.
ASANTE Lwaitama kwa kuona na kutaadhalisha juu ya hilo. Wewe ni msomi na mtafiti usiyependa kusubili uletewe ofisini ndo maana ulienda kushuudia mwenyewe kwa macho na maskio yake.
 
mh jamani kwa kweli TBC NAYO ipewe jina la CCM TELEVISION.mh inamaana hata pale pangetokea mlipuko wangeficha picha?MH jamani siasa za tanzania ni hatari kwelikweli.tutiane nguvu tu katika hili.
 
.....Lwaitama hana kumbukumbu ama anarukia mambo tu kama mjinga asiye na elimu, Zitto alifukuzwa Bungeni kwa kusema uongo. Zitto mwenyewe alikiri kuwa Wabunge walikuwa hawajapatiwa mkataba, sasa yeye aliutoa wapi?

......Haya ni mawazo finyu sana kuwahi kutolewa na msomi wa UDSM, yani Lwaitama anataka kusema Watanzania ni mazuzu ya kufuata Helkopta hata kama imebeba uchafu wa kwenda kutupa dampo?

Kumbe Lwaitama alienda "outing" kupunguza mawazo kwa muziki wa Sugu!!!!!!! Ama Dr. Lwaitama alifuata helkopta pia? Uzuzu mkuu jinsi gani!!!!!!???????

......Ni aibiu kuona Dr. PhD akidai eti Zito ana hekima, hekima ya kuchoma moto bendera ya CCM Tarime?
.....Kwa kumsifu Baregu inaashiria wote wawili nati zao zimefunguka kichwani, Baregu si ndo alisukuma gari ya Mrema Manzese 1995 na baadaye kumkashifu huyohuyo "masihi" wake aliyemsukuma?
.......Nani asiyejua kuwa Marando ni mganga njaa? ama naye kafuata helkopta?

He! kumbe mtu mwenyewe mwendawazimu!!!!! Ndio maana alikimbilia helkopta na muziki wa Sugu, swali, hivi kama yeye ni mwendawazimu, anawezaje kufundisha UDSM?
The Patriot please acha lugha za matusi na majigambo ya ajabu kwani mtu mwenye akili timamu na mwenye macho haambiwi tazama na mwenye maskio haambiwi sikia, Sasa hao wameona na wameskikia si busara kutumia lugha za gadhabu kujibu hoja
 
Ahsante Lwaitama kwa uchambuzi mzuri TBC! watakuja kulia na kusaga meno siku watakapofutwa kazi wetu,kiama kina wangoja mimi nilijionea ule umati TV Mlimani na ITV kwa kweli nilitokwa machozi niliona vijana wametulia wakisikiliza hotuba mbalimbali wakiamini kuwa wakati wa UKOMBOZI umefika ole wao Polisi mwaka huu wakifanya ujinga wote watafyekwa ,NGUVU YA UMMA NI SASA
 
Nguvu ya umma ni sasa MUNGU ATATUONGOZA
 
Tukio la kutaka kushishikishwa adabu kwa Waandishi wa TBC jana limeashiria kuwa Wasipokuwa makini Siku moja Watanzania Watawafunza Adabu..Kituo cha Watanzania leo hii mzuie watanzania kupata habari...!Habari za Ufusadi kwa TBC ni kukashifu watu...poa waache waendelee then Siku moja Gari litachomwa moto na waandishi watauawa..!
TBC.jpg
 
Mbona baada ya kurudisha matangazo picha zilikua mbaya sana, au nayo ilipangwa?
 
kweli chaademaa wanaweza....waandishi kumbe huwa na umoja kwa nyakati tofauti!!!
 
Ninampa pole marin kwa kilichompa. Ninampa ushauri wa bure kabisa aache kutafuta ukuu wa wilaya kwa mbinu chafu azingatie maadili la sivyo siku moja atang'oka meno kwa ushamba. Nguvu ya uma inatisha.
 
Ninampa pole marin kwa kilichompa. Ninampa ushauri wa bure kabisa aache kutafuta ukuu wa wilaya kwa mbinu chafu azingatie maadili la sivyo siku moja atang'oka meno kwa ushamba. Nguvu ya uma inatisha.
 
mnategemea baada ya sauti ya zege mabere marando kumtaja fisad lowasa, bwanake na mhando, mhando angekaa kimyaa? lowasa na rostam ndo oxygen ya mhando, atakufa njaa bila hawa mabwana zake
 
Tido anajichukulia majukumu ya mahakama kuamua iwapo watu wamekashifiwa au la? Yeye alitakiwa kuendelea kurusha matangazo ili watakoenda mahakamani waweze kudai kibunda cha kutosha lakini sio kukatiza matangazo katika redio ya umma. Jana nfdio amefundishwa kuwa ile redio ya umma. Amwambie Lowassa na Rostama wamfungulie redio ya binafsi kama walivyofanya New Habari Corporation.

Hata maelezo aliyoyatoa usiku kwenye taarifa ya habari yalikosa profesionalism kwa kutowapa watu aliowatuhumu nafasi ya tuhumakukiuka makubaliano kuwa balanced. Ilitakiwa uongozi wa CHADEMA wanaodaiwa kusaini makubaliano wahojiwe sambamba na maelezo yake il umma uamue ni yupi alikuwa ana makosa na sio kudiktate kama ailivyofanya.
 
Jamani hakuna uhuru usio na mipaka. Ni vizuri kupunguza jazba unapopanda Jukwaani.

Kwani ikitokea Aliyetajwa jina anakwenda mahakamani basi na chombo kilichotangaza au kuonyesha basi nacho kinaburuzwa mahakamani.

Basi TBC hawalitaki hilo.
 
Hiyo picha ya Bwana Marin inatuonyesha mambo ya msingi kabisa.

1. Ni picha nzuri!
2. Huwezi kuamini mtangazaji wa mbwembwe nyingi na madaha kama huyu kuwa totaly helpless ... anapata msaada kwenye tuta!!
3. Wakata matangazo hawakuwahi kuotea kabla, kwamba impact ya walichofanya kingemuweka Bwana Marin katika hali ya kuwa mateka wa kukombolewa na jeshi linaloonekana limemzinga pale...!
4. Power of peolple is real POWER ....maana ghafla habari zilipofika kwa wakata matangazo na kutumiwa picha ya mateka wao... mara moja bila ubishi wakayarudisha matangazo... !! Waka give in... yes wali- yield to the Power of peolple which, we congratulate them!!!
5. Maono na mipango ya Wakuu TBC ni very poor and very shalow...hawakuwahi kudhania kuwa Mtanzania wa sasa anaweza kumshika Bwana Marin mateka hadi Matangazo yarudishwe... What a lesson to TBC... and the like!!!
6.Vipi watu wa tume ya uchaguzi? Viongozi mbalimbali? Taasisi mbali mbali? Mnaona chochote cha kujifunza hapa na kuacha mizaha ya kuchezea nguvu Ya UTU WA MTU????????
 
Amebaki Tendwa,zamu yake yaja very soon,mwache alete blah! blah! zake.
 
Kweli nimeamini Chadema si chama cha siasa bali ni chama cha fujo,ugonvi,pupa,ujinga n.k Yaani hawana tofauti na Lord Resistancy Army wa Uganda au Al-Shababy wa Somalia.Ovyooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom