TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Msije aibika hapa jf na viroja vyenu
wazo tu
 
Asante Pasco na wengine. Mimi pia nimesikiliza TBC1 live via Radio Maria dk chache zilizopita, na wamekiri kuwa Jerry Muro alikuwa kituo cha police central leo na amehojiwa na police kwa masuala kadhaa ambayo hayajawekwa wazi( according to KOVA) na kwamba baada ya hapo AMEACHIWA NA YUKO HURU.

Taarifa imesema Kova atatoa maelezo kesho kuhusu kilichojiri. Mpambanaji dhidi ya RUSHWA, Jerry Muro yuko huru...anajipanga kupiga picha za wala rushwa mtaani.
 
The highlighted red tell clearly that was a set up! won't be suprized to hear he was unlawfully carrying a gun apart from handcuffs which are automatically not supposed to be with him! If this country has reached to this level of using barbaric means to censor people, why do we need media anymore? What the difference between Tanzania and Zimbabwe? Well done Kova and Mwema!
 
Duh,hii kiboko!Yaani J.Muro alivyo maarufu kama mtangazaji leo hii aende hapo b/moyo na ajifanye kawa pccb???It does not add up at all!!Hayo ya pistol na pingu inaweza kuwa ndio zao polisi za kukusachi mfukoni kisha kukubambika kete ya ganja...It looks like a setup!
 
Daily News watachemsha big time kama hii story itatoka ilivyo maana Jerry yuko huru. Waandishi wengi tuu wanamiliki pisto kihalali, issue labda ni hizo pingu, akisema alimpa lifti polisi fulani akazisahau kwenye gari lake, then its over.

Cha msingi, ni Jerry yuko huru!
 
the scenario looks the same as that of Nguza Viking and his sons! Now i am getting the picture how evil is our police force and since general election is coming, the CCM Government will keep quiet cause the same police are needed to enact a landslide victory!
 
.
Hata mimi siamini, ingawa Jerry pesa anaijua, na kuitafuta anaweza, ili sio kihivyo.

........ leo ninaposikia eti ameomba rushwa ya shilingi milioni 10, toka kwa masikini mtumishi wa umma, lazima kwanza sitaamini, pila nitashangaa sana!.


Ingekuwa Shilingi laki moja ningeamini lakini milioni 10 kwa mfanyakazi wa Serikali aliesimamishwa kazi haiingii akilini hata kidogo.
 
Jerry mwenyewe kazungumza live Channel Ten, kasema there is nothing kama hicho, alikuwa polisi katika muendelezo wa mashirikiano na jeshi hilo ndio maana yuko huru na hajatiwa korokoroni.

Kwa hiyo walikuwa wanam-beep tu ili kupeleka ujumbe au namna gani?
 
Pole sana mkuu Jerry Muro........ angalia hao jamaa kaka watakuumiza wengine walikuwa wanapanga kukutegeshea ajali ya gari.
 
naomba kuanzia sasa wanajamii tuanzishe vita dhidi ya hawa mapolisi kwani nyendo zao tunazijua na mpaka watakoma, ni kupiga picha na kuziwasilisha live.
 
ipoje hii??
polisi wanataka kumtishia maisha au ndo wanampigia mlio wa nyau?
 
Jamani JF......kuna maswali muhimu sna ya kujiuliza kabla ya ku-jump into conclusions...........

Nimesoma maelezo ya wadau wote hapo juu.......kuna swali muhimu ambalo Buchanan ameuliza........

Pengine tujiulize yafutayo;

1....NINI MAANA YA RUSHWA.......inakuwajea mpaka inaitwa RUSHWA?
2. Mazingira ya kitendo hicho yakoje
3. Ushahidi ukoje
4. Ni aina gani ya service ambayo wahusika walitaka kufanya au kufanyiwa
5. nani alitoa rushwa........ili imsaidieje?

Tusaidiane kuchanganua hili suala.......Nafikri tukiwa focused tunaweza kujua ukweli na facts na hatimaye........conclusions
 
I never thought Jerry anaweza kuwa dhaifu hivyo. Na bado siamini kama sio mpango wa kumchafulia jina

Mimi nadhani umaskini pia ni tatizo kwa Watanzania au Waafrica. Inawezekana kuwa alikuwa na skills nyingi sana na juu sana za uandishi wa habari kiuchunguzi, lakini maisha yako down.

Kuna mwandishi wa CNN Mkenya, jina lake Koinange( Jef?!). Kwa wale wanaomfahamu/walikuwa wanamfahamu naye alipanda akawa juu sana na kwa ghafla mno. Alikuwa mzuri kweli kwenye reporting. Lakini akaja akanasa kijingajinga hivyo hivyo. Alitaka kutumia mnyanyaso wa kijinsia ili kumla Uroda dada mmoja wa kizungu asimweke hewani. Upuuzi mtupu!

Sishangai issue ya Muro. Sishangai na was expected.
 
Sijui kama nitakuwa nakosea lakini POLICE wanapenda sana Sifa ndio maana mbinu zote za kukamata majambazi wanaziweka wazi lakii bado wanawakamata hii ina maana gani ni hivi kwa asilimia kadhaa ni lazima una Askali wanaohusika na aina yoyote ile ya uharifu unapotokea ndio maana wanafanikiwa kuwakamata majambazi wenzao.

Sasa tuje kwa Muro huyu jamaa watatafuta kila aina ya kumfedhehesha ili asiendelee kuwasuta Muhimu ni Kwa huyu ndugu kuwa makini sana na kila analolitamka hata analolitenda.

Nampongeza kijana anachapa kazi SIWEZI KUMPATA POPOTE PALE MFIKISHIENI SALAMU TUPO PAMOJA NAE.
 
Huo ni mtego wa kutumaliza waaandishi kwa hiyo msifurahie hiyo ishu ya jeri kukamatwa wanalipiza kisasi cha wenzao iringa. Lazima tuwe makini katika hili. polisi wametangaza vita na media kwasababu habari zao za rushwa zimeingia maji machafu. Ila hawatawezi kina jeri topo wengi wataisha tu kama IGP mwema hajui uozo wa jeshi lake Jk avunje aunde kikosi kingine. Aluta Kontinwa.
Tutamjudge mtu kwa matendo yake, anapofanya vizuri tutampongeza lakini akikosea tutampinga na sheria ifuate mkondo.
 
Mimi nadhani umaskini pia ni tatizo kwa Watanzania au Waafrica. Inawezekana kuwa alikuwa na skills nyingi sana na juu sana za uandishi wa habari kiuchunguzi, lakini maisha yako down.

Sishangai issue ya Muro. Sishangai na was expected.
Mwanjelwa kumbe wewe bado unadhani umasikini ni tatizo?, its a fact ni tatizo wala usidhanie.

Pia ni kweli maisha ya waandishi wengi bongo ni down, ila hii isiwe sababu, kuna waandishi wengi tuu life iko poa, uandishi ni wito, wako waandishi wengi tuu life inawapiga sana, wamesoma profession nyingine zinazo lipa kama sheria, lakini bado wamengangana na uandishi pamoja na dhiki zake, what for? Its for the love of it, na ni kwa mapenzi haya, wanaishi maisha ya kimasini na furaha mioyoni mwao for doing what they love most.

Jerry is young, good and smart, ila siungani na wewe kuwa hushangai na is expected!. Sitaki kuamini na wewe uko kwenye hili kundi linalowaona vijana wadogo wakichipukia, mnakua na expectation ya kusubiri they downfall na ikitokea kama hii ya Jerry hamshangai kwa sababu mliexpect!.
Not you Mwanjelwa!.
 
Back
Top Bottom