TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Discussion in 'Celebrities Forum' started by nyaunyau, Jan 31, 2010.

 1. nyaunyau

  nyaunyau Senior Member

  #1
  Jan 31, 2010
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  taarifa nilizopata muda si mrefu mwandishi wa habari aliyejipatia umarufu kwa kufichua rushwa za trafiki naye amekamatwa kwa kuomba rushwa ya milioni 10
   
 2. Kamanda

  Kamanda Senior Member

  #2
  Jan 31, 2010
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 140
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Yule mwandishi bora wa Baraza la Habari Tanzania kwa mwaka 2009, Jerry Muro amekamatwa na Polisi kwa kupokea rushwa ya shilini mlioni 10.

  Habari zilizopatikana na kuthibitishwa muda huu, Muro bado yupo hapa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam ambako anaendelea kuhojiwa na RCO kwa tukio hilo.

  Muro ambaye hadi sasa amewafukuzisha kazi askari wa barabarani zaidi ya 13, baada ya kuwapiga picha 'wakipokea' rushwa kutoka kwa madereva na kuwarusha kwenye TV, sasa naye yamemrudia.

  Nitaendelea kuwamegea zaidi kila hatua kwani nipo hapa Central kwa sasa.
   
 3. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 268
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  mh!
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,887
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  source???
   
 5. nyaunyau

  nyaunyau Senior Member

  #5
  Jan 31, 2010
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  aliomba rushwa kwa mtumishi aliyetimuliwa kazi halmashauri ya wilaya bagamoyo
   
 6. K

  KASRI Member

  #6
  Jan 31, 2010
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wabongo NUKSI! (Kama kweli kakamatwa kwa rushwa)
  Yaani mmeumiza vichwa weeee mkaona adhabu yake ni kumkamatisha Jerry mfichuaji?
  I hope ni katika kumkomoa tu ndio mkaamua kumtegea.
   
 7. Kamanda

  Kamanda Senior Member

  #7
  Jan 31, 2010
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 140
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Source ni Polisi na hapa sasa Jerry Muro anatoka kwenye ofisi ya RCO
   
 8. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,755
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duh hizi nyeti ni za kweli? Manake tusije anza kuchangia story za kusadikika au zile za kutumiana meseji katika simu!?
   
 9. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,143
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  So funny!!! Though hakuna ushahidi kama kweli amekamatwa, lakini hili ni jambo nililolitarajia. Polisi wa Tanzania hawakosolewi. Si ulisikia ile ya Mwanza? Aliyewataja polisi kwamba walishiriki kwenye ujambazi, saa chache baadaye alikamatwa akihusishwa kuwa na yeye ni jambazi.

  So hilo ni jambo la kawaida kabisa. Si ajabu waliamua kumtafuta kwa hali na mali na akajikuta ameingia katika mtego.

  Hiyo ndiyo bongo bwana.
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Jan 31, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,208
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 180
  Alikamatwa na PCCB, Polisi au raia?
   
 11. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #11
  Jan 31, 2010
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,609
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  Kamanda naomba kujua kitu kimoja; unaweza kuuliza kama ilikuwa imepangwa?
   
 12. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #12
  Jan 31, 2010
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,609
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  Zaidi, unaweza kutupa walau proof ya picha haya ya camera ya simu? Kama ikiwa kubwa tutakusaidia kuipunguza
   
 13. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,996
  Likes Received: 1,440
  Trophy Points: 280
  unganisheni hizi thread ziko mbili mkuu
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,542
  Likes Received: 2,388
  Trophy Points: 280
  Maskini mkwe wangu! Mh, ndo maana mafisadi watu walikataa wasisomewe albadiri, wahanga (tu)ngekuwa wengi!
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,862
  Likes Received: 22,879
  Trophy Points: 280
  atalijua jiji..................

  rushwa ikifa na nchi inakufa
   
 16. nyaunyau

  nyaunyau Senior Member

  #16
  Jan 31, 2010
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kakamatwa na polisi baada ya kupokea taarifa toka kwa raia
   
 17. nyaunyau

  nyaunyau Senior Member

  #17
  Jan 31, 2010
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  taarifa ni za kweli kabisa muro yupo hapa central DSM
   
 18. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #18
  Jan 31, 2010
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,609
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  I never thought Jerry anaweza kuwa dhaifu hivyo. Na bado siamini kama sio mpango wa kumchafulia jina
   
 19. Kamanda

  Kamanda Senior Member

  #19
  Jan 31, 2010
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 140
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Najitahidi kuwapatia picha wakati akitoka, nimeongea na mwandishi mmoja atanipa. Simu yangu ya bei ndogo na haina kamera.
   
 20. Kamanda

  Kamanda Senior Member

  #20
  Jan 31, 2010
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 140
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  NI kweli na inavyoelekea haikuwa imepangwa, ni mazoea. Kwani alikwenda kumvaa source huyo akiwa na jamaa fulani ambao aliwatambulisha kuwa ni usalama wa taifa, wakati siyo kweli, ni wajanja tu wa mjini. Naendelea kufuatilia hapa, nimemuona Muro, ngoja nizungumze naye
   
Loading...