I never thought Jerry anaweza kuwa dhaifu hivyo. Na bado siamini kama sio mpango wa kumchafulia jina
.
Hata mimi siamini, ingawa Jerry pesa anaijua, na kuitafuta anaweza, ili sio kihivyo.
Baada ya ila kazi nzuri iliyoifanya kwa traffic, alipaswa kushauri kuwa mwangalifu zaidi maana ni target.
Kwa waandishi makini, ziko kona nyingi za kubabatiza milioni 10. Wako masource wa pesa za kihivyo, lakini sio kihivyo, na huyo sio Jerry yule tumfahamuye, iko namna, na kuna kitu hapo.
Baada ya kutemewa mate na mzungu, mimi binafsi, nilimtafuta Jerry, nikamuona, tukazungumza na nikamshauri hili la kutemewa mate ni deal kubwa, akikubali watu waingie kazini, atavuta zaidi ya Shilingi Milioni 100!.
Jerry hakuonesha interest kwenye hii genuine deal ya kuvuta mahela, leo ninaposikia eti ameomba rushwa ya shilingi milioni 10, toka kwa masikini mtumishi wa umma, lazima kwanza sitaamini, pila nitashangaa sana!.