TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Hata mimi hilo na hata zaidi ya hapo nililitegemea kwa jinsi navyo wajua watu wa usalama wa Tanzania. Rushwa pilisi Tanzania ni mradi wa OCDs, RPCs, n.k. kwa hiyo Kijana Jerry muro alijaribu kupambana na tatizo ambalo usoni mwa wana usalama wa Tanzania wanaona siyo tatizo na ni mradi wao.

Pole Jerry Muro lakini kama umewekewa mtego the truth will prevail.
 
Inasikitisha,hakuna aliye msafi imenenwa usitazame kibanzi ktk jicho la mwenzako ukasahau boriti ktk jicho lako ama walisema pia kila mchimba kisima nae hutumbukia. Pole Muro kama ni kweli wala rushwa nchi hii si polisi wa trafiki pekee wakubwa alikua hawaoni au walikua wanamkatia kitu kidogo ?

inaonekana wewe ni mla rushwa sana, yaani jitihada za Jerry muro unaona hazikuwa na maana? Au ulitaka yeye ndo afanye kazi ya TAKUKURU? yeye alifanya kazi kwa nafasi yake!!
 
Jamaa atakuwa mzembe sana kwa kumatwa kwa rushwa.huwezi ukawa unaumbua watu wanaochukua rushwa alafu wewe mwenyewe hupo tayari kupokea.alitakiwa hawe muoga wa kupokea hata shillingi moja.

huu ni uzembe wa hali ya juu umefanywa na Jerry Muro mbaya zaidi utakuta yeye anadhibiwa zaidi kuliko wale aliowaumbua.
 
kila mtu nadhani alijua something must come behind Muro's initiatives........sishangai lakini naisikitikia Tanzania.
 
Huo ni mtego wa kutumaliza waaandishi kwa hiyo msifurahie hiyo ishu ya jeri kukamatwa wanalipiza kisasi cha wenzao iringa. Lazima tuwe makini katika hili. polisi wametangaza vita na media kwasababu habari zao za rushwa zimeingia maji machafu. Ila hawatawezi kina jeri topo wengi wataisha tu kama IGP mwema hajui uozo wa jeshi lake Jk avunje aunde kikosi kingine. Aluta Kontinwa.
 
1. Ngoma ikilia sana iko karibu nakupasuka.Ndiyo maana mi nilikuwa naangalia hype ya watu juu ya Jerry Muro. Watanzania wanatafuta masiha atakayeweza kuwapa wananchi hope, Jerry ametoa tumaini hili.Natumai hajahusika na rushwa.

2. To be fair, hakuna concrete information either way, let's withhold judgement either way mpaka tupate credible info.Kilichobaki sasa ni maswali mengi tu.
 
kukamatwa kwa jerry ni honi kwa waandishi wenye tabia kama hizo kinachotakiwa ni kubadilika kwani waandishi mara nyingi hawapendi kuangalia upande wa pili wanachojali ni kuanika kashfa za wenzao tu na wao hawazioni zao sasa jerry ameanza wapo wengi watakaofuatia
 
???????????????????????????????????? whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat
 
kukamatwa kwa jerry ni honi kwa waandishi wenye tabia kama hizo kinachotakiwa ni kubadilika kwani waandishi mara nyingi hawapendi kuangalia upande wa pili wanachojali ni kuanika kashfa za wenzao tu na wao hawazioni zao sasa jerry ameanza wapo wengi watakaofuatia

I dont think so, they wanna get rid of him because so far he is the only journalist who is not scared of anyone.
 
kukamatwa kwa jerry ni honi kwa waandishi wenye tabia kama hizo kinachotakiwa ni kubadilika kwani waandishi mara nyingi hawapendi kuangalia upande wa pili wanachojali ni kuanika kashfa za wenzao tu na wao hawazioni zao sasa jerry ameanza wapo wengi watakaofuatia
i dn't believe this
 
Dk. Mwakyembe aliwahi kusema polisi ivunjwe watu wakamcheka kumbe alikuwa anajua analomaanisha
 
Jerry mwenyewe kazungumza live Channel Ten, kasema there is nothing kama hicho, alikuwa polisi katika muendelezo wa mashirikiano na jeshi hilo ndio maana yuko huru na hajatiwa korokoroni.
 
Jerry mwenyewe kazungumza live Channel Ten, kasema there is nothing kama hicho, alikuwa polisi katika muendelezo wa mashirikiano na jeshi hilo ndio maana yuko huru na hajatiwa korokoroni.

naona wamehamua kulimaliza kiutuuzima, ila wabongo ni usanii mtupu, nimtakie kila la kheri
 
Jerry mwenyewe kazungumza live Channel Ten, kasema there is nothing kama hicho, alikuwa polisi katika muendelezo wa mashirikiano na jeshi hilo ndio maana yuko huru na hajatiwa korokoroni.

Mode ziunganishe hizi post.
FO unaponyofoa habari kama hii, ni ustaarabu tu kutaja source
 
Jerry mwenyewe kazungumza live Channel Ten, kasema there is nothing kama hicho, alikuwa polisi katika muendelezo wa mashirikiano na jeshi hilo ndio maana yuko huru na hajatiwa korokoroni.

asante mkuu sisi tuko km 8000 kutoka dar
 
Inaelekea 'MTEGO' wao umefyatuka, Jerry usirudi nyuma ALUTA KONTINUA!
 
Hivi kwanini iwe jana? hizi ni njama tu za askari polisi na watu waliokula nao njama. Hata hivyo nasikitika kusema kwamba njama zao zimegonga mwamba. Hiyo rushwa mbona hajakutwa nayo mkononi? Polisi mmekosea, jaribuni siku nyingine. Na hawa wanaoshabikia hawana maana hata kidogo. Nani aliye msafi kwanza? Polisi imeoza!

vyanzo vyetu jijini dar, vimethiitisha kwamba, mtangazaji wa tbc jerry muro (pichani) anashikiliwa na polisi katika kituo cha kati jijini dar kwa kile kinachodaiwa kunaswa katika mtego wa kupokea rushwa toka kwa mwananchi mmoja wa jijini.

medani za kipolisi zimethibitisha kwamba jerry muro, ambaye ni mtuzwa wa mwandishi bora wa tv kwa mwaka 2009, amekamatwa leo jijini akipokea shilingi milioni 10 kabla mtego aliowekewa haujafyatuka.

kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya dar afande selemani kova anatarajiwa kutoa taarifa kamili wakati wowote kuanzia sasa na globu ya jamii itawaletea pindi habari mpya zitapoingia.
 
Hivi kwanini iwe jana? hizi ni njama tu za askari polisi na watu waliokula nao njama. Hata hivyo nasikitika kusema kwamba njama zao zimegonga mwamba. Hiyo rushwa mbona hajakutwa nayo mkononi? Polisi mmekosea, jaribuni siku nyingine. Na hawa wanaoshabikia hawana maana hata kidogo. Nani aliye msafi kwanza? Polisi imeoza!
 
DAILY NEWS Reporter, 31st January 2010 @ 10:52, Total Comments: 0, Hits: 18

POLICE in Dar es Salaam are holding a journalist with the Tanzania Broadcasting Corporation (TBC), Jerry Muro, on allegations of corruption involving millions of shillings.

The Dar es Salaam Special Police Zone Commander, Mr Suleiman Kova, confirmed the arrest of the TBC journalist, saying he allegedly solicited 10m/- bribe from former Bagamoyo District Council Accountant, Mr Michael Wage.

Mr Kova said Muro posed as an official with the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) and attempted to extort the money from Mr Wage.

Police told reporters at Central Police Station in Dar es Salaam that Muro was brandishing a pair of handcuffs when threatening to arrest Mr Wage in Bagamoyo.

The former district accountant reported the matter to police leading to Muro's arrest. Police found the pair of handcuffs and a pistol in his car during a search.

http://www.dailynews.co.tz/home/?n=7117&cat=home
 
Back
Top Bottom