Hivi star tv wanarusha habari za uongo? Nimeona Specialists wa Muhimbili wakidai kugoma kwani hawawezi kufanya kazi bila kuwa na madaktari wasaidizi. Au ndo wameshaingia wale WAIRAN? Hata kuna kuna mafunzo ya Persuasion and Propaganda kwenye course ya public relations and marketing,kwenye hili PRO umepotea.Tunataka ukweli wa mambo na usikubali kutumika kisiasa kwani unaidhalirisha taaluma yako. Siyo kama hatutaki madokta warudi kazini, lakini tunataka kabla ya kurudi waseme kama madai yao yametekelezwa na serikali? Mazingira ya kazi wanauhakika yataboreshwa? Vinginevyo,wawajibishwe kwa kosa la kuwatesa watanzania kwa mgomo ambao mwisho wake hauna tija kwa wananchi. No improvement-no service!!!