TBC: Huduma hospital Dar zaendelea kuimarika

TBC: Huduma hospital Dar zaendelea kuimarika

Katika taarifa yake tbc wanadai hali ya huduma katika hospitali zimeanza kutengemaa, wakati ktk tv station tukioneonesha madaktari bingwa wakitangaza mgomo.

Katika literature hii inaitwa 'IRONY' naona tbc wameamua kufanya sanaa.
 
wakiripoti kutoka hospital za temeke, ilala na mwanyamala, wakiongea na wagonjwa waliokwenda kupata matibabu wengi wao wamekiri kupata tiba kwa wakati ila katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo huduma ilikuwa ya kusuasua.
 
Tbc wanawafurahisha WAZEE WA DARE ES SALAAM maana wanajua wanaitazama hiyo tv.
 
Tbc wanawafurahisha WAZEE WA DARE ES SALAAM maana wanajua wanaitazama hiyo tv.

Mkuu kwa hiyo wewe unataka mgomo uendelee watu wazidi kufa na Chadema waendelee kushangilia.
 
Mkuu kwa hiyo wewe unataka mgomo uendelee watu wazidi kufa na Chadema waendelee kushangilia.

Hasa hapa cdm inahusikaje?...ishu ni kwamba,Tbc waongo,hawataki wananchi wajue ukweli kuwa ma dr wamepuuza tamko la jk ndo maana,bt ukweli ni kwamba ma dr wamegoma na watoa msimamo wao!endeleeni kujidanganya wakati wananchi wanakufa
 
Hapo ndipo wanapotuchanganya wakati ITV jana imeripoti madaktari bingwa wametangaza mgomo rasmi kuanzia jana
 
.CHADEMAAAAA,Mnatafuta Ikulu kwa udi na uvumba,
.yaani hum ndani ukiandika taarifa hata ya ukweli ikiipinga CDM utashambuliwa tu.
.Hawa wanataka kuwasifia hata vitu vya kijinga.
.Munashinikiza migomo wakati mama dada,kaka,na jamaa wanakufa kwa kukosa matibabu.
.hivi mnafikiria kweli au mnafuata mkumbo tu.
 
Lengo la TBC ni kutengeneza mkanganyiko makusudi kwa kutoa taarifa zisizo sahihi. Hata hivyo wamefail katika hili.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Practically nimejifunza maana hasa ya neno PROPAGANDA!
 
Mkuu kwa hiyo wewe unataka mgomo uendelee watu wazidi kufa na Chadema waendelee kushangilia.
ivi cdm inahusikaje? na je wanaokufa ni wale wasio wa chdm tu? mbona hata common sense unashindwa kutumia?
 
Mkuu kwa hiyo wewe unataka mgomo uendelee watu wazidi kufa na Chadema waendelee kushangilia.

Kwani hao CDM ndiyo wamegoma kuleta vifaa mahospitalini, kwani CDM wamehusika katika ile meza ya majadiliano walioshindwa kufikia muafaka. Kwani hivi Jumuiya/vyama vya madaktari ni jumuiya za CDM ama hawa madaktari wote ni CDM. Ni vema tukalenga kiini cha matatizo kuliko kuanza kutafuta visingizio huku tukisusa kushughulikia tatizo husika.
 
Back
Top Bottom