TBC: Huduma hospital Dar zaendelea kuimarika

TBC: Huduma hospital Dar zaendelea kuimarika

mkuu mimi kama mtaalamu wa PR hii huwezi kuiita hii ni Persuation hata kidogo...hii ni Propaganda pure...they are trying to toy with people's mind something which will result to damage of credibility to who wrote this ****.

Yaani imefikia hatua ya utoto kiasi hiki? Kwani haya ni mashindano ya viduku? Who is gonna buy this bull ****?
 
Toka yule hakimu muhaya alipotoa hukumu ya Lema kule Ar na wale vijana wa Bk kumpigia saluti Nape kila nikiona tangazo lina jina la Kihaya mwishoni huwa nahisi ni propaganda tu. Samahani kama nimewakwaza ila hata huyu aliyetoa tangazo simuamini hadi ije independent source
 
ni taarifa njema sana kuisikia kwa mustakabali wa watanzania wa kipato cha chini!
 
Msiamini huu waraka. Ni FEKI.
Haya ni madudu ya usalama wa TAIFA.......!!!!
Madaktari wanachezewa akili ili warudi kazini kesho....LOL
Nimewasiliana na watu kadhaa Mhimbili hakuna Daktari Kazini

Kama wamefikia hatua ya kumlisha 'matapishi' Mkuu wa nchi, sembuse raia?
Hata hivyo inaonekana ni wepesi kusahau kuwa Watanzani wa leo sio wa jana, watamdanganya Zomba, Ritz, Tume ya katiba, mr emmy na wachache humu JF.
 
Toka yule hakimu muhaya alipotoa hukumu ya Lema kule Ar na wale vijana wa Bk kumpigia saluti Nape kila nikiona tangazo lina jina la Kihaya mwishoni huwa nahisi ni propaganda tu. Samahani kama nimewakwaza ila hata huyu aliyetoa tangazo simuamini hadi ije independent source
 
Blog kadhaa zimeripoti kuwa ma dr. wa Muhimbili wamerudi kazini, je ni kweli?
 
Mi nilidhani unatuthibitishia kwamba madr wamerudi kazini, kumbe unauliza! Basi angalau ungeweka alama ya kuuliza mwishoni mwa title yako. Ni ushauri tu.
 
Ipo taarifa imetundikwa katika Blog ya Michuzi ikiainisha idadi ya madaktari idara kwa idara kwa wamerejea kazini na kila kitu kiko shwari, taarifa hii ni ya kweli ni jambo jema katika kuokoa maisha ya watanzania. Hata hivyo kufuatia taarifa za awali za mchana kuwa madaktari bingwa nao wamegoma taarifa hii imeanza kutuchanganya. Itakuwa busara madaktari wenyewe wakatujulisha juu ya ukweli wa taarifa. Najua wengine watadhani uamuzi huu ni sawa na kumsaliti Dr, Ulimboka, sidhani kama mtazamo huo utakuwa sahihi. Ni imani yangu kuwa majadiliano yaliyokuwa yanaendelea kati ya serikali na madaktari yaendelee ili kufikia muafaka ya majadiliano hayo katika awamu time kwa maana ya yale ya muda mfupi yatekelezwe, ya muda wa kati nayo yaendelee na yale ambayo ni muda mrefu yaendelee kutekelezwa kwa awamu.

Ni ukweli uliowazi kuwa ujumbe waliotaka kuufikisha umefika na tena umefika juu kabisa, ninaimani tutaona mabadiliko japokuwa haitasemwa mabadiliko hayo yamesababishwa na msukumu wa madaktari, ukweli utabakia pale pale, this was an eye opener.
 
Du! Nimemkumbuka yule bwana aliyekuwa waziri wa habari wa serikali ya saddam!
 
swala la taaluma ya udakitari. Kama ni kwa maoni yangu ni vema isitumike kama ni chombo cha kudhofisha upande moja au mwingine kisiasa. Bila kujali umuhimu wa taaluma yenyewe. Labda watanzania tunadhulumika kwa haki zetu mbali mbali. Tungetafuta namna nyingine kisiasa! Na wala si kwa taluma
 
swala la taaluma ya udakitari. Kama ni kwa maoni yangu ni vema isitumike kama ni chombo cha kudhofisha upande moja au mwingine kisiasa. Bila kujali umuhimu wa taaluma yenyewe. Labda watanzania tunadhulumika kwa haki zetu mbali mbali. Tungetafuta namna nyingine kisiasa! Na wala si kwa taaluma hii.pia labda ndani ya madakitari kuna wana siasa au pia nje nako wapo.hivi ni kweli kuwa ni madakitari tu wenye madai serekalini? Waalimu?vyombo vya usalama police magereza wanainchi wa kawaida.kiujumla kote kuna mapungufu sasa tukigoma wote ni serekali ya chama kipi? Ita weza kutimiza yote hayo au sasa ni ule usemi wa bora ya mbaya unaye mjua kuliko malaika usiye mjua.wanainchi kazi kwetu sasa kutofautisha kipi? ni kipi?
 
Serikali iliyoingia kwa propaganda itatawala kwa propaganda daima! hakuna lililojema ni mwendo wa kulishana wrong information hadi somo litakapoeleweka!
 
swala la taaluma ya udakitari. Kama ni kwa maoni yangu ni vema isitumike kama ni chombo cha kudhofisha upande moja au mwingine kisiasa. Bila kujali umuhimu wa taaluma yenyewe. Labda watanzania tunadhulumika kwa haki zetu mbali mbali. Tungetafuta namna nyingine kisiasa! Na wala si kwa taluma
kwa selikali mdebwedo kama hii haiwezekani,
 
Back
Top Bottom