TBC: Huduma hospital Dar zaendelea kuimarika

TBC: Huduma hospital Dar zaendelea kuimarika

Hata Madaktari walipokuwa kazini bado watu walikufa kwa kukosa dawa na tiba zingine ambazo hazipatikani kisa serikali haina hela hizo za kwenda Rwanda, Burundi, USA nk. zinatoka wapi?
 
Tafakari chukua hatua, Kuna nini mbona pro-CDM hawataku kuona mgomo unaisha?

Binafsi sio kama sitaki mgomo uishe ila nataka Serikali iboreshe huduma za afya. Madaktari kabla hawajaanza mgomo ndugu zetu walikuwa wanakufa kwa kukosa dawa na huduma bora mahospitalini kisa Serikali ya CCM haina hela za kuboresha miundombinu ya afya lakini jambo la kujiuliza Serikali hihi ina fungu lakutosha la kununulia mashangingi na kufanya ziara nje ya nchi ambazo hazina tija kwa taifa
 
Back
Top Bottom