TB Joshua kiboko!

TB Joshua kiboko!

Usimdhalilishe Mungu wetu kiasi hicho! TB Joshua hana hadhi hiyo ya kushare ideas na Mungu huyu tunayemfahamu sisi labda yupo mwingine anayemjua yeye! Ingekuwa anaonyeshwa na Mungu huyu kamwe asingekosea katika huo mnaouita "unabii" unakumbuka alisema ndege ya Malaysia ingeonekana "karibuni"? Yuko wapi Rais wa Afrika Mashariki aliyetekwa nyara na mengi tu aliyobugi! Wote hawa wanaojiita manabii ni wababaishaji na kwa kweli ni wakala wa ibilisi wanaokuja katika jina la Bwana kama Yesu alivyotabiri mapemaaa!

Sent from my iPhone using JamiiForums

we kweli emanuel tv unaangalizia kwa jiran
 
1220773_tbjoshua_png4f7949c0d273c029e9fe0a97a127f78b

Wajinga ndio waliwao

Hii Si Account ya TB joshua

Yake inaenda kwa jina la SCOANTBjoshua. Account zingine ni Kazi za Shetani
 
Last edited by a moderator:
Wakati fulani hapa jf kulikuwa na mjadala kuhusu huyu binadamu. Yaelekea ana maono ya hali ya juu. Ametabiri mengi na yametokea. La karibuni ni la mama joyce banda kushindwa urais na kweli yametimia. Swali langu, mtu huyu ni nabii wa Mungu tunayepaswa kumtambua hivyo? Nauliza kwa sababu kuna mengi ya ajabu anayofanya.
usiwe mvivu wa kusoma, kufuatilia na kutumia hekima. Je ukiulizwa mwanao atafaulu au la huwezi kutabiri?
Unadhani kwanini? Si kwa vile unamfahamu. Pia nami natabiri sana kwa kufahamu. Usikkweze watu maana ukikosea Mungu atakuhukumu
 
Wakati fulani hapa jf kulikuwa na mjadala kuhusu huyu binadamu. Yaelekea ana maono ya hali ya juu. Ametabiri mengi na yametokea. La karibuni ni la mama joyce banda kushindwa urais na kweli yametimia. Swali langu, mtu huyu ni nabii wa Mungu tunayepaswa kumtambua hivyo? Nauliza kwa sababu kuna mengi ya ajabu anayofanya.

Please wewe, usitake kufanya tuhoji uwezo wako

Issue ya Joyce banda ilikua wazi siku nyingi sana, she lost popularity, tulionda chaos ya namna alivyoingia na alivyoendesha nchi

Kuna factors zaidi ya tano zilikua zinaashiria Joyce as a one termer
  1. kusapoti ushoga
  2. Kupoteza vijana
  3. Ugomvi na mihemuko isiyo na kichwa wala miguu
  4. Historia ya nchi ya one term presidency sicne banda mkuu
  5. Foreign relationship - wanaorun Malawi wako nje ya nchi hadi leo na wanarudi kwa mafungu huku wakiacha nusu ya miili yao nje (Tanzania being their major hub) wakicheki kinachoeddndelea
  6. she picked a wrong foreign muscle... ni bora angechagua wachina, warusi au wamarekani, waingereza wamebaki jina na malkia tu, angalia nchi walizonazo karibu zinabinuka tu kama watutu wanaojifunza kutambaa

Manyerere usijidhalilishe na hizi nguvu za unajimu.... i expected better from you
alisema Arsenal hawatshinda kombe lolote under Wenger
 
Teh teh teh! Kaazi kwelikweli. Ki ukweli badala ya kukasirika nimejikuta nacheka.
Labda nisaidie kwenye hili, hivi TB Joshua amegeuka dini/imani siku hizi? Maana
nalaumiwa kwa kukaa kimya anaposemwa...

Mtu anapo tukanwa na wewe unakaa kimya maana yake unakubaliana na hao wanao tukana. Jesus called Peter, Satan, do you know why. Jesus called Pharisees "Vipers". Do you read the Bible and comprehend it? Anza kusoma kwa kontext zake na sio kukaa kimya na kusoma mtu anatukanwa huku ukifurahia nyoyoni mwako. If you hate something, you say it na sio kukaa kimya.

Anyway, may the Lord Jesus guide you and let the Holy Spirit reveals the Knowledge of Him in thee.
 
Picha ya uongo mtupu. [/QUO
TE]

Ndio mnavyodanganyana hivyo?

Hebu tembelea kwenye hiyo sura ukasome "context". 69. SURAT AL-H'AAQQAH

Hakika Wajinga ndio waliwao.

Wewe nu bora ufunge domo yako chafu maana HATA ALLAH NA MUHAMMAD HAWAKUPENDI.

Wanawake ni wabaya zaidi ya watu walio kufa (Maiti), hawaruhusiwi hata kufuata jeneza. Sahih Muslim - 4.2039

HIVI MWANAMKE WA KIISLAM UNAFANYA NINI HUKO?
WEWE NI MBAYA KULIKO MAITI ASEMA ALLAH
 
Unaweza kabisa kuwaprove wrong bila kukashifu dini za wengine..

Kama Ayat na Sahihi hadith zimekuwa kashfa basi kumbe huo Uislam ni bogus and fake. Maana mnatokwa povu mtu akiweka aya zilizo teremshwa na Mnyaazi Mungu.

ALLAH ANASEMA KUWA: WANAWAKE WOTE NI MASHETANI NA WACHAFU KAMA SEHEMU ZA SIRI!!!

Wanawake ni mashetani; wao ni kama uchafu wa sehemu za siri.
Sahih Muslim - 8.3240, 3242; Ghazali - gombo la 2, p. 26, gombo la 2, p. 43

HAKIKA CHUKI HII YA ALLAH KWA WANAWAKE WA KIISLAM IMEZIDI!!!
WANAWAKE KWANINI MNAFUTA HUYU KIUMBE ALLAH ANAYE WATUKANA KILA SIKU?
 
Wewe nu bora ufunge domo yako chafu maana HATA ALLAH NA MUHAMMAD HAWAKUPENDI.

Wanawake ni wabaya zaidi ya watu walio kufa (Maiti), hawaruhusiwi hata kufuata jeneza. Sahih Muslim - 4.2039

HIVI MWANAMKE WA KIISLAM UNAFANYA NINI HUKO?
WEWE NI MBAYA KULIKO MAITI ASEMA ALLAH

Eeeh

Wewe nu bora ufunge domo yako chafu maana HATA ALLAH NA MUHAMMAD HAWAKUPENDI.

Wanawake ni wabaya zaidi ya watu walio kufa (Maiti), hawaruhusiwi hata kufuata jeneza. Sahih Muslim - 4.2039

HIVI MWANAMKE WA KIISLAM UNAFANYA NINI HUKO?
WEWE NI MBAYA KULIKO MAITI ASEMA ALLAH
 
Please wewe, usitake kufanya tuhoji uwezo wako

Issue ya Joyce banda ilikua wazi siku nyingi sana, she lost popularity, tulionda chaos ya namna alivyoingia na alivyoendesha nchi

Kuna factors zaidi ya tano zilikua zinaashiria Joyce as a one termer
  1. kusapoti ushoga
  2. Kupoteza vijana
  3. Ugomvi na mihemuko isiyo na kichwa wala miguu
  4. Historia ya nchi ya one term presidency sicne banda mkuu
  5. Foreign relationship - wanaorun Malawi wako nje ya nchi hadi leo na wanarudi kwa mafungu huku wakiacha nusu ya miili yao nje (Tanzania being their major hub) wakicheki kinachoeddndelea
  6. she picked a wrong foreign muscle... ni bora angechagua wachina, warusi au wamarekani, waingereza wamebaki jina na malkia tu, angalia nchi walizonazo karibu zinabinuka tu kama watutu wanaojifunza kutambaa

Manyerere usijidhalilishe na hizi nguvu za unajimu.... i expected better from you
alisema Arsenal hawatshinda kombe lolote under Wenger

Ahsante umemaliza kila kitu...
 
Kama anaweza atabiri anguko au ushindi wa Boko haram, au atueleze mwaka kesho Tanzania itaongozwa na rais gani aseme jina lake

Mkuu aliwahi kusema kuwa EDO atakuwa next presidor! Nasubr nione utabiri, maana alimpa sharit la kufanya harambee ili afanikiwe, aseee jamaa anajua kucheza na mood ya wateja wateja(mteja) wake.
 
Kama Ayat na Sahihi hadith zimekuwa kashfa basi kumbe huo Uislam ni bogus and fake. Maana mnatokwa povu mtu akiweka aya zilizo teremshwa na Mnyaazi Mungu.

ALLAH ANASEMA KUWA: WANAWAKE WOTE NI MASHETANI NA WACHAFU KAMA SEHEMU ZA SIRI!!!

Wanawake ni mashetani; wao ni kama uchafu wa sehemu za siri.
Sahih Muslim - 8.3240, 3242; Ghazali - gombo la 2, p. 26, gombo la 2, p. 43

HAKIKA CHUKI HII YA ALLAH KWA WANAWAKE WA KIISLAM IMEZIDI!!!
WANAWAKE KWANINI MNAFUTA HUYU KIUMBE ALLAH ANAYE WATUKANA KILA SIKU?

Weye mumeo anakazi kweli. Nampa pole kwa kuoa hamnazo.
 
Mkuu aliwahi kusema kuwa EDO atakuwa next presidor! Nasubr nione utabiri, maana alimpa sharit la kufanya harambee ili afanikiwe, aseee jamaa anajua kucheza na mood ya wateja wateja(mteja) wake.

usitushuhudie jirani zako uongo. lini tb joshua alitamka hivyo? EDo alienda kuhiji kama wakiristo wengine wafanyavyo. acha siasa chafu mkuu. ni mawazo yangu tu binafsi usije kukwazika kuambiwa facts
 
Wakati fulani hapa jf kulikuwa na mjadala kuhusu huyu binadamu. Yaelekea ana maono ya hali ya juu. Ametabiri mengi na yametokea. La karibuni ni la mama joyce banda kushindwa urais na kweli yametimia. Swali langu, mtu huyu ni nabii wa Mungu tunayepaswa kumtambua hivyo? Nauliza kwa sababu kuna mengi ya ajabu anayofanya.
Kwa hiyo unataka kutuambia alivyomtabiria Lowassa kuwa atakuwa rais wa nchi hii yatatimia? kama ndivyo unavyofikiri nadhani ndiyo kusudio la kuleta huu uzi.

OGOPA MATAPELI
TB joshua
Mzee wa Upako
Zilipendwa kakobe
Mwingila
Mama Rwakatare
Na type zao zote

HII LIST WEKA MBALI NA WATOTO.
 
Back
Top Bottom