TB Joshua kiboko!

TB Joshua kiboko!

Wewe nu bora ufunge domo yako chafu maana HATA ALLAH NA MUHAMMAD HAWAKUPENDI.

Wanawake ni wabaya zaidi ya watu walio kufa (Maiti), hawaruhusiwi hata kufuata jeneza. Sahih Muslim - 4.2039

HIVI MWANAMKE WA KIISLAM UNAFANYA NINI HUKO?
WEWE NI MBAYA KULIKO MAITI ASEMA ALLAH

Kama Ayat na Sahihi hadith zimekuwa kashfa basi kumbe huo Uislam ni bogus and fake. Maana mnatokwa povu mtu akiweka aya zilizo teremshwa na Mnyaazi Mungu.

ALLAH ANASEMA KUWA: WANAWAKE WOTE NI MASHETANI NA WACHAFU KAMA SEHEMU ZA SIRI!!!

Wanawake ni mashetani; wao ni kama uchafu wa sehemu za siri.
Sahih Muslim - 8.3240, 3242; Ghazali - gombo la 2, p. 26, gombo la 2, p. 43

HAKIKA CHUKI HII YA ALLAH KWA WANAWAKE WA KIISLAM IMEZIDI!!!
WANAWAKE KWANINI MNAFUTA HUYU KIUMBE ALLAH ANAYE WATUKANA KILA SIKU?
Teh teh teh teh wapi Human right watch wapi TGNP na kile TAWLA watu wanadhalilishwa huku.
 
Kama Ayat na Sahihi hadith zimekuwa kashfa basi kumbe huo Uislam ni bogus and fake. Maana mnatokwa povu mtu akiweka aya zilizo teremshwa na Mnyaazi Mungu.

ALLAH ANASEMA KUWA: WANAWAKE WOTE NI MASHETANI NA WACHAFU KAMA SEHEMU ZA SIRI!!!

Wanawake ni mashetani; wao ni kama uchafu wa sehemu za siri.
Sahih Muslim - 8.3240, 3242; Ghazali - gombo la 2, p. 26, gombo la 2, p. 43

HAKIKA CHUKI HII YA ALLAH KWA WANAWAKE WA KIISLAM IMEZIDI!!!
WANAWAKE KWANINI MNAFUTA HUYU KIUMBE ALLAH ANAYE WATUKANA KILA SIKU?

Kwa Hujui kwamba tumeambiwa kwamba Vita yetu si katika Damu wala Nyama na Vile vile imeandikwa kwamba ingawa tunaenenda kwa Mwili lakini silaha zetu si za Ki Kimwili bali ni Neno la Mungu. Silaha zetu si KASHFA, MATUSI wala DHIHAKA maana hizo ndizo watumiazo wao tukisema tujibu Mapigo kwa kutumia Hizo silaha kwa Hakika Watatushinda.
 
http://www.nyasatimes.com/2013/02/18/tb-joshua-resigns-from-announcing-football-prophecies-i-have-been-getting-insults/

NI KWAMBA NABII TB JOSHUA ALISHA ACHANA NA MAMBO YA UTABIRI WA MAMBO YANAYOHUSUPIRA TANGU MWEZI FEBRUALY MWAKA JANA. HIZI ZINGINE NI TAARIFA ZA KUTAKA KUMCHAFUA MTUMISHI WA MUNGU. TUCHUNGE VINYWA VYETU.
 
http://www.nyasatimes.com/2013/02/18/tb-joshua-resigns-from-announcing-football-prophecies-i-have-been-getting-insults/

NI KWAMBA NABII TB JOSHUA ALISHA ACHANA NA MAMBO YA UTABIRI WA MAMBO YANAYOHUSU MPIRA TANGU MWEZI FEBRUALY MWAKA JANA. HIZI ZINGINE NI TAARIFA ZA KUTAKA KUMCHAFUA MTUMISHI WA MUNGU. TUCHUNGE VINYWA VYETU.
 
No wonder why this place is so godforsaken!

Maana sampuli kama hizi ndo zina run things nchini.

Eti TB Joshua kiboko.....good grief.

huyu Manyerere ni muandishi njaa njaa sana juzi tu kaandika habari za uwongo za waziri kupewa cheque bandia bila hata kuwauliza wahusika very soon atashitakiwa hajui hata ethics za kuuliza upande wa pili ni mtu wa stori za vijiweni hivi..hii ya tb Joshua mwambie aweke video hana...
 
Kwa Hujui kwamba tumeambiwa kwamba Vita yetu si katika Damu wala Nyama na Vile vile imeandikwa kwamba ingawa tunaenenda kwa Mwili lakini silaha zetu si za Ki Kimwili bali ni Neno la Mungu. Silaha zetu si KASHFA, MATUSI wala DHIHAKA maana hizo ndizo watumiazo wao tukisema tujibu Mapigo kwa kutumia Hizo silaha kwa Hakika Watatushinda.

Umesha wabatiza wangapi? Maana vita yako si ya kiroho. Wewe unafahamu vita ya kinyama? [h=3]Muslims Kill Christians in Sudan - Faith Freedom International[/h]
 
Umejazwa ujinga na umekujaa.

Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)

ALIKUWA MBORA WA VIUMBE KWA LIPI?
 
Hapo umemalza hawez kukujibu hadi milele.
Yan huyu s.a.w ukimsoma utajua jins alivokuwa anaishi na shee mr twani.

Wafumbue Macho baba taji inakungoja, asije kuwapo atakaesema sikuskia
 
huyu Manyerere ni muandishi njaa njaa sana juzi tu kaandika habari za uwongo za waziri kupewa cheque bandia bila hata kuwauliza wahusika very soon atashitakiwa hajui hata ethics za kuuliza upande wa pili ni mtu wa stori za vijiweni hivi..hii ya tb Joshua mwambie aweke video hana...

Kesi kama hizo ni kama dereva kupambana na kichaa barabarani. Ni za kawaida sana. Hao majangili wenzako wafungue tu hizo kesi tupambane. Hatubahatishi. Tumejiandaa vya kutosha.
 
Kwa hiyo ukitabiri na hayo uliyotabiri yakatokea unakuwa "mtu wa Mungu?" Hivi mtu akitabiriwapinzani watashindwa uchaguzi Tanzania 2015 naye ni mtume, mtu wa Mungu?
 
Bishaneni mkichoka mtaacha, Mimi ngoja niendelee kufaidi mambo ya the arena of liberty -SCOAN.
 
mbona alishakanusha huyo Tb?nenda website ya Malawi voice utaona kanusho hilo la mwaka Jana mwezi DEC tar 29!
 
Wakati fulani hapa jf kulikuwa na mjadala kuhusu huyu binadamu. Yaelekea ana maono ya hali ya juu. Ametabiri mengi na yametokea. La karibuni ni la mama joyce banda kushindwa urais na kweli yametimia. Swali langu, mtu huyu ni nabii wa Mungu tunayepaswa kumtambua hivyo? Nauliza kwa sababu kuna mengi ya ajabu anayofanya.

acha kumpigiaaa promo huyo
 
Mkuu aliwahi kusema kuwa EDO atakuwa next presidor! Nasubr nione utabiri, maana alimpa sharit la kufanya harambee ili afanikiwe, aseee jamaa anajua kucheza na mood ya wateja wateja(mteja) wake.

Hawa wanabii wetu wa siku hizi wanancheza na matukio tu.
 
Kesi kama hizo ni kama dereva kupambana na kichaa barabarani. Ni za kawaida sana. Hao majangili wenzako wafungue tu hizo kesi tupambane. Hatubahatishi. Tumejiandaa vya kutosha.

waandishi wetu bana, shida ni nini? why not just pick up your phone and confirm such big allegations before putting pen to paper. sio kila mtu ni jangili bana kuna watu wanajitoa seriously for the good of this country.
 
Usimdhalilishe Mungu wetu kiasi hicho! TB Joshua hana hadhi hiyo ya kushare ideas na Mungu huyu tunayemfahamu sisi labda yupo mwingine anayemjua yeye! Ingekuwa anaonyeshwa na Mungu huyu kamwe asingekosea katika huo mnaouita "unabii" unakumbuka alisema ndege ya Malaysia ingeonekana "karibuni"? Yuko wapi Rais wa Afrika Mashariki aliyetekwa nyara na mengi tu aliyobugi! Wote hawa wanaojiita manabii ni wababaishaji na kwa kweli ni wakala wa ibilisi wanaokuja katika jina la Bwana kama Yesu alivyotabiri mapemaaa!Sent from my iPhone using JamiiForums

Emmanuel TV nimekuwa naiangalia kwa muda mrefu sasa, nadhani kabla watu wengi wa humu jamvini hawajaanza kuitazama. Je unakumbuka siku moja hiyo TV ilitoa kioja eti mwanamke aliyepimwa hospital kuwa ana uvimbe kwenye tumbo la uzazi na alipokuja kwa maombi basi ule uvimbe ukaanza kumtoka kupitia sehemu zake za siri na TV ikawa inaonyesha live. Naona anaona alifanya kioja siku hiyo ndio maana siku hizi anasema huo uvimbe unayeyuka kwa jina la Yesu. Mbona wakati ule haikuwa hivyo? Amejifunza kuwa watu walimshangaa. Kuna maswali machache kuhusiana na huduma ya TBJ ambayo hakuna mfuasi wake anawezakutoa jibu . Maana yake ni kwamba hata hao wafuasi wake wana mashaka. Inaelekea wafuasi wengi wa TBJ hawajasoma Bible kwanza na wanakuja moja kwa moja kukutana naye ndio maana wanashindwa kuhoji anayoyafanya. Ufahamu kuwa hata kama kweli kuna mijuiza inayofanyika kwenye sinagogi lake SIO LAZIMA ITOKE KWA MUNGU, HATA SHETANI ANAFANYA MIUJIZA VILEVILE. Petro na Yohana wlipofika mlangoni mwa hekalu wakakuta kiwete anaomba pesa walimponyesha, lakini huyu jamaa watu wanakuja kwenye sinagogi lake wakiwa viwete anawapa mchele na pesa. Haya wafuasi wa TBJ kwa nini asiwatibu kama wale mitume wa Yesu? Wale viwete anaodai kuwaponyesha wanaonyeshwa kwenye TV kuanzia wanapoanza kuingia mlangoni mpaka wanapokaa na hata muda unaoitwa wa uponyaji, kama sio fix ni nini? Biblia inasema imani huja kwa kusikia Neno la Mungu sio kusikia shuhuda. Sasa huyu mtaalam TBJ muda mrefu ni shuhuda na unabii neno linasomwa chini ya 5% ya muda wa TV. Na hata anapofafanua neno la Mungu, kwa mtu aliyeisoma hiyo Bible kisawasawa anabaki na maswali mengi ya kujiuliza kuhusu uelewa wa huyo anayejiita nabii. Yesu alipoponyesha watu aliwaambia wasimweleze mtu, mbona TBJ muda wote ni testimony? Toeni majibu. Anointing water ya zamani na ya sasa zina tofauti gani, ni katika maombi au ni katika materials? Sisi Wakristo tumeonywa kuwa ukimwona mtu anaangamia ukamwacha bila kumpa tahadhari basi ujue damu yake itakuwa juu yako. Wale wafuasi wa TB Joshua nawapa tahadhari kuwa mnayemfuata hana uhusiano na utumishi wa Mungu aliyeainishwa katika Bible, labda mungu mwingine ambaye Amri ya kwanza ya Mungu wa Bible inakataza kabisa kumwabudu.
 
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)

ALIKUWA MBORA WA VIUMBE KWA LIPI?

duh, hii inaitwa MBASHA style!
 
Back
Top Bottom