FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
kweli wajinga ndio waliwao, mjinga wa kwanza ni yule aliyeamini hii photoshop ambayo obviously ni ya mashabiki wa manU
Na video niliyoiweka umeiona?
Wajinga ndio waliwao!

wapo wengi tu, hata huko Bariadi wapo pia, kuna wachonga vinyago hata kwenye miziki pia, wachoraji mabingwa hata wengine nikiwataja huwezi kuwajua hebu cheki hii definition kwanza
an exceptional natural capacity of intellect, especially as shown in creative and original work in science, art, music, etc
A genius is a person who displays exceptional intellectual ability, creativity, or originality, typically to a degree that is associated with the achievement of an unprecedented leap of insight. This may refer to a particular aspect of an individual, or the individual in his or her entirety; to a scholar in many subjects (e.g. Gottfried Wilhelm Leibniz or Leonardo da Vinci)[SUP][1][/SUP] or a scholar in a single subject (e.g., Albert Einstein or Charles Darwin). There is no scientifically precise definition of genius, and the question of whether the notion itself has any real meaning has long been a subject of debate.
hapo kwenye red unaweza ukaelewa zaidi...
kwa muktadha huu ninaweza kukutajia mmoja wapo ambaye unamfahamu alikuwa ni Julius Kambarage Nyerere
kwa hiyo unataka orodha ya majina mengi ya ma genius wetu na wala sio jina moja ndio unamaanisha hivyo?Mie nimekuomba unitajie majina ya hao ma genius wenu. Siyo jina.
Au hukuelewa?
Wakati fulani hapa jf kulikuwa na mjadala kuhusu huyu binadamu. Yaelekea ana maono ya hali ya juu. Ametabiri mengi na yametokea. La karibuni ni la mama joyce banda kushindwa urais na kweli yametimia. Swali langu, mtu huyu ni nabii wa Mungu tunayepaswa kumtambua hivyo? Nauliza kwa sababu kuna mengi ya ajabu anayofanya.
![]()
Wajinga ndio waliwao
Na video niliyoiweka umeiona?
Wajinga ndio waliwao!
Hebu naomba huo utabiri wa Mama Joyce Banda kushindwa. Naomba verbatim kabisa.
Maana nataka nilinganishe na opinion polls za kabla ya uchaguzi.
Manake bongo mtu kuwa kiboko, kichwa, au genius wala huhitaji kufanya lolote la ajabu.
Waweza andika Kiingereza cha maneno ambayo hayatumiki sana katika maongezi ya kawaida ya kila siku (hata kama hakijanyooka kisarufi) na ukaonekana genius...
Tuna viwango vya chini mno....ndo maana nataka niuone huo ukiboko wa huyo TB Joshua kupitia hayo maneno yake verbatim.
Kwa sababu huenda aliangalia opinion polls na kuona kuwa Banda hawezi kushinda na hivyo kujitosa katika kujifanya anatoa utabiri kumbe wala mwenzenu kawazidi ujanja tu.
Wakati fulani hapa jf kulikuwa na mjadala kuhusu huyu binadamu. Yaelekea ana maono ya hali ya juu. Ametabiri mengi na yametokea. La karibuni ni la mama joyce banda kushindwa urais na kweli yametimia. Swali langu, mtu huyu ni nabii wa Mungu tunayepaswa kumtambua hivyo? Nauliza kwa sababu kuna mengi ya ajabu anayofanya.
No wonder why this place is so godforsaken!
Maana sampuli kama hizi ndo zina run things nchini.
Eti TB Joshua kiboko.....good grief.
Mie nimekuomba unitajie majina ya hao ma genius wenu. Siyo jina.
Au hukuelewa?
Huu mbona ni utoto wa mjini wa kawaida tu!!Hakuna watu wepesi kuibia au kutapeli kama walokole wasio na macho ya rohoni.Huko nchini kwake majirani zake wanamfahamu huyu jamaa alivyo mtoto wa mjini wakikuona unaingia kwake wanakushangaa!!!Sikatai kuna watumishi wa kweli lkn huyu mmmmmh!!Na video niliyoiweka umeiona?