MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,092
Please...tukubali kutokukubaliana bila kashfa.Na tujifunze kutofautiana bila kuchafuana na kukashifiana kwa kutofauti zetu za dini Maana kwa kukashifu hamsaidii yeyote sie unayemuelekeza wala Mungu unayemuabudu.
Wewe unaita Sahih HADITH KASHFA, Astghafurillah. Wache kufuru weye.
MUHAMMAD SIO MTUME KWASABABU HAKUWAI ONGEA NA MUNGU
Leo ningependa tujikumbushe mambo machache ambayo labda hatukuyatilia maanani. Mitume wote na manabii wote wa Biblia waliwai ongea na Mungu. Lakini, Mtume wa Allah "Muhammad" hakuwai ongea na Mungu HATA MARA MOJA. Je, utume wake tutauamini vipi maana hakuwai ongea na aliye mtuma?
Lakini Mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu.
1. Musa anoangea na Mungu: Kutoka 3:1-21
2. Elia anaongea na Mungu: 1 Wafalme 19- Soma yote
3. Paulo anaongea na Mungu: Matendo ya Mitume 18:9
Hiyo ni mifano michache kutoka Biblia.
Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Mungu, kwanini hakuongea na Mungu?