Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,261
Nimemsikia na kumtazama mara kadhaa katika redio na TV, huyu bwana anafanya vihoja vyote alivyokuwa akifanya mwendazake TB Joshua.

Shuhuda kutoka kwa wafuasi wake ni zile za mambo ya ajabu yasiyomithilika "outlandish claims" za watu kuharisha vyura, kutolewa ndege machoni, vifo vya paka wa uchawi n.k

Kama alivyokuwa mwendazake TB Joshua na wanaojiita manabii wote hawa wa kisasa, Mwamposa pia hana mafundisho rasmi ya kanisa lake. Ibada nzima imetawaliwa na madai ya miujiza ya ajabu kuhusu afya, uchumi, vyeo n.k

Pia kupitia biashara ya kanisa ameweza na ameendelea kujikusanyia ukwasi mkubwa wa utajiri.

Haya ndio yanayoonekana hadharani kwa sasa, nafikiri ni suala la muda kabla ya mengi ya huko gizani kuibuliwa wakati fulani.
 
Kuna matahira yatakuja kupinga kikubwa washazoea ushirikina
 
Wamuwahi kumuanika kabla hajafa, asije kutufia halafu watu wafunguke, wakutane na deflections za "mnasema wakati kashakufa, hayupo kujitetea" kama wanavyosema kwa TB Joshua.
 
Uwepo wa watu kama Mwamposa ni ithibati ya kiwango na kiasi cha ujinga uliopo kwenye jamii.

Na huo ujinga upo kwenye watu wa kada zote.

Kuna kipindi fulani nilikuwa nadhani [kimakosa] kwamba wafuasi wa hao wachungaji ni wajinga kwa sababu hawana elimu rasmi ya darasani!

Baadaye nikaja kugundua kuwa hao wafuasi wapo wa aina zote. Haijalishi kiwango cha elimu rasmi alonayo mtu.

Hata hivyo, acha tu huyo Mwamposa aneemeke kupitia migongo ya hao wajinga, madhali ni watu wazima waliojipeleka kwake kwa ridhaa zao.
 
Utapeli wa kidini ni mojawapo ya mambo ya kustaajabisha sana, Mwamposa na muzauza yake yote yanayoweza kung'amuliwa hata na mtu mwenye akili za darasa la saba bado anao wafuasi wengi wa PhD, Masters na Degree!
 
Uwepo wa watu kama Mwamposa ni ithibati ya kiwango na kiasi cha ujinga uliopo kwenye jamii.

Na huo ujinga upo kwenye watu wa kada zote.

Kuna kipindi fulani nilikuwa nadhani [kimakosa] kwamba wafuasi wa hao wachungaji ni wajinga kwa sababu hawana elimu rasmi ya darasani!

Baadaye nikaja kugundua kuwa hao wafuasi wapo wa aina zote. Haijalishi kiwango cha elimu rasmi alonayo mtu.

Hata hivyo, acha tu huyo Mwamposa aneemeke kupitia migongo ya hao wajinga, madhali ni watu wazima waliojipeleka kwake kwa ridhaa zao.
Kuna jamaaa nlimuomba msaada flan Kwa mazingira aliyokua nayo angeshindwa kunisaidia bas angenipa maelekezo mazuri zaidi🤔🤔akaniambia twende ukawekewe Mkono kanisani then yy atamalizia palipobakia.... Ili nsimkwaze nikaswitch direction haraka sana.

Ukiona mtu mwenye profile kubwa anaamini hizo drama chunguza vzr ana tatizo la kisaikolojia na anahitaji msaada mkubwa ila anakosa mahala sahihi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom