TB Joshua kiboko!

Marekani mtu kuwa genius mnatumia vigezo gani? Ulishawahi fanya IQ test?

Sijui, lakini kutumia maneno ya Kiingereza ambayo hayatumiwi katika maongezi ya kila siku hakumfanyi mtu kuwa genius.

Sijawahi hata siku moja kuona au kusikia vile vitoto vya Spelling Bee vikiitwa vi-genius.
 
Huyo jamaa (Manyerere) ni mwandishi wa habari (supposedly). Nilitegemea awe makini sana katika matumizi yake ya maneno achilia mbali mantiki za hoja.

Lakini kwa jinsi ambavyo huwa namsoma humu, huwa naishia kutingisha kichwa changu tu.

Hivi kweli huko Malawi hakukuwa hata na opinion poll moja iliyotabiri kushindwa kwa huyo Mama?

Approval rating ya utendaji wake kazi ilikuwa ni asilimia ngapi kabla ya uchaguzi?

I guess hata mimi nikitabiri kuwa CCM mwakani itashinda uchaguzi mkuu nitakuwa nimefanya jambo la ajabu. Nami nitakuwa 'kiboko', 'kichwa', na 'genius'.

Hahahahaaaaaaa duuuuuuh.

Mkuu we acha tu ....!!
 
Mbona ndege haijapatikana bado?? Mbona Arsenal imeshinda kikombe na hivyo kukinzana na utabiri wake?? Utabiri ni ujanja ujanja tu wa kucheza na nyota na mwendo wa matukio, ni kama Shekh Yahaya alivyokuwa anatabiri kiujanja ujanja tu.

Binafsi awe mtu wa Mungu au shetani, akishajiingiza kwenye utabiri tu huyo kwangu mchawi maana utabiri ni kucheza na nyota na inakuwa kama unaingilia kazi za Mungu.

utabiri na unabii ni tofauti, eleza jinsi unavyofahamu unabii pia ili tujue sasa kama yeye ni mtabiri au nabii.
 
TB Joshua au Manabii wowote wale huwa HAWATABIRI bali Wanazungumza yale MUNGU AMEWAONESHA. Suala la Kutoa Unabii lilikuwepo tangu zamani na wala si jambo la Kushngaza. Mkimwabudu Mungu katika Roho na Kweli Kutoa Unabii suala la Ajabu sana.
 
No wonder why this place is so godforsaken!

Maana sampuli kama hizi ndo zina run things nchini.

Eti TB Joshua kiboko.....good grief.
ndio wahariri wanaoitwa ikulu kwa press release!
Nadhani Jacton ni mmoja wa wanamtandao matapeli waliopo hapa mjini wanaandkisha watu kwenda kwa TB JOSHUA!
 
Sijui, lakini kutumia maneno ya Kiingereza ambayo hayatumiwi katika maongezi ya kila siku hakumfanyi mtu kuwa genius.

Sijawahi hata siku moja kuona au kusikia vile vitoto vya Spelling Bee vikiitwa vi-genius.
ni kweli kabisa kutumia mamisamiati magumu huo sio u genius kwa maana nyingine kingereza ni lugha ya kawaida tu, hata sisi huku bongo vigezo vya namna hiyo hatuvitumii...
 
Sioni cha ajabu kwa Sababu Neno la Mungu (Ambaye ndiye Mungu) linasema

Matendo ya Mitume 2: 16-18

16 lakini jambo hili ni lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii Yoeli,
17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto.
18 Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri.
 
I Believe in Him Toka zamani.. Naangalia Videos zake pia

Si kila Mtu atamwamini kwahiyo Play your part kama unamwaminj na Iwe hivyo..

Siku zote Adui wa Mungu hadumu lazima ataanguka. Maana tutamtambua kwa Matendo yake
 
Wakati fulani hapa jf kulikuwa na mjadala kuhusu huyu binadamu. Yaelekea ana maono ya hali ya juu. Ametabiri mengi na yametokea. La karibuni ni la mama joyce banda kushindwa urais na kweli yametimia. Swali langu, mtu huyu ni nabii wa Mungu tunayepaswa kumtambua hivyo? Nauliza kwa sababu kuna mengi ya ajabu anayofanya.

Utabiri wake kwa Arsenal vipi?

Wajinga ndio waliwao.
 
I Believe in Him Toka zamani.. Naangalia Videos zake pia

Si kila Mtu atamwamini kwahiyo Play your part kama unamwaminj na Iwe hivyo..

Siku zote Adui wa Mungu hadumu lazima ataanguka. Maana tutamtambua kwa Matendo yake

Matendo ya Mitume 5:38-39

Mwalimu wa Sheria za dini ya Kiyahudi anawapa Somo Wenzake namna bora ya Kudeal na Roho

38 Basi sasa nawaambia, Jiepusheni na watu hawa, waacheni; kwa kuwa shauri hili au kazi hii ikiwa imetoka kwa binadamu, itavunjwa,
39 lakini ikiwa imetoka kwa Mungu hamwezi kuivunja; msije mkaonekana kuwa mnapigana na Mungu.
 
Back
Top Bottom