Km hua unamfuatilia alisema kabla
Akasema baada na.ilipokuwa ila c walipuuzia
Bt alisema kila kitu
Nabii wa kwako
Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Huo unabii alipewa lini
Unatetea kitu ambacho haujakielewa vizuri.
Alitabiri ndege ya Malaysia itaonekana, je, imeonekana? Unasema unabii usipotimia inakuwa ni maombi, je, yeye na nyie wafuasi wake mliomba ndege isionekane?
JMushi1 hapo juu anasema kitu kilichowashinda hao manabii ni kuishi maisha ya Kristu. Wote hapa tunajua maisha aliyoyaishi Yesu na Yesu hakuna kitu kilichomshinda. Yesu alifufua hadi wafu (sidhani kama kuna mtu aliyewahi kulifanya hili) na yeye Yesu mwenyewe alifufuka katika wafu. Yesu alitembea juu ya maji. Kipindi cha Yesu palikuwa na matajiri pia kwahiyo angeweza kabisa kuishi maisha ya kifahari. Yesu alisema mkubwa na awe mdogo. Ni kweli maisha ya hao manabii wa sasa hayana tofauti na mapedeshee.
Mimi ni Roman Catholic na ni Mkristu hai ila akili yangu "haijafungwa".
Out of Topic:
Huwa ninawasifu Waislam kwa kujaribu kuishi kulingana na maisha aliyoyaishi mtume wao ndiyo maana unakuta hadi leo wanawake wa Kiislam wanavaa kama alivyovaa mama yake Yesu wa Nazareth.
Haiwezekani kabla ya kuingia chumbani kwako uvue viatu lakini kwenye nyumba ya ibada uingie na viatu. Kuna baadhi ya vitu Wakristu tunatakiwa tubadilike.
Hata Yesu aluvyokuja watu
walimpinga mpaka wakamwua so hata uje vipi shetani ataakikisha mambo ya
kweli hayafikii wanadamu ili waombe.
hahahaha vizuri kwa kutoa maoni yako!!
Kama vp badili dini kwani unazuiwa?
yani dada utakuwa umelewa dini vya kutosha huna tofauti na wale walokole walioshinda siku 3 airport wakisubiri kwenda ulaya kwa miujizaes
Bt ni suala la muda tu mkuu
Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Unatetea kitu ambacho haujakielewa vizuri.
Alitabiri ndege ya Malaysia itaonekana, je, imeonekana? Unasema unabii usipotimia inakuwa ni maombi, je, yeye na nyie wafuasi wake mliomba ndege isionekane?
JMushi1 hapo juu anasema kitu kilichowashinda hao manabii ni kuishi maisha ya Kristu. Wote hapa tunajua maisha aliyoyaishi Yesu na Yesu hakuna kitu kilichomshinda. Yesu alifufua hadi wafu (sidhani kama kuna mtu aliyewahi kulifanya hili) na yeye Yesu mwenyewe alifufuka katika wafu. Yesu alitembea juu ya maji. Kipindi cha Yesu palikuwa na matajiri pia kwahiyo angeweza kabisa kuishi maisha ya kifahari. Yesu alisema mkubwa na awe mdogo. Ni kweli maisha ya hao manabii wa sasa hayana tofauti na mapedeshee.
Mimi ni Roman Catholic na ni Mkristu hai ila akili yangu "haijafungwa".
Out of Topic:
Huwa ninawasifu Waislam kwa kujaribu kuishi kulingana na maisha aliyoyaishi mtume wao ndiyo maana unakuta hadi leo wanawake wa Kiislam wanavaa kama alivyovaa mama yake Yesu wa Nazareth.
Haiwezekani kabla ya kuingia chumbani kwako uvue viatu lakini kwenye nyumba ya ibada uingie na viatu. Kuna baadhi ya vitu Wakristu tunatakiwa tubadilike.
Akitabiri huwa anasema tuombe ili mabaya yasitokee..sasa utapeli wake uko wapi? ameshawahi kudai fedha? mara zote wanaompinga hawajawahi hata kuchukua robo saa ya kusikiliza mafundisho yake
Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Hivi ile ndege alisema itaonekana nayo imeonekana au....?
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?[/QUOTE]
Not necessarily
Kenya inapakana na South Sudan, Somalia, Uganda, Tanzania na Ethiopia. Katika vurugu mechi za kisiasa kati ya hao majirani Tanzania haimo kabisa!
Kwa nini anaitwa Peter Samson Maro?, na sio Peter Mramba au Peter Mkapa?