Tb Joshua atabiri mambo makubwa

Tb Joshua atabiri mambo makubwa

siku ngozi nyeusi vichwa vyao vitakuwa na akili ndiyo tutaacha upuuzi wa kuwaabudu wazungu! imani yako ndiyo itakayo kuokoa! mtu mkubwa kama Obama akisikia kauli kama hzi huwa anapuzia! waafrika baadala ya kumiza vichwa kwa mambo ya maana tunawaza mambo kama haya? upuuzii
 
Umejuaje hana huo upofu unaousema wa "rohoni"?

Kwasababu alisema anawaamini wote ambao wanajita watumishi wa Mungu, na kwamba Mungu ndiye anayejuwa.

Ina maana wengi wenu mko radhi kuliwa kwasababu Mungu pekee ndo atakayewahukumu!

Yani acha uliwe na kudanganywa, potelea mbali kwasababu Mungu ndo anayejuwa, sasa si upofu huo ni kitu gani?

Sitaki kujiingiza kwenye mabishano ya Imani, itakuwa ni kupoteza muda!

Mimi nimemsoma mwishoni akisema hamuamini yeye ila Mungu aliyemtuma. Labda swali liwe ni Mungu yule yule anayemuamini ndiye kamtuma say T.B Joshua.

Mimi pia sihukumu, ila kuna watumishi sipati amani ninapowasikiliza na hivyo sipotezi muda kuwasilikiliza. Kuna ninaowakibali, na to some extent mafundisho yao yamenifanya nimekuwa mtu mzuri kuliko awali, T.B Joshua ni mmoja wao. Na leo kuna padre mmoja kahubiri na yameniingia hadi raha. So wenye Upofu wa rohini kama mimi, ambao tunashindwa kusema kwa uhakika yupi ni kweli wa Yesu na yupi anamtumia Yesu kujitajirisha, tunamwachia Yeye ndio ahukumu.
 
siku ngozi nyeusi vichwa vyao vitakuwa na akili ndiyo tutaacha upuuzi wa kuwaabudu wazungu! imani yako ndiyo itakayo kuokoa! mtu mkubwa kama Obama akisikia kauli kama hzi huwa anapuzia! waafrika baadala ya kumiza vichwa kwa mambo ya maana tunawaza mambo kama haya? upuuzii
next Sunday tune in Emmanuel TV uone hao wazungu wanavyojazana kwa mtu mweusi (T.B Joshua) halafu uje ucomment tena.
 
Da! YESU aliwatabiri kabisa hawa kuwa siku za mwisho watatokea!!!!
 
Huyu Mungu huyu hivi kwanini amekaa mbali hivi Dunia inateketea kwa haya mambo ya ajabu ajabu!!!
 
Hiyo itakuwa Somali au Sudan Kusin au Ethiopia, Tz sio rahisi JK atekwe

Hiyo ni Burundi tu kwa sababu Mkuruzinza anachakachua katiba ili atawale kwa awamu ya 3 kinyume na katiba
 
Mimi siamini hawa manabii...kwanini hajatuambia walipo akina Abubakar Shekau!!
 
Yesu alisema si kila roho ijayo kwetu tuiamini, ni lazima tupime... Wakubwa je, tunafahamu sifa za nabii wa kweli na wa uongo? Je, ktk cku zetu hizi tunao manabii au la... Nadhani tukipata majibu ya maswali haya ndo tutajua ukweli wa TB Joshua...
 
Tutajie hizo sifa za nabii wa kweli halafu tutumie vigezo vyako tumpime T.B Joshua.
By the way, unajua hata Yesu walimwambia anatoa pepo kwa nguvu za Belzabeli (sikumbuki spelling).
I tell you, Yesu angezaliwa leo hii, majority mngemkataa. Hata kina Elia, Joshua, Yeremia walikataliwa na walimu wa sheria na viongozi wa dini ya kiyahudi, hivyo sio kitu jipya.
 
Hajasema nchi inayopakana na Kenya...amesema southern africa countries. ...kwamba one of their president atatekwa na pengine kuuawa.... about Obama, ameonya kwmba asifanyiwe operation maana haitokua sawa kwake. He said let's pray for them!!!
Nashawishika kuamini kwa kiasi culani hii comment yako kuliko alivyoilete mtoa mada. Alichofanya mtoa mada ni kutafsiri kwa mawazo yake. Sishangai maana hata darasani mwalimu ni mmoja, wanafunzi mia, lakini kuna maxi 100 - 0
 
Embu toeni upuuzi wenu yeye amekuwa mungu, acheni imani za kijinga waafrika ndio maana hatuendelei kwa kuendekeza mambo ya kijinga
 
Hata Yesu aluvyokuja watu walimpinga mpaka wakamwua so hata uje vipi shetani ataakikisha mambo ya kweli hayafikii wanadamu ili waombe.
 
Mimi nimemsoma mwishoni akisema hamuamini yeye ila Mungu aliyemtuma. Labda swali liwe ni Mungu yule yule anayemuamini ndiye kamtuma say T.B Joshua.

Mimi pia sihukumu, ila kuna watumishi sipati amani ninapowasikiliza na hivyo sipotezi muda kuwasilikiliza. Kuna ninaowakibali, na to some extent mafundisho yao yamenifanya nimekuwa mtu mzuri kuliko awali, T.B Joshua ni mmoja wao. Na leo kuna padre mmoja kahubiri na yameniingia hadi raha. So wenye Upofu wa rohini kama mimi, ambao tunashindwa kusema kwa uhakika yupi ni kweli wa Yesu na yupi anamtumia Yesu kujitajirisha, tunamwachia Yeye ndio ahukumu.
Sasa kama kila anayekuja, anasema katumwa na Mungu.

Kwahiyo kazi yako wewe ni kuamini tu kuwa wametumwa, halafu mwisho wake nini?

Yesu mwenyewe mnayemuamini alisema manabii wa uongo watakuja, na akasema watatambulika! Yeye asiyetaka kuwatambuwa si kajitia upofu huyo? Na hii nazungumzia kwa wale wanaoamini.

Waafrika tuna kazi, halafu kati yao, hakuna hata mmoja anayeishi maisha kama ya Yesu.Hakuna hata mmoja!

Wengi wa manabii, wanayatumia maneno ya Yesu, lakini hawajui kuwa mtihani mkubwa kabisa ni kuishi maisha kama aliyoyaishi yeye! Jambo ambalo halipo kabisa, hawajui kuwa chrstianity, maana yake ni wafuasi wa Yesu wenye kutakiwa kuishi maisha kama yake!

Hawa manabii wengi wao wanaishi kama mapedeshee tu na mapimp!

Poleni sanaa!!
 
Back
Top Bottom