masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Hana tofauti na sheikh Yahaya!Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?