Tb Joshua atabiri mambo makubwa

Tb Joshua atabiri mambo makubwa

Hivi kwa nini asitabiri waliko wasichana 200 ndani ya nchi yake anahangaika na yasiyomhusu.hatujasikia akiomba warudi walau.kama unaponya ukimwi na vilema unashindwaje kuomba wasichana wetu warudi.huu ni ubabaishaji wa hali ya juu
 
Unatabiri ya rusia ya jimboni mwako yanakushinda.aache utapeli wa kisaikolojia
 
Hivi utabiri wa obama kukimbizwa hospitali una faida gani.kwanza wana nyenzo na obama ni binadamu kuumwa siyo issue.atabiri wapi walipo binti 200 na ni tarehe ngapi saa dakika sekunde na siku gani boko haramu watavamia mashule na kuteka miji ya nchini kwake
 
your hopelessness/desperation = somebody's fursa.
 
Hivi utabiri wa obama kukimbizwa hospitali una faida gani.kwanza wana nyenzo na obama ni binadamu kuumwa siyo issue.atabiri wapi walipo binti 200 na ni tarehe ngapi saa dakika sekunde na siku gani boko haramu watavamia mashule na kuteka miji ya nchini kwake

EXACTLY!!!!! juzi Boko haram wameteka mji NDANI YA NIGERIA.
hizi tabiri ni kwa faida ya nani, zinalenga nini, ili iweje?
 
Kizazi hiki kinataka ishara...siku za mwisho zilishatabiriwa...magonjwa, njaa, dhiki, vita,matetemeko ya ardhi, upendo kupoa...sasa TB anarudia rudia tu...mshike sana yesu achaneni na utabiri utabiri huu yesu kwanza...maana hata shetani anafahamu nyakati za mwisho.......
 
Back
Top Bottom