Tb Joshua atabiri mambo makubwa

Tb Joshua atabiri mambo makubwa

Prophet Tbjoshua is next level n is a peace of heaven walking on earth, wanaombeza wanapoteza Muda wao.... Hapa marekani ma shirika makubwa ya habari magazeti na tv yalithubutu kushindana naye mwisho yamenyoosha mikono,Mungu ameshampa GRACE ya kufanya mambo yasiyomithirika!!!!!wivu, roho mbaya na kila dharau hazina nafasi!!!! N soon ataipindua dunia miguu juu kichwa chini, is matter of time


Tell them 'he is touch not order from heaven'

Changing life changing nations and changing the world
 
Yesu alisema si kila roho ijayo kwetu tuiamini, ni lazima tupime... Wakubwa je, tunafahamu sifa za nabii wa kweli na wa uongo? Je, ktk cku zetu hizi tunao manabii au la... Nadhani tukipata majibu ya maswali haya ndo tutajua ukweli wa TB Joshua...

Ww ndo Jiulize wengine tushajiuliza.na majibu tumepata

Ss na ww anza kumfuatilia
 
Yah hawa wananigeria ni wa kuangalia sana..

Na Mungu amemtoa mtu wake palepale kwenye uovu

Na im telling u makanisa mengi yamekufa natural death Nigeria hasa.lagos baada ya.prophet tb joshua.

Fake haitadumu, bt ile ya kweli ndo itadumu mpaka mwisho' by tb joshua
 
Alipokuwa akitabiri Sheikh Yahya mlikuwa mnapiga
Mikeleleeee,Oh majini sijui nini! Akitabiri
Huyu wa kwenu eti Ooooh subiri tu uone yatatokea,
Hakuna lolote,ajuaye yaliyofichika ni Mungu pekee


Shehe yahaya alikuwa anatabiri
Huyu hatabiri anatoa unabii.

Halafu cc Mungu wetu anatufunulia yaliyofichwa na yaliyosirini.

Yeremia 33:3niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha, mambo makubwa ,magumu usiyoyajua
 
Sasa kama kila anayekuja, anasema katumwa na Mungu.

Kwahiyo kazi yako wewe ni kuamini tu kuwa wametumwa, halafu mwisho wake nini?

Yesu mwenyewe mnayemuamini alisema manabii wa uongo watakuja, na akasema watatambulika! Yeye asiyetaka kuwatambuwa si kajitia upofu huyo? Na hii nazungumzia kwa wale wanaoamini.

Waafrika tuna kazi, halafu kati yao, hakuna hata mmoja anayeishi maisha kama ya Yesu.Hakuna hata mmoja!

Wengi wa manabii, wanayatumia maneno ya Yesu, lakini hawajui kuwa mtihani mkubwa kabisa ni kuishi maisha kama aliyoyaishi yeye! Jambo ambalo halipo kabisa, hawajui kuwa chrstianity, maana yake ni wafuasi wa Yesu wenye kutakiwa kuishi maisha kama yake!

Hawa manabii wengi wao wanaishi kama mapedeshee tu na mapimp!

Poleni sanaa!!


Ndo maana biblia imetuambia lzma tujue 'kupambanua Roho' ili tujue wa kweli ni yupi ja wa uongo ni yupi sio kupinga tu kisa umesikia
Watch his programme utajua km wa uongo ama wa.kweli
 
Shehe yahaya alikuwa anatabiri
Huyu hatabiri anatoa unabii.

Halafu cc Mungu wetu anatufunulia yaliyofichwa na yaliyosirini.

Yeremia 33:3niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha, mambo makubwa ,magumu usiyoyajua

Bidada umejitahidi kweli kutetea,ungekuwa kuku ungeshataga saahizi.
 
He he heee! Huyu Mnigeria ni noma, kwahiyo kuhusu kupatikana kwa ndege ya Malaysia pia watu wameomba sana kwa mungu hilo lisitokee?

Jamaa is very smart, eti lisipotokea basi watu wameomba kwa mungu lisitokee. Kuhusu yanayoendelea nchini kwake ya Ebola na Boko haram hasemi kitu, yuko busy na nchi za wengine.

Juzi juzi tu hapa ametoa katoni kadhaa za maji akadai zinatibu ebola sijui imeishia wapi hiyo?

Huwez kuelewa
Unless by his grace lord Jesus

Watch emmanuel tv
Changing life changing nations and changing the world
 
Nilishakaa nikaangalia vipindi vyake. Ndio maana nimefikia kusema hivyo

Ok
Km ww ni mkristo kweli sio mkristo wa jina (I mean km upo rohoni)
Yaani roho wa Mungu yu ndani yako ipo cku atakushuhudia.
 
Shehe yahaya alikuwa anatabiri
Huyu hatabiri anatoa unabii.

Halafu cc Mungu wetu anatufunulia yaliyofichwa na yaliyosirini.

Yeremia 33:3niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha, mambo makubwa ,magumu usiyoyajua

Huo unabii alipewa lini
 
Ndo maana biblia imetuambia lzma tujue 'kupambanua Roho' ili tujue wa kweli ni yupi ja wa uongo ni yupi sio kupinga tu kisa umesikia
Watch his programme utajua km wa uongo ama wa.kweli

Unatetea kitu ambacho haujakielewa vizuri.

Alitabiri ndege ya Malaysia itaonekana, je, imeonekana? Unasema unabii usipotimia inakuwa ni maombi, je, yeye na nyie wafuasi wake mliomba ndege isionekane?

JMushi1 hapo juu anasema kitu kilichowashinda hao manabii ni kuishi maisha ya Kristu. Wote hapa tunajua maisha aliyoyaishi Yesu na Yesu hakuna kitu kilichomshinda. Yesu alifufua hadi wafu (sidhani kama kuna mtu aliyewahi kulifanya hili) na yeye Yesu mwenyewe alifufuka katika wafu. Yesu alitembea juu ya maji. Kipindi cha Yesu palikuwa na matajiri pia kwahiyo angeweza kabisa kuishi maisha ya kifahari. Yesu alisema mkubwa na awe mdogo. Ni kweli maisha ya hao manabii wa sasa hayana tofauti na mapedeshee.

Mimi ni Roman Catholic na ni Mkristu hai ila akili yangu "haijafungwa".

Out of Topic:

Huwa ninawasifu Waislam kwa kujaribu kuishi kulingana na maisha aliyoyaishi mtume wao ndiyo maana unakuta hadi leo wanawake wa Kiislam wanavaa kama alivyovaa mama yake Yesu wa Nazareth.

Haiwezekani kabla ya kuingia chumbani kwako uvue viatu lakini kwenye nyumba ya ibada uingie na viatu. Kuna baadhi ya vitu Wakristu tunatakiwa tubadilike.
 
Back
Top Bottom