Tb Joshua atabiri mambo makubwa

Tb Joshua atabiri mambo makubwa

msanii huyu keshaona lesotho kimenuka! kaja na utabiri sijui unabii....

only fools.. will listen to this dude....
 
Fool said God does not exist and another fool said there is no God.

Psalm 14: 1 The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works; There is none that doeth good.

Quran: LA ILAHA ILA ALLAH

Msiba huu upo kwako.
 
sijakuelewa bado .. unasema ....? TB JOSHUA HE'S A FOOL..?A MA?
 
Fool said God does not exist and another fool said there is no God.

Psalm 14: 1 The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works; There is none that doeth good.

Quran: LA ILAHA ILA ALLAH

Msiba huu upo kwako.

hayo maandishi yako ya 'herufi kubwa' yanakuthibitisha wewe ni fool !
 
Alipokuwa akitabiri Sheikh Yahya mlikuwa mnapiga
Mikeleleeee,Oh majini sijui nini! Akitabiri
Huyu wa kwenu eti Ooooh subiri tu uone yatatokea,
Hakuna lolote,ajuaye yaliyofichika ni Mungu pekee
 
Alipokuwa akitabiri Sheikh Yahya mlikuwa mnapiga
Mikeleleeee,Oh majini sijui nini! Akitabiri
Huyu wa kwenu eti Ooooh subiri tu uone yatatokea,
Hakuna lolote,ajuaye yaliyofichika ni Mungu pekee

Hao wapuuzi hawajui hata wanalosema sasa hivi humo makanisani kumejaa ushirikina mtupu eti wengine wanadai kufufua watu waliokufa, aisee ujinga ugonjwa
 
Mathayo 7:22-23

Wengi wataniambia siku ile:Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri: Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

Angalia programme uone anachofanya ili uweze ku judge vzr

He s the true prophet ?man of God of the last days
 
He he heee! Huyu Mnigeria ni noma, kwahiyo kuhusu kupatikana kwa ndege ya Malaysia pia watu wameomba sana kwa mungu hilo lisitokee?

Jamaa is very smart, eti lisipotokea basi watu wameomba kwa mungu lisitokee. Kuhusu yanayoendelea nchini kwake ya Ebola na Boko haram hasemi kitu, yuko busy na nchi za wengine.

Juzi juzi tu hapa ametoa katoni kadhaa za maji akadai zinatibu ebola sijui imeishia wapi hiyo?
 
Ya Lesotho si yameonekana na mwelekeo wake sote tunaufahamu, kuna haja ya kuuita unabii? Alisema ndege ya Malaysia ingepatikana; je ilishapatikana?

Ulitaka awabembeleze?
Hyo cyo kazi yake.

Alishatoa unabii kabla na baada ya kupotea
Ss ulitaka akawachukue awapeleke ilipo?
 
Binadamu bwana .......kabla hujaponda chukua biblia ujifunze maana ya unabii .....TB Joshua ametoa unabii wa mambo mengi na yametokea .......mtumishi wa Mungu utamjua kupitia matunda yake .......he is man of God .....

Mkuu hao wengine roho mpinga kristo inawasumbua
 
Wakuu

Jambo zuri kuhusu secret society(freemasonry and the like) ni kwamba wanajua kila kitu kitakachotokea kesho (siasa,uchumi),kwa kuwa kila kitu kipo kwenye plan/schedule.They are like brothers!!

Mipango wanapanga pamoja na kwa manufaa wanayojua wao!!

Just remember,EVERTHING IS PLANNED!!
ukimaliza kusoma vidudu ingia grade one
 
Wakuu

Jambo zuri kuhusu secret society(freemasonry and the like) ni kwamba wanajua kila kitu kitakachotokea kesho (siasa,uchumi),kwa kuwa kila kitu kipo kwenye plan/schedule.They are like brothers!!

Mipango wanapanga pamoja na kwa manufaa wanayojua wao!!

Just remember,EVERTHING IS PLANNED!!

Na hao freemason
Wengi tu washaenda pale wameshachemka
Wanaishia kuolewa mapepo
 
Mbona anatabiri mabaya tu, kwa nini sio mambo mazuri.?!

Hata mazuri huwa ana tabiri
So km unafuatilia programme yake utaona.

Btw haya mabaya ili tuombe kwa Mungu na Mungu ameepusha mengi tu
 
Back
Top Bottom