Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

Unadhani kwa nini hiyo ilikusaidia kwa utafiti wako? au sakafu ina conduct vitu kwenye ngozi yako

Mkuu;
Sivyo bali mwili una tabia ya kuogopa baridi na sakafu hukusanya maji maji. Nimesema, hakikisha umesimama juu ya kitu kikavu sio juu ya box ambalo linakusanya maji. Vaa haraka nguo kavu usikae na ile taulo uliyo jifutia. Ukijigusa na yale maji maji utaanza kuwashwa
 
Mimi pia tatizo hilo lilinitesa sana miaka 2 nilitumia tiba nyingi sana lakini ziligoma....mwisho Wa siku.....miwasho ikaacha yenyewe
 
Hili ni tatizo lililo nisumbua kwa miaka kama sita na hakuna dawa ilio nisaidia lakini nikushauri vtu vchache vlivo nisaidia had now nko fresh

1.Jaribu kubadirisha maji kama unaoga ya baridi jarbu kutumia maji ya moto.
2.Punguza mda unaotumia kuoga ili kupunguza contact na maji kwa mda mrefu
3.Tumia dodoki soft na usijisugue sana
4.Subiri ukauke ndio ujipake mafuta
5.Tambua mazingira yanayo chochea tatizo mfano mimi mikoa ya baridi ndio ilio kua inaniathir zaid.
Ni ayo tu.
 
msangi360,
Inaonekana huwa unajisugua na dodoki au sponge.....next time ukiogea sabuni tu na usijisugue hutapata muwasho...nina tatizo kama hilo nikijisugua kutoa uchafu huwa nawashwa balaa...usipojisugua utakuwa shega tu
 
Pole sana. Hilo tatizo liliwahi kunikumba miaka ya 2008-2009. Nadhani lilikua linasababishwa na dawa ambayo mamlaka ya maji ilikuwa inaweka humo maana nilikua nikiogea maji ya mvua, kisima au nikiwa nje ya mkoa nilikua siwashwi.

Nakumbuka nilikuwa nikitoka bafuni naingia kwenye blanket na lile joto la ndani ya blanket lilikua linasaidia kupunguza ile hali ya kuwashwa.

Sikwenda hospitali, na hiyo hali ilikuja ikaisha yenyewe.
 
Inaonekana huwa unajisugua na dodoki au sponge.....next time ukiogea sabuni tu na usijisugue hutapata muwasho...nina tatizo kama hilo nikijisugua kutoa uchafu huwa nawashwa balaa...usipojisugua utakuwa shega tu
Yani unavosema upo right, nikioga na sabuni pasipo dodoki huwa siwashwi, nikijisugua kutoa uchafu hapo ndio ntawashwa.

Nikisema nioge bila kujisugua mkuu sintakuwa na ukurutu sana?
 
Tatizo la ACNE linawakumba watu wengi, ni ugonjwa common kwa watu wanao kula sana vyakula vya wanga hasa wali au ugali!
Punguza wanga
Oga maji ya baridi tu
tumia dawa ya kupaka inaitwa Centrazone
Utapona kabisa hasa hasa kama utapunguza ulaji wa Carbohydrates
 
Inaonekana maji unayogea yana fangus.. Jaribu kuyachemsha au kuogea maji ya moto.. Utatuletea mrejesho
 
Tatizo la ACNE linawakumba watu wengi, ni ugonjwa common kwa watu wanao kula sana vyakula vya wanga hasa wali au ugali!
Punguza wanga
Oga maji ya baridi tu
tumia dawa ya kupaka inaitwa Centrazone
Utapona kabisa hasa hasa kama utapunguza ulaji wa Carbohydrates
hii mbona umewahi kuitoa ni ya mwaka kesho! haaaa haaa acha nicheke na nundu yangu,ok! Acne ni Chunusi we unataka kufafanua usichokielewa vyema,na chunusi haina uhusiano na cabohydrates,ungenishawishi ungehusisha na sebaceous glands pamoja na fat foods.N hiyo dawa yako labda inapatikana sayari ya Mars.Tiba hizi majanga.
 
Asante mkuu
Kaka pole sana mwenyewe ilishawahi kunitokea wakati nasoma chuo dar bt kuna mtaalamu akaniambia ni aleji nilivyo maliza nikawa mkoani nashangaa haikutokea tena kabisa,jana nimetua dar wakati nimemaliza kuoga nikaanza kuwashwa kama zamani.Swali je unaishi dar kama ndio jarib kwenda mkoani alafu oga uone kama utawashwa coz yawezekana Maji ya dar ndo tatizo kwako
 
hii mbona umewahi kuitoa ni ya mwaka kesho! haaaa haaa acha nicheke na nundu yangu,ok! Acne ni Chunusi we unataka kufafanua usichokielewa vyema,na chunusi haina uhusiano na cabohydrates,ungenishawishi ungehusisha na sebaceous glands pamoja na fat foods.N hiyo dawa yako labda inapatikana sayari ya Mars.Tiba hizi majanga.
Ukiwa haujui ni vyema ukauliza
Please google about ACNE CONGLOBATA ambayo tunaiita wataalam kama ACNE tu kwa kifupi
Ni upuuzi kutuamba ACNE ni chunusi
Hawa chini wanaumwa ACNE,hii ndiyo kwenu mnaita CHUNUSI?
Niendelee kukufundisha hata kuhusu hiyo dawa ewe kiumbe mwenye elimu haba?
Nasisitiza tena punguza wanga na oga maji ya baridi ambayo oxygen and Hydrogen ipo bonded bado!Nitaelezea siku nyingine hivi vitu!
images

acne-conglobata-pictures-8.jpg
 
Malafyale,
kutuamba ndo nini? au umebabaika ulitaka kusema kutuambia.Ila nakushukuru umenifundisha kitu,nimejua zipo karibu aina 11 za Acne,kumbe mie nilikuwa najua moja tu,Acne Vulgaris,Haya niifundishe juu ya Dawa uliyoitaja,Centrazone.
Halafu habari ya kusema huko kwenu sijui manaiita sijui ninininini??? uiache ntakuja kukutembezea kichapo huwa sitaniwi mie.
Haya tiririka juu ya Centrazone mkuu.Ila big up kidogo umenipa mwanga nasubiri juu ya Centrazone.
 
Back
Top Bottom