Makonda Dar sawa; Jerry atulie palepale kwenye ileee miradi bomba anayoipaisha. "Milioni 900 itapendeza!"Nampendekeza Mueshimiwa Askofu Ngwajima Anauwezo mkubwa sana
Namuomba muheshimiwa aturudishie Makonda Dar au hatuletee Jerry muro jiji letu hili linapendeza Sana likiwa na watu hao
ukiukubali ushauri wake huo, anakudharau.Mwalimu Nyerere aliwahi kutuasa, 'akitokea mtu akakushauri jambo la kijinga, na wewe ukakubali ushauri wake, basi wewe ndo mjinga'
Vijana wegi wana ulimbukeni mwingi sana na wanaharibu sana kazi nadhani wazee waendelee kuwekwa hasa kwa sehemu nyeti zinazo guza jamii kwa upana zaidWazee kama akina Manyanya ,Mkuchika, Jenista, kuwarudisha tena ni kupoteza muda , tunataka vijana. Damu mpya. Hawa wazee wakapumzike sasa
Wapinzani walikuwa 'wamestuck' karibu na injiniInamaana nchi haijapaa tu bado?
Primitive, selfish, unpatriotic, ego-centric, pathetic, loser, "why-not-me" mindset.Labda uchumi wa viongozi wa juu wa chama na serikali maana wao ndio wanaofaidi keki ya taifa.
Umeshindwa vibaya kwenye ballot box, "Nikusaidieje" (Prof. J).naona mnagawana vyeo tu ili mtutawale
Daah,basi sawa!Wapinzani walikuwa 'wamestuck' karibu na injini
Umeshindwa vibaya kwenye ballot box, "Nikusaidieje" (Prof. J).
2015 - 2020: Vijana wapewe kipaumbele ili kuibua & kukuza vipaji vipya, kujenga umoja na imani yao na kuleta ushindaniVijana wegi wana ulimbukeni mwingi sana na wanaharibu sana kazi nadhani wazee waendelee kuwekwa hasa kwa sehemu nyeti zinazo guza jamii kwa upana zaid
Hapana vijana walio pewa kwa majaribio wameharibu sana vijana wasipewe hata kidogo2015 - 2020: Vijana wapewe kipaumbele ili kuibua & kukuza vipaji vipya, kujenga umoja na imani yao na kuleta ushindani
2020 - 2025: Vijana wasipewe fursa; wana ulimbukeni mwingi sana na wanaharibu sana kazi; naadhani wazee waendelee kuwekwa, hasa kwa sehemu nyeti zinazogusa jamii kwa upana zaidi
????
Usikute uko unabung'aa standby kuleee KIA ama JNIA. Njoo, ulimwengu uko huku!Nasubiri kuona nchi itakapopaa
Wasifu?Napendekeza Dr. Lyabwene Mtahabwa apewe wizara ya elimu.
In short, muhula huu TOCHI YA USTAWI, MAENDELEO & FANAKA INAWAKA MNG'AO WA ENEJI YA "NYUKI-WANALIA." Magunzi yote out!!!Kinachofurahisha ni kwamba safari hii ni kazi kazi hakuna excuse, asilimia kubwa ya wabunge na madiwani wanatoka chama tawala na hii itawasaidia sana kwenye utendaji.
Naiona connection nzuri kati ya serikali yaani mawaziri na wawakilishi wa wananchi.
Wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wakitumia wataalamu katika sehemu zao, na wakashirikiana na wabunge na madiwani wao vizuri watamsaidia sana rais katika kutatua kero za wananchi na kuwaletea watanzania maendeleo.
Tufike mahali rais anapopita kwenye maeneo yetu tuone akipewa pongezi zaidi ya yale malalamiko ya wananchi kukosa huduma au kukosa wa kuwasikiliza.
Kumbe kutunza kumbu2 ni muhimu hivi?Mkuu wewe si uliandika uzi hapa kuwa hutamchagua Magufuli kwakua kaharibu private sector sasa unampangia serikali ili iweje??
Acha unafiki mkuu.
Kwa propaganda hizi dufu za utahajasimu (pessimism), si ajabu mmeshindwa uchaguzi kila msimu wa uchaguzihata uwe na watendaji wote unaowajua wanachapa kaziii kwa weledi na ustadi .... endapo maamuzi ya mwisho lazima yatoke kwa mmoja tu ni vigumu kuwa na mabadiliko ya kimaendeleo, na endapo kutaendelea kuwa ule utaratibu wa kutengua alichoamua waziri kila mara ..... sahauuu Tanzania uiwazayoo
fanya kazi, Tanzania ni zaidi ya tuijuavyoo
Wewe ndio wa ajabu. acha watu watoe maoni ya kuipaisha nchi yao. Kama vipi nenda ubalozini ukafungiwe chumbani na mwenzako.Mkuu unaamjni kweli nchi hii itapaa???
Usilete uongo kama Jiwe....
Dodoma kila akija anahaidi uwanja wa michezo.
Jamaa waajabu sana.
taifa la wajinga bwana nchi inapaa kwa mipango au Ina paa kwa prediction zako za Baraza la wajinga?Kama tunavyojua kuanzia leo ndio ukomo la Mawaziri. Kutokana na kuapishwa rasmi kwa Raia John Magufuli. Kinachofuata sasa ni Rais kuitisha bunge na kupeleka jina la Waziri Mkuu ambaye pasipo shaka naona Majaliwa Kassim atarudi.... Pamoja na kurudi Majaliwa, hawa watu watamsaidia sana Rais katika utendaji wake...
1. Ummy Mwalimu - abaki pale pale Afya
2. Sagini (Butiama) - aende TAMISEMI
3. Prof. Ndalichako - abaki pale pale
4. Prof. Muhongo - aende Madini
5. Dr. Kalemani - abaki pale pale
6. Mwigulu - abaki pale pale
7. Bashe - apandishwe either Kilimo au Biashara au ujenzi
8. Kabudi - abaki pale pale
9. Zungu - abaki pale pale. Naibu wake awe Mrisho Gambo
10. Dr. Kimei - Biashara au Naibu Fedha
11. Prof. Kitila Mkumbo - wizara ya Maji au Ujenzi
12. Jenista Mhagama - abaki pale pale
13. Prof. Mkenda - Maliasili
PREDICTION YA INGIZO JIPYA MANAIBU...
1. Mwambe (Masasi) former TIC DG
2. David Silinde
3. Kunambi - Former Director wa Dodoma Jiji
AMBAO WAMEFANYA KAZI KUBWA ILA UMEFIKA MUDA WA WA KUPUMNZISHWA, AS THEIR LEVEL IMEFIKA LIMIT
1. Bashungwa - Aliyekuwa Waziri wa vViwanda
2. Stela Manyanya - Aliyekuwa Naibu Viwanda
3. Juliana Shonza - Michezo
4. Kanyasu - Maliasili Naibu
5. Simar - aliyekuwa Naibu Mazingira
6. Kamwele - aliyekuwa wa Ujenzi
These will be a dream team 2020-2025!. hao niliobashiri ni wachapa kazi na wabunifu...
Najua maana yake. Adui ama mpinzani wako akikusifu, jiulize mara mbili2 umekosea wapi; akikukosoa, nenda kasherehekee na wala usibadili welekeo na kasi na mbinu.Hapana vijana walio pewa kwa majaribio wameharibu sana vijana wasipewe hata kidogo