Taratiiiibu…. Geuka Nyuma!!!

Habari wana JF….

Poleni na hongereni kwa saumu (kwa wafungaji…)

na pia mlolongo wa kazi na majukumu…

Back to topic… Hapo hapo ulipo keti/jiegesha/jilaza/simama/

jiachia or whatever… Please... Do me a favour and taratiiiibu

Geuka nyuma…. What do you see???…. Tafadhali tell us…

any thing’ Yaweza kua kimoja ama zaidi ya kitu kimoja…

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

khaaa!!! Mi naona mapazia ya dirishani tu.

dude! hope u ar nt talking abt ur gal! lol
mi nikigeuka nnachokiona hata siwezi kukisema,lmao!
Ni vile vitu flani hivi ambavyo kiukweli huvitaki ila huwezi kuviondoa badala yake inakubidi kuishi navyo tu. Sucks!

Nashukuru umenshtua ile kugeuka nyuma tu bonge la toto lazma nichomoke nae mana nina bupa knoma!

Residency office naona doctors coats + coffee machine ambayo kila nikiingalia nakunja uso coz nurses hawana adabu it was meant only for doctors wao waitumia pia sometimes nakosa hata cofee ya kufungua swaum

A'kum Njiwa... Dah! wee jamaa hupumzikagi?? Pole saana na kazi bana, kila sikuu uko maeneo ya Kazini..... Big up saana....

Im still in the ofc,
kushotokwangu kuna haka ka IT kamaekuja kurekebisha mambo hapa ofcn kwangu, dud..
inabidi nikomae na jf nisigeuke geuke maana nisije anza kuuliza details nyingine ambazo ni nje ya kazi.
Afadhari hukusema nigeuke huko

mmmh! Elia will have to pm you sasa....lol.. angalia usiharibu kazi bana....

In Blue... naona napo haijasaidia kitu!! lol

huku Yaeda mchana unawahi kujaa.....kwa hiyo usiku ni mapema mno.....na isitoshe....nawahi kuwasha kibatari

Hii post imenifanya ni smile will imaginations.... Thank God umebadilisha avatar... imagination more sincere....lol

Hapana sis mimi na siasa wapi na wapi,ni chumbani,nikiingia JF naanzia chitchat kwenda chini.

Usinitafutie kesi kwa mmeo ladies who enter this room are calmed by more than its colour lol!

ha ha ha.... nitukuja na shemejio basi....lol

Kujeuka nyuma tu...naona picha moja nzuri ukutani!!! huku nikiwaza mafuta ya kuondokea nyumbani kesho, sijui nitumie bajaji au baiskel kesho!!!

Nakushauri Bajaji...lol... Hiio Picha nzuri, ni aina gani - nia nijue kama ni art....

ha! ha! ha! kumbe wife hii ndio id yako eeeh! maana nimegeuka nyuma nakuona wewe upo na laptop.

Mimi mbona nipo na mpenzi wangu tumepeana migongo na ID tunajuana... hatuna la kuficha.... itakua coincidence tu...lol

Back
Top Bottom