Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,095
- 43,305
Nyuma yangu kushoto kuna bookshelves (niko kwenye Chuo Kikuu kimoja nafanya kijiutafiti); kushoto kuna jamaa kakaa anafanya kazi yake kwenye kompyuta; ila naweza kuelezea kuwa kiti hajakikalia bali kimemkalia maana kakizidi kwa kila kitu.. sijui kwanini hakuna viti vyenye double seats maofisini kwa wale wengine waliojaliwa maumbo makubwa.