Taratiiiibu…. Geuka Nyuma!!!

Taratiiiibu…. Geuka Nyuma!!!

Mi nimeona kabati la chuma na ufunguo unaning'inia,
natamani ungesema niangalie upandewangu wa kushotoooooo!
 
Mi nimeona kabati la chuma na ufunguo unaning'inia,
natamani ungesema niangalie upandewangu wa kushotoooooo!

Kabati la chuma?? Kwamba bado upo ofisini na hio ni File shelf ?? lol

But niko mo' interested saizi na kushoto kwa upande wako utaje what you see....Pleeeease...
 
huwezi amini nimegeuka.......nimeona pazia dirishani.......

Dalili zaonesha uko home eeh?? Alafu Preta unawahi kurudisha pazia... na mgao huu....lol
 
Nakiona ila nakichukia ile mbaya, sikisemi!

I really hope sio mtu.... maana kama unakichukia kiondoe au tafuta jinsi ya kuki ignore kisikuumize kiasi hicho.... Pole....
 
Residency office naona doctors coats + coffee machine ambayo kila nikiingalia nakunja uso coz nurses hawana adabu it was meant only for doctors wao waitumia pia sometimes nakosa hata cofee ya kufungua swaum
 
Mi nimeona kabati la chuma na ufunguo unaning'inia,
natamani ungesema niangalie upandewangu wa kushotoooooo!
Im still in the ofc,
kushotokwangu kuna haka ka IT kamaekuja kurekebisha mambo hapa ofcn kwangu, dud..
inabidi nikomae na jf nisigeuke geuke maana nisije anza kuuliza details nyingine ambazo ni nje ya kazi.
Afadhari hukusema nigeuke huko
 
I really hope sio mtu.... maana kama unakichukia kiondoe au tafuta jinsi ya kuki ignore kisikuumize kiasi hicho.... Pole....

Ni vile vitu flani hivi ambavyo kiukweli huvitaki ila huwezi kuviondoa badala yake inakubidi kuishi navyo tu. Sucks!
 
sitaki kuamini kwamba unafanya kazi ofisi ya CCM......!!!.....No....can't be....
Hapana sis mimi na siasa wapi na wapi,ni chumbani,nikiingia JF naanzia chitchat kwenda chini.

Light green is a good color... ulipo sema green... nikajua hasa ile GREEN....lol

Siku moja baada ya kazi nitakuja kuona how calming the color is....lol
Usinitafutie kesi kwa mmeo ladies who enter this room are calmed by more than its colour lol!
 
Mimi nimegeuka nyuma nikaona yale wabunge wa magamba wanayotumia kufikiri - Ma-Masaburi!!
 
Kujeuka nyuma tu...naona picha moja nzuri ukutani!!! huku nikiwaza mafuta ya kuondokea nyumbani kesho, sijui nitumie bajaji au baiskel kesho!!!
 
Mimi nimegeuka nyuma nikaona yale wabunge wa magamba wanayotumia kufikiri - Ma-Masaburi!!
.

Masaburi kaharibu sana, mzee wa watu na piii-kubwa kumbe busara ni sifuri au negative!!! aliniudhi sana
 
ha! ha! ha! kumbe wife hii ndio id yako eeeh! maana nimegeuka nyuma nakuona wewe upo na laptop.
 
Back
Top Bottom