Taratiiiibu…. Geuka Nyuma!!!

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,080

Habari wana JF….

Poleni na hongereni kwa saumu (kwa wafungaji…)
na pia mlolongo wa kazi na majukumu…

Back to topic… Hapo hapo ulipo keti/jiegesha/jilaza/simama/
jiachia or whatever… Please... Do me a favour and taratiiiibu
Geuka nyuma…. What do you see???…. Tafadhali tell us…
any thing’ Yaweza kua kimoja ama zaidi ya kitu kimoja…

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

Kuna Mob inanikimbiza baada ya ku-kukwapua hii HTC hapa T-Mobile ngoja nikifika sehemu pazuri na noma ikiisha tawapa feed back.....

Seriously though naona giza tu baada ya umeme kukatika huu mwanga wa laptop hautoshi na mishumaa bei mbaya
 
Habari wana JF….

Poleni na hongereni kwa saumu (kwa wafungaji…)
na pia mlolongo wa kazi na majukumu…

Back to topic… Hapo hapo ulipo keti/jiegesha/jilaza/simama/
jiachia or whatever… Please... Do me a favour and taratiiiibu
Geuka nyuma…. What do you see???…. Tafadhali tell us…
any thing' Yaweza kua kimoja ama zaidi ya kitu kimoja…

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

Nimeona shelf yangu ya vitabu... Naona vitabu vya Java, C sharp, Seduction art, na vingine vingi..
 
Namuona abiria wangu niliyempa lifti akitabasaam!
Mgomo wa mafuta uendelee hivi hivi, umeniletea mahusiano mazuri na jirani zangu!

Rejao i hope huyo abiria ni Me...lol... and be careful... ku browse JF while driving is dangerous....lol
 
Co worker saumu imekubana sana leo nini ? salama ? nikigeuka nyuma naona ukuta wa kijani.

Co worker acha kabisa... kazi linibana hata saumu sioni kabisa....lol... basi tu wanted nionane na Co worker thus the post...

Na huo ukuta mmmmh! I hope sio home.... Green??
 
Kuna Mob inanikimbiza baada ya ku-kukwapua hii HTC hapa T-Mobile ngoja nikifika sehemu pazuri na noma ikiisha tawapa feed back.....

Seriously though naona giza tu baada ya umeme kukatika huu mwanga wa laptop hautoshi na mishumaa bei mbaya

Hapo kwenye blue badala ya kusikitika imenibidi nicheke...lol... Pole bana...

Nasubiri feedbak ya tukio with patience...
 
Ile kugeuka nyuma tu nikaona bonge la msururu wa magari nyuma ya gari yangu. Kumbe ni shell moja tu inayouza mafuta dom. Noumer!!!

ha ha ha.... Leo kuna jamaa wangu wa karibu ilitakiwa a drive kwenda Iringa...
Imagine alikua hana mafuta kabisa, na maeneo tuliyopo hawauzi hata filling
station moja.... Lucky you na hio moja dom...
 
Nimeona shelf yangu ya vitabu... Naona vitabu vya Java, C sharp, Seduction art, na vingine vingi..

Moseley... Bravo!! A devout reader... Tz ni wachache mno... hope pages hufunguliwa mara kwa mara...lol
 
Co worker acha kabisa... kazi linibana hata saumu sioni kabisa....lol... basi tu wanted nionane na Co worker thus the post...

Na huo ukuta mmmmh! I hope sio home.... Green??
Ni chumbani kwangu,very light green nimesoma wachina wanatumia it has a calming effect.
 
Ni chumbani kwangu,very light green nimesoma wachina wanatumia it has a calming effect.

Light green is a good color... ulipo sema green... nikajua hasa ile GREEN....lol

Siku moja baada ya kazi nitakuja kuona how calming the color is....lol
 
Back
Top Bottom